Je, ni nani wanamtumia mwana JF huyu?

Mike in Brazil ( Hawaiian Punch ) na wee komaa vile vile na makala zako za sungura na lowassa, hakuna aliyekutisha hapa, nadhani ni waandishi wanaotwist maneno kusema umetishiwa wakati hamna kitisho chochote ! wasalaam.

Mwanakijiji ningekukaribisha kula pilau lakini naskia wee mbaya kweli katika mambo flani flani.

Hii Mike in Brazil ni porn site, au?
 
Huyu EL nafikiri angefanya jambo moja la maana kwake yeye binafsi na kwa Watanzania kwa ujumla AACHIE NGAZI NA AFANYE BIASHARA ZAKE.
 
Du! Kumbe ndio maana mara nyingi wahenga wanasema kuwepo na wazee karibu ni kitu muhimu, idadi kubwa ya wachangiaji against na mtoa hoja lazima watakuwa hawako karibu na mababu zao sasa, au hawajapata bahati ya kuhadithiwa ... ni hivi mimi niko tofauti na ninyi wote mnaomshambulia mtoa hoja, kwa sababu ya usemi mmoja tu! nao ni...
"MJUMBE HAUWAWI"

Yayumkinika pia kuhisi kwamba uko pamoja na mtoa hoja kwa vile kuna kamsemo flani ka mababu zetu kuwa MKATAA YA WENGI NI MCHAWI
 
yeye kauliza na mnachotakiwa ni kujibu kwamba anatumiwa au la ! na si vinginevyo ! na huo ni upuuzi kabisa mwafrika wa kike unaposema mtu anakuja kutoa vitisho wakati hamna chembe ya kitisho unachosema ! acheni tabia zenu hizo, either mjibu swali au mngeuchuna ! bi. senti 50 wee komaa nao !
Hivi hapa kati ya walimtaka 50 CENTRESS ku-substantiate hoja yake kwamba Mwanakijiji katumwa na wewe unayelazimisha watu wajibu swali lisilo-exist,mpuuzi ni nani?
 
Hivi hapa kati ya walimtaka 50 CENTRESS ku-substantiate hoja yake kwamba Mwanakijiji katumwa na wewe unayelazimisha watu wajibu swali lisilo-exist,mpuuzi ni nani?

ningesema kwamba hakuna mpuuzi bali kuna watu kuteleza, nisingependa kutumia neno "mpuuzi" tena kurefer mtu yoyote ! shukrani mzee. halafu mbona haya ya bi senti 50 na mwanakijiji mbona yalishaisha na watu washafanya matanga na kusahau ! lakini wewe naona unataka kuibua msiba upya, enewei injoi wikiendi yako mzee !
 
Who the f@@k are you kuwachagulia watu namna ya kurespond kwenye topic?Huyo mtoa hoja bi 50 cent kakaa kimya,aidha kwa kujua alichemsha au kwa vile hana jipya.Pilipili usiyokula yakuwashia nini?

ahhhh, pilau hujala nini dogo ? who the f@@k am i ? umeamkaje kwanza leo mkuu ?haya bana kwanza naangalia spidi yako tu mkuu !

na sio kama nimemchagulia mtu yoyote jinsi ya kujibu bali ni kwamba nimesuggest, hivyo either you take it or you dont ! wengine wamekaa kimya wewe ndio unabwabwaja hapa ! nakuangalia kwenye saiti mira !
 
Du! Kumbe ndio maana mara nyingi wahenga wanasema kuwepo na wazee karibu ni kitu muhimu, idadi kubwa ya wachangiaji against na mtoa hoja lazima watakuwa hawako karibu na mababu zao sasa, au hawajapata bahati ya kuhadithiwa ... ni hivi mimi niko tofauti na ninyi wote mnaomshambulia mtoa hoja, kwa sababu ya usemi mmoja tu! nao ni...

"MJUMBE HAUWAWI"

Reading between the lines, 'nimekuelewa' unamaanisha nini...na naamini hata waliochangia walishaelewa 'context' iliyopo kwenye ujumbe wa bi 50 cent....lakini hoja ni kuwa kwa hali ilivyo sasa hivi, huo ujumbe ungefaa zaidi miaka ile ya 70 sheria ilipotungwa ...zama hizi mbinu za mapambano zimabadilika...na watu wanaelewa kuwa sio lelemama kupambana na 'mafisadi' lakini nadhani pia unakumbuka kuwa hapo zama ilishawahi kusemwa 'inafaa mtu mmoja afe kwa ajili ya watu'...ndipo tulipofikia sasa hivi.....
 
Haya tena, ma-friday ndio haya na ma-weekend ndio hayo.........naona bi.50 cent kajitoa mhanga kwa ajili ya mafisadi!!!!!Hongera zake, kwani nadhani habari zimewafikia popote walipo.
 
sasa naona mnatafuta kupigwa stop.. inatosha watanzania.. tuendelee na mambo mengine its friday you know!
 
kamputishe mamako

Wakuu heshima wakuu,

taratibu wazee 'heshima hainunuliwi' tafadhali tukate issue na kumkoma nyani giladi mchana kweupe!!

By theway,
Huyu Bi senti inabidi tumsamehe kwa bure kwani mwenyewe kajieleza walivo kaa wakajadiliana na kuona mwandishi wa makala anatumiwa na hivo akatumwa yeye alete ujumbe wa kumwambia aache kutumiwa. kwa kifupi yeye ndiye anaye tumiwa ili anyamzishe watu waache kumgusa mteule wake mkuu aliye tukuka sana PM!

La kufurahisha ni kwamba kumbe makala za mwandishi wa makala ya Kasungura zina pendwa sana.. na watu huzisoma kwa makini na kuzitafakali..

Nachukua nafasi hii kumpongeza mwandishi wa makala hiyo na kumtakia heri na kumtia moyo aendeleze nondo kwa 'ari mpya na kasi mpya' kwani kwa uhakika zinapendwa na zina wafikia wengi zaidi ... Bravo mkuu!
 
Nyani Ngabu na KadaMpinzani,
Nawaombeni, nawaombeni nawaombeni na kuwasihi, malizeni basi hii exchange ya maneno ya kutukanana. Naomba kama mnakubaliana na haya niliyosema,kati yenu hakuna atakeye post reply zidi ya mwenzake kwenye hii thread. Nawasihi ndugu zangu. Please stop once you read this post.

Thank you.

SteveD.
 
Well naona weekend imekwisha mapema. Tumkome Nyani sasa sio Ngabu bali Giladi.

Thanks.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom