mpatto
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 766
- 1,032
Mkuu Saguda47 ndio maana watu wana conclude kwamba Mungu hayupo kwa dhana hiyohiyo.Hilo swali gumu sana na huwezi kulijibu mpaka utakufa.
Kwamba kama Mungu ndiye aliumba ulimwengu, bila shaka yeye Mungu ni complex kuliko ulimwengu aliouumba.
Sasa kama ulimwengu ambao kwa muktadha huo, ni less complex kulinganisha na aliyeuumba, sasa kwanini iwe lazima uwe umeumbwa!?
Basi kama kitu simple kama ulimwengu (kwa muktadha huo) ni lazima kiumbwe yaani hakiwezi kutokea chenyewe, vipi kwa kitu complex!? Basi na chenyewe lazima kimeubwa na object ambayo ni even complex than it.
Basi kumbe, kama Mungu(ambaye ni so complex) hakuumbwa basi kunauwezekano hata universe(ambayo ni simple) haikuumbwa.