Je, ni nani wanamtumia mwana JF huyu?

Je, ni nani wanamtumia mwana JF huyu?

Mimi nafikiri inabidi arudi kwa jina lile la Bi Thumuni ili aeleze msimamo wake sasa.
Other wise nitaamini kuwa alifukuzwa kazi baada ya kushindwa wajibu wake wa kumtetea EL
 
Bi. %o centi umepotoka kabisaaaaaa tena inabidi utuombe radhi wana JF, sitaoogopa kuyaita mawazo yako ni potofu na wewe aliyekutuma hapa JF akome kabisa. Hii nchi imefika wakati hakuna mtu atakayeogopwa,ule wakati wa kiongozi akitaka kuja sehemu wahuni wote wa vijiweni wanadiwa ndani akiondoka wanaachiwa umepitwa na wakati. Kama mshahara wako unatokana na pesa za kifisadi tunaokuomba usitokee hapa JF.Hakuna mtu mwenye uwezo wa kuzuia mawazo huru ya kila mtu na ukumbuke kuwa maoni na utafiti wa waandishi hawa wa habari ndiyo umetufikisha hapa leo tunaweza kujua ukweli wa kiburi cha mafisadi. Kama Fisadi Lowasa ni mjomba wako, huko huko sio na JF. Ushindwe
 
Bi Cent 50 leo unasemaje? Je bado msimamo wako upo pale pale? Nadhani unaweza kuwa na lu kusema sasa.
 
Bi Cent 50 leo unasemaje? Je bado msimamo wako upo pale pale? Nadhani unaweza kuwa na lu kusema sasa.
 
Bi 50 centi,OVYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO. nahisi na wewe unanuka rushwa
 
Hongera mwanakijiji, lete mambo na usitishwe na fisadi yeyote
 
Baada ya kusoma makala ya mmoja wa wanachama wenzetu hapa kwenye Tanzania Daima siku ya Jumatano, nimeanza kuamini kuwa ndugu yetu huyu ana lake jambo au kuna watu wanamtumia kumsakama Waziri Mkuu. Ni nani anamlipa na kumtumia kumuandama kiongozi wa Taifa namna hii? Makala yake ya mwisho (Ukiingia Tanzania Daima bonyeza "Gazeti la Jana hadi ufikie Jumatano) ina kichwa cha habari ya "Ka Sungura ka Lowassa, na Aliyekula Ng'ombe". Hapa ofisini watu walikuwa wananyang'anyana gazeti ili kusoma kitu hicho na ameanza kujipatia mashabiki wengi.

Jambo moja tulilokubaliana ni kuwa kuna mtu au kikundi cha watu kinamtumia. Namshauri tena apunguze kasi au achukue breki, siyo wote wanafurahia maandishi yake. Ni ushauri mwingine wa bure.

Asante.

-------------------------------------------------------------

Kwako Bi. Senti Hamsini....

Mie nadhani anayetumwa na vikundi/au watu fulani ni wewe....kama wewe ni Mtanzania halisi, mwenye uchungu na nchi yake, iweje utake zuia mtu aneyetoa hoja zake...za ukweli wa mambo? Lowasa ni nani haswa?? Yeye ni adui wa maendeleo ya Tanzania, and you should be concerned about his actions, na sio kumwonea huruma na kumtetea. but then....we really don't know who you really are, do we? Maybe you are EL's daughter, friend, or anything.

Enzi za ukoloni zimepita bwana....tuna uhuru wa kusema tunachotaka bila hofu. So, don't write crap please.
 
Kwani wewe ni waziri mkuu? Wewe ni mwizi nini?
Una wasiwasi gani? Ukweli unakuuma? Unaogopa hela zitaacha kuja kwako?
Watu wote sio wadanganyika kama wewe bwana, usisome, kwani wewe inakukerea nini hiyo makala?
by the way who are you to stop anybody from saying what they want to say?

Yuko wapi huyo (wewe)tumtolee Udaku?😀
Hawa ndio(wewe) naowatafuta!
Udaku-Kuzaji zingine bwana.😱
 
sometimes wanatumia majina mengine, ukute madela yupo hapa jf muda huu kwa jina jingine! Hiyo ni kawaida sana hapa jf.

😉umenifurahisha idimu haya usemayo yana ukweli tupu
 
Back
Top Bottom