Kuna Dame moja tulikua tunafanya nae kazi, sijao nae pia hana bwana.
tukiwa majirani, ikafika siku kuu fulani hivi, na kwa mchezo nika mwambia leo naja kwako kula siku kuu, akakubali haraka haraka. Sasa nika tegea matime ya Lunch nikaenda kwake..............Loooh nikifika nataka kubisha hodi, naona mlango uko wazi kiasi kama nusu hivi, nikipiga macho ndani,,napata tako la jamaa likipanda juu na kurudi chini, kabla sijakolea macho vizuri naona mwanadada mwengine amekalia mtarimbo, yaani ilikua ORGY balaa. Nilisikia miguu yangu ikiisha nguvu, nikarudi nyuma nyuma polepole na hakuna alie niona.................baadae nakutana nae kazini aniuliza mbona ulinidanganya waja!......nilicheka🤣🤣 tu nikamwambia nilipata dharura!!!!!