Je, ulishawahi kuwafuma watu wakifanya mapenzi?

Je, ulishawahi kuwafuma watu wakifanya mapenzi?

Nishawafuma watu zaidi ya mara moja ila hii ilikuwa ndio kali nilikuwa ndani ya jahazi toka mafia kwenda kisiju nilipakia abiria wakike na kiume safari ilianza saa sita usiku kumbe baadh ya abiria walikuwa wamejifunika turubai wamelala huku jahazi ikitembea ikiwa tunaendelea na safari.

Mimi nikamkabidhi mtu sukani ili nitafute maturubai yaliopo chini ili kufunika baadhi ya mizigo isije ikaloa wakati naenda chini nikakutana na turubai ile kulivuta kumbe kuna jamaa alikuwa ndo wamejifunika anakula mzigo nikawauliza mnataka tuzame kwakuwa kuna badh ya watu walikuwa wamelala ndo ikawa afazali kwao ila niliwatoza pesa kila mmoja nilipata 40,000 ila kilichotokea nusura tuzame.

Nahodha ungezamisha chombo. Hadi kwenye mambaombao watu wanakulana!?
Sijawahi kuwafuma watu wakilana ila mimi nilishafumaniwa sana vichochoroni mpaka nikashushwa cheo
Nalog off
 
Niliwahi kumfuma Mama mkwe na Mama, Mama yake na baba aliekuwa amemuoa. Aliachana na baba yangu.
Yule Bibi alitutembelea na alikuwaga mlevi wa pombe. Kuna binamu yangu mtoto wa shangazi nae alikuwaga chapombe. Bibi alitoka kwenda kupiga pombe zake, wakati wa kurudi akarudi wanakokotana na binamu yangu wapo mbwiii.
Wakawa wamefikia jikoni, jiko la nje. Kajamaa kakawa kanapiga mashine. Ndo ikawa chabo ya Kwanza kwangu.
 
bhana bhana eeh mwaka huu nadhani nimetoka zangu kuchek game za usiku..mishale kama ya saba hivi..barca anatolewa na Bayern.. Mbeya pazuri pale kwa juu kuna kama kilabu (local bar) hivi huwa wanakesha wale.. sasa napita nikaskia kama sauti watu wanabishana upande wa choo.. ambacho kipo na road tu nje!! nikasema ngoja nisogee nione kulikoni.. nakuta demu kainamishwa sasa jamaa sjuu anakosea tundu sjui wanahangaika kinoma sasa me nataka nile deo ..jamaa anafeli mara naanza kuskia miguno ebhena eeh jamaa anapiga trakoo demu analalamika anawashwa sijui mara vile sasa miguno ikazidi nikataka nipande juu kidgo mana kuna uzio wa tofali mbili..ile napanda tofauti moja ikashuka kwa ndani...niliskia ndii kila mtu kala mbio kivyake aise..na me nkasepa!! ila demu alikua na BOONGE LA TACKO mamaee zakee daah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ***** nimecheka kinoma
 
Kuna Dame moja tulikua tunafanya nae kazi, sijao nae pia hana bwana.

tukiwa majirani, ikafika siku kuu fulani hivi, na kwa mchezo nika mwambia leo naja kwako kula siku kuu, akakubali haraka haraka. Sasa nika tegea matime ya Lunch nikaenda kwake..............Loooh nikifika nataka kubisha hodi, naona mlango uko wazi kiasi kama nusu hivi, nikipiga macho ndani,,napata tako la jamaa likipanda juu na kurudi chini, kabla sijakolea macho vizuri naona mwanadada mwengine amekalia mtarimbo, yaani ilikua ORGY balaa. Nilisikia miguu yangu ikiisha nguvu, nikarudi nyuma nyuma polepole na hakuna alie niona.................baadae nakutana nae kazini aniuliza mbona ulinidanganya waja!......nilicheka🤣🤣 tu nikamwambia nilipata dharura!!!!!
We jamaa kilaza sana, ungejoin ukafika direct kumnyonyesha konga.
 
bhana bhana eeh mwaka huu nadhani nimetoka zangu kuchek game za usiku..mishale kama ya saba hivi..barca anatolewa na Bayern.. Mbeya pazuri pale kwa juu kuna kama kilabu (local bar) hivi huwa wanakesha wale.. sasa napita nikaskia kama sauti watu wanabishana upande wa choo.. ambacho kipo na road tu nje!! nikasema ngoja nisogee nione kulikoni.. nakuta demu kainamishwa sasa jamaa sjuu anakosea tundu sjui wanahangaika kinoma sasa me nataka nile deo ..jamaa anafeli mara naanza kuskia miguno ebhena eeh jamaa anapiga trakoo demu analalamika anawashwa sijui mara vile sasa miguno ikazidi nikataka nipande juu kidgo mana kuna uzio wa tofali mbili..ile napanda tofauti moja ikashuka kwa ndani...niliskia ndii kila mtu kala mbio kivyake aise..na me nkasepa!! ila demu alikua na BOONGE LA TACKO mamaee zakee daah
Haaaaaah pembeni hapo ni mitaa ya home kabisa

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
kuna mzee mmoja alikua na duka lake, sasa jamaa yangu alikuwa anafanya kazi kwa huyo mzee na huyo mzee alimpa chumba cha kukaa.
siku hiyo mwana kavusha manzi yake ile kapiga tako kumi na nusu tu mzee huyu hapaa anamgongea, basi ikabid afungue ile kufungua mzee akamzingua kinoma akamtoa nje na banzi juu mwishoe yule mzee akazama ndani akaenda kumla manzi.
yule jamaa yangu aliacha kazi siku hiyo hiyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom