Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

yes ni kweli, ila tujue pia ulimwengu hu una sheria zake hivyo overall si Mungu huyu Mkuu kufanya kila jambo atakalo hapana ni lazima afuate sheria za uumbaji wa ulimwengu.

Na ndiyo maana ilikuwa hamna namna ya ondoleo la dhambi la ulimwengu bila Yesu Kristo kufa msalabani - Swali je Mungu kwa nini aliruhusu hilo? hakukuwa na njia nyingine sababu yeye ni muweza wa yote?

Jibu: Ulimwengu una Sheria na Mungu pamoja na uweza wake hataki kuziruka ni lazima zifuatwe.

Kwa hiyo Dhambi ni zao la Miungu mingine kujaribu kupambana na Mungu Mkuu, maana sisi wanadamu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu Mkuu, sasa miungu mingine inajaribu kuturubuni ili tumchukie muumba wetu na tuiabudu yenyewe.

Hii miungu ina nguvu pia, jiulize mchawi anaruka angani ama anaingia kwako usiku wakati mlango umefungwa, Je hiyo nguvu anapata wapi?
Vyema, lakini hiyo miungu ilitoka wapi? Nini na nani chanzo chake?
 
Back
Top Bottom