Je, Rais Samia alikuwa haaminiki au ndiyo mfumo wa ulinzi na usalama ulivyo?

 
Hivi kwa yule boss wa Madawa ya kulevya Mh. KJ imekuaje kasitishiwa utumishi ilihali amehudumu katika idara ya usalama kwa takribani miaka 30 sasa. Isije kuwa Mama analishwa sumu ni bora kwa mtu kama yule kupelekwa ubalozini na si kuachwa tu, Ombi kwake Mh. Raisi alifikirie hili suala kwa mapana zaidi maana bwana yule kashika sehemu nyeti sana za idara katika utumishi wake.
 
Kuwa Usalama unaruhusiwa kufanya mambo ya hovyo kwa kigezo cha wewe n mlinzi wa Taifa?

Tuanze hapo kwanza.
Kwa hoja yako hii Kipilimba asingepelekwa Namibia, hata kama kuna makosa basi muhimu kuangalia na nafasi ya mtu aliyohudumu akiwa afisa usalama.
 
Wish you could have my french kiss, umeongea kitaalamu zaidi. Hongera sana.
 
Una maana ukiwa usalama ukikosea husipata harassment zozote zile?
Kwa maafisa waandamizi yapaswa kuangaliwa pale wanapo chukuliwa hatua hapo kwa Kipilimba ilikuwa natolea mfano tu. Ndio maana alipelekwa ubalozini huko
 
Kwa maafisa waandamizi yapaswa kuangaliwa pale wanapo chukuliwa hapo kwa Kipilimba ilikuwa natolea mfano tu. Ndio maana alipelekwa ubalozini huko
kwanini maafisa waandamizi wapate 'Grace' na wengine wamalizwe?
unafikiri tutazalisha idara ya namna gani??
 
kwanini maafisa waandamizi wapate 'Grace' na wengine wamalizwe?
unafikiri tutazalisha idara ya namna gani??
Idara ya namna gani? Nimerudi kwako ushajiuliza kwanini baadhi ya maafisa waandamizi huteuliwa kuwa mabalozi huko nje na mfano mzuri ni baadhi ya hawa mabalozi wapya. Hujui influence ya afisa mwandamizi katika idara hasa akiwa amehudumu katika nafasi mbalimbali za idara
 
Kwa maana rahisi ni kwamba. maafisa waandamizi wanapovuruga basi itumike hekima katika kuwafanyia demotion..
Eg kuwapa kazi ngingine ukatumia ref ya kipilimba...

sasa nakuja tena, unadhani mtu kama kipilimba umempa hadhabu au ndiyo umempa uraji zaidi?

huoni hii haileti picha nzuri?
atatokea mtu atavuruga tena then atapangiwa ukuu wa taasisi au ubalozi. hapo tutakuwa tunajenga au tunazidi kuharibu?
 
boss wa Madawa ya kulevya Mh. KJ

Gerald au?


Unasema ni Teeth TOKA lini?
 

Demotion ni namna bora zaidi kuliko kusitisha ajira yao moja kwa moja, wewe unafikiri mtu kama Kipilimba ni sawa kumuacha tu arindime mtaani pasipo monitoring?
 
Demotion ni namna bora zaidi kuliko kusitisha ajira yao moja kwa moja, wewe unafikiri mtu kama Kipilimba ni sawa kumuacha tu arindime mtaani pasipo monitoring?
ahaha sasa mtu kutoka kuwa DGI na kuwa Balozi hapo ni demotion au ndiyo unampandisha?
halafu unampeleka nchi za bataa huko..

labda niambieh kwanini unataka kuwe na demotion (Lakini ni kama kumkuza) na si badala ya kumuweka pembeni?
 
ahaha sasa mtu kutoka kuwa DGI na kuwa Balozi hapo ni demotion au ndiyo unampandisha?
halafu unampeleka nchi za bataa huko..

labda niambieh kwanini unataka kuwe na demotion (Lakini ni kama kumkuza) na si badala ya kumuweka pembeni?
Acha kufananisha UDGIS na Ubalozi kaka, rudi kwenye chanjo chako cha taarifa uliza kama kuna furaha yoyote ya kuwa ubalozi ukitokea UDGIS
 
Nadhan point ya mleta mada Ni hiyo ya mwisho tu..hzo zingne hapo juu Ni mazungumzo baada ya habari..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…