Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

....imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana...
Kwa imani twafahamu ya kuwa ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, hata vitu vinavyoonekana havikufanywa
kwa vitu vilivyo dhahiri.

Vizuri umejitahidi ingawa Bado kuna kitu umesahahau ktk maelezo yako unatakiwa useme Imani ni kukubali mambo ya uwongo ambayo yasionekana ktk maelezo yako ulisahau neno uwongo
 
Kama Ndio hayo sasa nyie wenzetu mpepata wapi kuamini kuwa mungu Yupo mmetumia Njia gani? Habari hizi mmezipata toka kwa nani? Mumezipata wapi
Kwa nielewavyo mie kuna makundi tofauti yanayoamini Mungu,wapo wanaoamini Mungu kupitia dini(uislamu,ukristo) na dini zengine, na ambao wanaamini Mungu pasipokupitia dini.

Sasa hapo swali lako naona linategemea na aina ya hayo makundi.
 
Vizuri umejitahidi ingawa Bado kuna kitu umesahahau ktk maelezo yako unatakiwa useme Imani ni kukubali mambo ya uwongo ambayo yasionekana ktk maelezo yako ulisahau neno uwongo
Mkuu hakuna uwongo kwenye imani,imani ni kuona jambo limekwishatokea hata kabla halijatokea.
Ndo maana mtu husema naimani nitafanikiwa,naimani nitapona ,naimani nitafaulu n.k yaan kuwa na hakika bila shaka wala hofu katika moyo wako. Imani huzaa taraja/kutarajia lile unaloamini. Ukitilia shaka jambo lolote ujue huna imani nalo.
 
Mkuu hakuna uwongo kwenye imani,imani ni kuona jambo limekwishatokea hata kabla halijatokea.
Ndo maana mtu husema naimani nitafanikiwa,naimani nitapona ,naimani nitafaulu n.k yaan kuwa na hakika bila shaka wala hofu katika moyo wako. Imani huzaa taraja/kutarajia lile unaloamini. Ukitilia shaka jambo
lolote ujue huna imani
nalo.

Kwa hiyo unaamini mungu yupo?
 
Kwa hiyo unaamini mungu yupo?
100% MUNGU yupo,MUNGU ni wa milele na milele yaan hana mwanzo wala mwisho,yupo alikuwepo na ataendelea kuwepo!
Yaaan sijawahi kutia shaka juu ya uwepo wa MUNGU hapa naamanisha MUNGU wa miungu aliyeumba Mbingu na Dunia,vitu vinavyoonekana na visivyooneka.
 
Thibitisha Kama yupo
 
Kwa nielewavyo mie kuna makundi tofauti yanayoamini Mungu,wapo wanaoamini Mungu kupitia dini(uislamu,ukristo) na dini zengine, na ambao wanaamini Mungu pasipokupitia dini.

Sasa hapo swali lako naona linategemea na aina ya hayo makundi.

Sikatai Kama dini hazipo,Na miungu wapo wengi Sikatai pia Kama ukisema mungu wako ni mti Au jiwe Au yesu Sawa lakn hakuna yoyote ambaye anaweza kuumba ulimwengu awe Allah Au Jehovah Na Kama wangekuwa Wanaweza kuumba ulimwengu Leo watu wasingepata tabu kujua chanzo cha ulimwengu hiyo miungu haijui wanapewa sifa wasizokuwa Na uwezo nao
 
Mkuu umekuja kuzungumza vitu tofauti na swali uliloniuliza hapo mwanzo.
 
Mkuu umekuja kuzungumza vitu tofauti na swali uliloniuliza hapo mwanzo.

Ndio Maana pale mwanzo Nilitaka kujua nini Maana ya iman ila ukaniambia ni Kama navyojua Mimi kwangu Sikatai miungu ya duniani lkn hakuna hata mmoja aliyeumba Na atakayekuja kuumba ulimwengu tatizo pale mnaposema kuna mungu Ana Nguvu kushinda yoyote huyo hayupo Na hatakuja kuwepo ila Kama mungu ni Zeus Au budha Au yesu Au jua Au mti Au ukatafuta Jina lolote ukalifanya mungu wako Sawa
 
Thibitisha Kama yupo
Mimi Binafsi nimeyashuhudia matendo makuu anayotutendea kila siku,akiponya akiokoa na kufanya vitu visivyoelezeka kibinadamu na kisayansi pia.
Ushuhda mdogo tu:
- Nyumba iliungua moto yote katika majivu nikapata Biblia na vyeti original tu vya shule havikuungua,ukiniuliza ilikuaje siwezi kukujibu.
-Nilifunga na kuomba MUNGU nilikua na kesi ya TARAKA na mke wangu baada ya maombi akarudi kesho yake na hakutaka tena kwenda mahakami ili hali kesi ilikaribia kuisha.Naishi naye mpaka sasa tuna watoto 2.
-Nilipata ajari ya Pikipiki(kugongwa na gari kubwa kwenye rami) tairi la mbele na nyuma vikaachana,frema ikakatika mimi nilipata mchubuko mdogo mkononi.
Walioshuhudia walinishangaa kuniona mzima maana niliamka tu kama vile nilikua nimelala.
Kwa kweli MUNGU yupo tena YUPO milele na milele. Amina.
Maandiko yanasema:
Isaya 45:9: Ole wake ashindanaye na Muumba wake! Kigae kimoja katika vigae vya dunia! Je! Udongo umwambie yeye aufinyangaye; Unafanya nini? ......
Mfano mdogo tu swali lako ni sawa na Kuku akuhoji kwa nini unamfuga,unakula mayai yake au uokote jiwe likuulize unataka la nini n.k
Yaan ufahamu wako ni mdogo mno hata uhoji matendo na kazi na uwepo wa Mungu mkuu!
 
