Je, ni nani wanamtumia mwana JF huyu?

sasa mbona mmefuta nilichoandika jamani ? kwani nimemtukana kaka steve d au ? kwa kweli sioni sababu ya kufutwa nilichoandika, naomba mrudishe !
 
hii thread ingependeza kama ikihamia kwenye udaku, hapa si mahala pake.

..yaani watu wanaongelea maslahi ya nchi weye unaona ni udaku?

..ndo maana vita dhidi ya mambo yote yanayokwamisha maendeleo tanzania inakuwa ngumu.

..kwasababu ya watu kama wewe!
 
Baada ya kusoma makala ya mmoja wa wanachama wenzetu hapa kwenye Tanzania Daima siku ya Jumatano, nimeanza kuamini kuwa ndugu yetu huyu ana lake jambo au kuna watu wanamtumia kumsakama Waziri Mkuu. Ni nani anamlipa na kumtumia kumuandama kiongozi wa Taifa namna hii? Makala yake ya mwisho (Ukiingia Tanzania Daima bonyeza "Gazeti la Jana hadi ufikie Jumatano) ina kichwa cha habari ya "Ka Sungura ka Lowassa, na Aliyekula Ng'ombe". Hapa ofisini watu walikuwa wananyang'anyana gazeti ili kusoma kitu hicho na ameanza kujipatia mashabiki wengi.

Jambo moja tulilokubaliana ni kuwa kuna mtu au kikundi cha watu kinamtumia. Namshauri tena apunguze kasi au achukue breki, siyo wote wanafurahia maandishi yake. Ni ushauri mwingine wa bure.

Asante.

Huyu binti senti 50 kapotelea wapi? Naona sasa kashuka thamani na kuwa binti senti moja! Ukistaajabu ya Mussa....
 
Bi senti 50.
Na mimi naomba kukuuliza. Wewe umetumwa na nani? Hoja hujibiwa kwa hoja.
 
Yaani centi hamsini analalamika kwa nini mla rushwa LOWASA anaandamwa?

This is Februaryy my friend na kwa taarifa yako kila waziri kwenye serikali ya JK tutakula naye sahani moja na infact on both sides za PRIVATE na PUBLUIC life yake

As long as anakula pesa za walipa kodi then tutakuwa hatuna budi kuwaandama na kuwamulika na kama hupendi vijiwe viko vingi tuu
 
Tangu kamati ya Richmond imeanza kazi, sijamsikia tena huyu mwanadada bi senti 50. Ako wapi?
Aje amtetee Lowassa hapa!
 
Tangu kamati ya Richmond imeanza kazi, sijamsikia tena huyu mwanadada bi senti 50. Ako wapi?
Aje amtetee Lowassa hapa!

Wengine watapoteza kazi si unajua new PM anaweza kuja na timu yake mpya.
 
Vipi Mchambuzi naye kaishia wapi?Anayejua aliko tafadhali sana amwombe aje hapa atuchambulie hali iliyoelekea Lowassa kuwa jobless na kuonyesha kuwa hiyo ni matokeo ya "sumu iliyoachwa na Nyerere"
 
Duh! Mchambuzi alikuwa ni mtetezi mkubwa wa fisadi Lowassa.
 
Vipi Mchambuzi naye kaishia wapi?Anayejua aliko tafadhali sana amwombe aje hapa atuchambulie hali iliyoelekea Lowassa kuwa jobless na kuonyesha kuwa hiyo ni matokeo ya "sumu iliyoachwa na Nyerere"

mchambuzi the quiter maasai (mtqm) yupo oldonyo lengai anachunga mbusi!! mambo ya mjini na siasa yalimshinda akamua "kulegea" kijijini kufunga lubega kama babu yake mzee mesiaki ole loitiptip. LOL.
 
Kwani wewe ni waziri mkuu? Wewe ni mwizi nini?
Una wasiwasi gani? Ukweli unakuuma? Unaogopa hela zitaacha kuja kwako?
Watu wote sio wadanganyika kama wewe bwana, usisome, kwani wewe inakukerea nini hiyo makala?
by the way who are you to stop anybody from saying what they want to say?
 
Hatimaye mwenyewe kasikia salamu zenu.Binti Senti50 IS actually A WOMAN KNOWN AS MWANAMAMA
 
Jamani mi mbona siioni hiyo makala ili niweze kuchangia? Bi sent hebu nieleweshe vizuri nataka niipate hiyo makala lakini haionekani!!!!
 
Si mshangai ni hulka ya watanzania kuwa waoga,hasa kwa viongozi wao ambazo ni zama za kale tena enzi za machief sio ulimwengu wa sasa.
Come back to your senses bi 50 otherwise uhuru wa mtu kuongea na kutoa chochote kile or kushare na wenzio kwa namna yoyote ile ni vyema as long as anachoandika kinabeba ukweli ndani yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom