Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,698
Jamani! Naona kama ulimwengu wote unaongozwa na shetani kwani kila penye mafanikio ya ajabu shetani yupo!! Mtu atakueleza ni maombi tu mpaka nikafanikiwa kumbe ni mshirika wa ulimwengu wa roho. Basi kama mafanikio anatoa Mungu ana upendeleo hivyo sio Mungu wa kweli. Ukitaka kutoboa chungulia ulimwengu wa roho

