Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,698
Ukishakubali Mungu yupo,ndiye chanzo cha kila kitu , basi ameumba dhambi kwa kusudi lake .
NCHI NA VYOTE VIJAZAVYO NI MALI YA BWANA,Walio wake ni wale wa Israel sisi wengine tupo tupo tu
hoja thabiti kabisa hizi...nashangaa napoona kwamba tunaishi kwenye jamii inayoshindwa kuhoji maswali ya msingi kama hayaMungu umsemae hapo anasifa za uovu na wema,hebu fikiri kwanini alimfanya farao kuwa mkaidi halafu akamuangamiza..? kama sivyo basi Mungu huyo atakuwa si muweza wa kila kitu!,kuna vitu ameshindwa kuviangamiza!,maana kama shetani anasababisha dhambi kwa wanadamu hlf anamuangalia kama pambo chumbani basi hata yeye anahatia na wadhambi hao! wengine humsema Mungu ndo mpangaji wa yote!,hivyo kauli hii humaanisha kuna watu amewapangia waende motoni na wengine peponi! anasifa ya ubaguzi wa hali ya juu..
Nini Maana ya Imani
Hapa napo panachanganya hivi kweli shetani ana uwezo wa kupigana na Mungu muweza wa yoteHahaaaaa!! Unaambiwa mbinguni zilichapwa kinoma mpaka jamaa likaamua kushuka duniani lenyewe,
Halafu MUNGU akamtuma Yesu kuhubiri injili akarudi tena mbinguni.
Bado linachanja mbuga tu.
Mpaka sasa naamini kuna mpango mkubwa kati ya shetani na MUNGU.
Dini ni mpango wa shetani.

Halafu ujue hawa wawili wanakutana sana, tangu shetani afukuzwe huko juu.
~Walikutana kipindi Ayoub anataka kujaribiwa, wakakubaliana kuwa Ayoub ajaribiwe tu ila asiuwawe...WALIKUBALIANA.
~Walikutana tena Yesu alipokuwa akijaribiwa huko nyikani, ila Yesu akamfukuza baada ya shetani kufanya mzaha na utani.
Kumbe bwana wanakutana na kukubaliana kabisa...Dah!!

Unazungumzia drones,bombs umesahau mstari usemao "nchi na vyote vijazavyo ni mali ya Mungu"Ni kwamba anajichanganya ama sisi ndio tunajichanganya?
Hivi umewahi kuona samaki anajiweka nyavuni ama ndege anajiweka mtegoni? Binadamu kafanikiwa kujiweka kitanzini mwa mikono yake mwenyewe (atomic bomb, weapons of mass destruction, biological weapons of mass destruction, guns, drones....etc) halafu analalamika Mungu kasababisha maafa! How? !?
My point is ameshatupa Uhai na uamuzi juu ya maisha yetu ya sasa na baadae anakuwaje tena responsible na maovu ambayo tunayasababisha sisi wenyewe kwa kisingizio cha maendeleo ya kijamii na teknolojia? Imani yangu; Our Life - Our Choices / Our Choices - Our Life.....
Kibaya zaidi [HASHTAG]#Karma[/HASHTAG] + [HASHTAG]#Fate[/HASHTAG] are so real!
"Ameumba dhambi kwa kusudi lake", dhambi/uovu ndio sababu hasa tunapata shida humu duniani. Sasa Mungu aliamua kuumba dhambi ili tupate tabu kweli?Ukishakubali Mungu yupo,ndiye chanzo cha kila kitu , basi ameumba dhambi kwa kusudi lake .
Ni kwamba anajichanganya ama sisi ndio tunajichanganya?
Hivi umewahi kuona samaki anajiweka nyavuni ama ndege anajiweka mtegoni? Binadamu kafanikiwa kujiweka kitanzini mwa mikono yake mwenyewe (atomic bomb, weapons of mass destruction, biological weapons of mass destruction, guns, drones....etc) halafu analalamika Mungu kasababisha maafa! How? !?
My point is ameshatupa Uhai na uamuzi juu ya maisha yetu ya sasa na baadae anakuwaje tena responsible na maovu ambayo tunayasababisha sisi wenyewe kwa kisingizio cha maendeleo ya kijamii na teknolojia? Imani yangu; Our Life - Our Choices / Our Choices - Our Life.....
Kibaya zaidi [HASHTAG]#Karma[/HASHTAG] + [HASHTAG]#Fate[/HASHTAG] are so real!
Wow! She can't go deep anymore, otherwise She gonna deny her premises!Oh baby give me a break...God has heaven why cant he js cut this short and take us all there?binafsi i js wanna go to heaven
Loss of faith ni kwa sababu kwny maisha unaishi vile atakavyo Mungu na sio utakavyo wewe
Ye ndo Mungu bwn tutafanyaje ss
Am not blaming God...i js realized life rolls his way not anyones way
Kwani kama ana mamlaka, lazima atumie nguvu nyingi kutonyesha kuwa ana mamlaka?
Ni sawa na mwalimu mkuu, wanafunzi tunajua yeye ndio head teacher, lakini anatumia nguvu nyingi ili kutufanya tuamini bila yeye hakuna tena. Kama kweli ni mwalimu mkuu, kuna ulazima gani yeye kutumia nguvu nyingi.
That's what God has been doing, katumia nguvu nyingi ili tu tuamini bila yeye hakuna.
Na kwa nini tuokoke?
Kwani alivyotuumba haikutosha kufanya tumfate?
Kuna sehemu anasema, "walio wangu nawajua"... hivi kumbe kuna watu tunapoteza muda tu, Mungu anawajua watu wake. Kwanini atubague wakati yeye ndio katuumba?
Mkuu mimi nafikiri tungejikita kwenye sababu,,mfano kwa nini Mungu ajue kwamba huyu kiumbe Lucifer anaemuumba atakuja kuharibu kazi yake?? Ezekiel 28: ina majibu,,, kwamba Lucifer Alikuwa kaumbwa vizuri ila Alikuwa na tamaa,,,yako majibu kabisa kama ukiwa uko huru bila presha kutafuta majibu ya maswali yako.
Nimependa hapa uliposema anawajua walio wake toka kuwekwa misingi ya ulimwengu,,,mimi nikuulize kwamba wasi wasi wako ni nini kama labda hao walio wake mmoja wapo ni wewe?? Maana hakuwataja.
Ndio Unaweza ukawa na dhambi kama mimi na Baadae kumebaki dakika moja ufe ukatubu,,,nani anajua!