Ndio Maana pale mwanzo Nilitaka kujua nini Maana ya iman ila ukaniambia ni Kama navyojua Mimi kwangu Sikatai miungu ya duniani lkn hakuna hata mmoja aliyeumba Na atakayekuja kuumba ulimwengu tatizo pale mnaposema kuna mungu Ana Nguvu kushinda yoyote huyo hayupo Na hatakuja kuwepo ila Kama mungu ni Zeus Au budha Au yesu Au jua Au mti Au ukatafuta Jina lolote ukalifanya mungu wako Sawa

Sasa hivyo ujuwavyo wewe kuhusu imani inahusiana nini na hicho ulichokieleza?

Ok mkuu tufanye yaishe maana binafsi sielewi tunajadili na wewe tu ndiyo mwenye kuelewa.
 
Sasa hivyo ujuwavyo wewe kuhusu imani inahusiana nini na hicho ulichokieleza?

Ok mkuu tufanye yaishe maana binafsi sielewi tunajadili na wewe tu ndiyo mwenye kuelewa.

Sawa lkn msiwe mnalizimisha jambo mm nilikuambia Imani ni Habari za kubahatisha Ndio Maana Jambo lolote la kiimani unapofanya tegemea hujibiwe Au usijibiwe unaweza kuomba mungu akakutekelezea Au asikutekelezee Kwakuwa huyo mungu hayupo kwa hivyo ile Nguvu ambayo iliyopo ktk akili yako Ndio inaweza kuleta Matokeo ya Jambo lolote unaloliomba
 
Usipende kueleza vitu usivyovielewa,ni sawa na kupotosha.

LA IKRAHAA FI DIINIY Mimi sijakupotosha aluyekupotosha aliyeandika biblia Na quran ambazo ni Habari za uwongo amekuambia kuwa wewe umetokana Na udongo Na mungu akaumba dunia kwa Siku Sita wakati huyo mungu hayupo Hao huoni kuwa wanapotosha
 
Mimi Binafsi nimeyashuhudia matendo makuu anayotutendea kila siku,akiponya akiokoa na kufanya vitu visivyoelezeka kibinadamu na kisayansi pia.
Ushuhda mdogo tu:
- Nyumba iliungua moto yote katika majivu nikapata Biblia na vyeti original tu vya shule havikuungua,ukiniuliza ilikuaje
siwezi
-Nilifunga na kuomba MUNGU nilikua na kesi ya TARAKA na
mke wangu baada ya maombi

akarudi kesho yake na hakutaka
tena kwenda mahakami ili hali
kesi ilikaribia kuisha.Naishi naye

mpaka sasa tuna watoto 2.

-Nilipata ajari ya
Pikipiki(kugongwa na gari kubwa

kwenye rami) tairi la mbele na

nyuma vikaachana,frema
ikakatika mimi nilipata mchubuko
mdogo mkononi.

Walioshuhudia walinishangaa kuniona
mzima maana niliamka
tu kama vile nilikua

Kwa kweli MUNGU yupo tena YUPO
na milele. Amina

Maandiko

Isaya 45:9: Ole wake
ashindanaye na Muumba wake!
Kigae kimoja katika vigae vya

dunia! Je! Udongo umwambie

yeye aufinyangaye; Unafanya

nini? ......[/B
Mfano mdogo tu swali lako ni

sawa na Kuku akuhoji kwa nini

unamfuga,unakula mayai yake

au uokote jiwe likuulize unataka

la nini n.

Yaan ufahamu wako ni mdogo

mno hata uhoji matendo na kazi na uwepo
wa Mungu
mkuu!

Hiyo taraka ya mkeo Na hiyo ajali haimaanishi kama mungu Ndio amekusaidia Bali ni bahati yako kuna muuza bangi mmoja alikuwa amebeba kiroba cha bangi anatoka nacho kutoka Dom kuja Dar Basi kila akikutana Na maaskari wanamsimamisha lkn kukagua ktk gari hawakagui Je Na huyu muuza bangi atasemaje? Isaya ameshakufa maneno Yake yalitumika ktk dunia ya zamani hayana Nguvu kwa dunia ya Leo Kwakuwa mungu hayupo Na km unasema mungu Yupo thibitisha
 
Back
Top Bottom