Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwanaintelijensia bila mafanikio

Jesuitdon

JF-Expert Member
Dec 18, 2018
3,154
2,657
Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwana intelligence buila mafanikio tiss kuna nn

Uzi za watu wengi JamiiForum unapotosha eti kuwa TISS (usalama wa taifa) uwe na kadi ya CCM au mwana CCM au green guard.

Vyote wanavyosema unatakiwa uvifanye ili kuwa usalama wa taifa nimevifanya na nimeangukia patupu

Kuwa scout na bidii kubwa

Kuwa green guard na bidii kubwa

Kuwa mwana UVCCM na bidii kubwa

Kupitia jkt na bidii kubwa

Kusoma chuo tena nikasoma CFR chuo cha diplomasia na bidii kubwa

Kuhitimu from kindergarten tena na ufaulu wa juu na bidii kubwa

Kutafuta connection za watu ndani ya idara na bidii kubwa

Spend time in clubs na bar zilizojaa hawa watu na bidii kubwa

Pamoja na ndugu zangu kuwa huko idarani ambao ni wa staafu psu kipindi cha jemedari na bidii kubwa

Ila huwezi amini ni bila bila mwaka huu naenda police hatimaye ili kujipunguzia maumivu ya kukosa kazi idara hii

Niseme ukweli watu tunavyutiwa na:

Maneno ya kuna pesa nyingi na ma posho posho bila kujua kwa undani

Filamu na story za kijasusi

Lakini tunaona tuu pale ni kaanani opposite na St Peters na most Osterbay ina kufika hatufiki naomba ambao wapo kama mimi tukutane maana kipindi nipo jkt kuna jamaa alikuwa ana bidii na vyeti alipewa ina tupo pamoja tuuu

Nadhani ugumu unakuwa kujibu maswali haya.

1. Mawakala kina nani

2.Usaili wapi

3.Depo mwezi gani

Mpaka na jiuliza kipindi cha mwendazake ajira zilisitishwa na kipindi cha mama vipi maana wengi wameingia kipindi cha kikwete na mkapa

Mwenye kutaka ushauri au intel yeyote anione pm au dm

Watanzania tuna wa overate sana na kuwakuza sana

Late JPM alisema mtu aliwa anajua kukaa mguu pande na sawa means normal common sense tuu anaweza kusailiwa chombo chochote cha ulinzi na usalama

Sasa hii ya kudanganya watu et ts wanaangalia ukimya wa watu tz kuna wanafunzi ma laki

Kuna wananchi zaidi ya million 60 tutasema kuna watu wanaangalia kila mmoja ili wawaingize ts ni uwongo

Kuna waliopitia jkt na wakapata nafasi ya kuwa mafunzoni na watoto wa wakubwa waliowaambia wanaokuja kesho ni ts wanaofanya usaili

Na kweli kesho wake wakawasili na gear wanataka wafanyakazi wa kusimamia na kufanya kazi beach

Mara wafagia maofisi ya ma DC na ma RC

Tukubali kuna watu qamefanikiwa kujiunga huko kutokana na

1.Bahati

2.Watoto wa wakuu vyombo vyingine vya usalama na ulinzi

3.Watoto wa wanasiasa

Hao ndo wamejaa huko mambo ya sijui wanapita chuo mara jkt mara nn

Ilikuwa ni bahati tuu ya kipindi cha Kikwete


Wakuu nimefanya uzalendo kwa nchi hii acheni tuuu
1.KUOMBEA TAIFA

2.KUSHIRIKI KUZIMA MOTO KILIMANJARO AMBAYO NINA DOCUMENTARY YANGU HUKU

3.KU EDIT MADA MBAYA KUWA NZURI KUHUSU TISS WIKIPEDIA

HASA ZILIZOKUWA ZINAMHUSU KUPIGWA RISASI TUNDU LISU NA KUFUTA KUMHUSISHA
DGIS FRANSIS MODESTUS KIPILIMBA

ACHENI TUU WAZEE
 
Kikubwa tunachovutiwa nacho au kukipenda nikumiliki hii
Screenshot_20210910-165428.jpg
 
Tafuta Hela Mkuu acha kuwaza mambo yatakayokufanya uwe mtumwa kwa maisha yako yote mimi bado sijaona Sababu zozote za kutamani izo kazi, Fanya biashara uwe na financial freedom
Biashara zinabuma Mzee akat ukiajiriwa uhakika
 
Back
Top Bottom