Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

Umekusanya dini zote kwenye kapu moja ila hoja zako umejenga kwenye msingi wa mafundisho ya biblia pekee.

Hili jambo linafanywa sana humu sijui ni kwanini?
Kwasababu wengi wamelelewa na kukulia kwenye ukristo
 
Ili maandiko yatimie
Maandiko gani Sakayo, binafsi nakuwa na maswali hadi naacha nisije kusema neno zito.

Mungu alifarakanisha mataifa, ili yapigane watu wafe. Mungu gani afanye hivyo watu wafe?

Kumbuka safari ya waisraeli toka Misiri kwenda Kaanani, watu wengi walikufa kabla ya kufika huko, Kweli Mungu anapenda watu wake wafe?

Herode mfalme, aliuwa watoto wachanga sana, huyo Mungu alikuwa wapi aache vichanga vife?

Why? Why?
 
Kama kweli Mungu alimaliza kuumba, kila alichoumba aliona ni chema kabisa. Hakukuwa na uasi juu ya uso wa dunia, Lucifer alikuwa msafi, asiye na dhambi.

~Nani alimuingia Lucifer aliyekuwa anaishi patakatifu ili aasi?

~Kama kweli Mungu ni alpha na omega, maana yake alijua kuwa dhambi itaingia ulimwenguni, kwa nini aliruhusu hiyo dhambi iingie?

~Kwa wakristo, kabla ya Yesu kuja kutufia, walikuwa wakiteteteza sadaka(kondoo) ili kusamehewa dhambi zao, kwa nini kondoo aliye mnyama wa kawaida auwawe kila siku ili tu mimi nisamehewe?

~Mungu mwenye rehema, upendo kwa nini aruhusu mwanadamu aishi maisha ya dhiki kiasi hiki? Maradhi, kifo, vita nk.

Why?
Why?
Why?
Those paradoxical premises are eating my thoughts.
 
Mungu umsemae hapo anasifa za uovu na wema,hebu fikiri kwanini alimfanya farao kuwa mkaidi halafu akamuangamiza..? kama sivyo basi Mungu huyo atakuwa si muweza wa kila kitu!,kuna vitu ameshindwa kuviangamiza!,maana kama shetani anasababisha dhambi kwa wanadamu hlf anamuangalia kama pambo chumbani basi hata yeye anahatia na wadhambi hao! wengine humsema Mungu ndo mpangaji wa yote!,hivyo kauli hii humaanisha kuna watu amewapangia waende motoni na wengine peponi! anasifa ya ubaguzi wa hali ya juu..
Hapa ndipo unapopata jibu kuwa hakuna mungu
 
Mungu ni mawazo uliyojazwa wewe usiyeweza kufikiri kwa kutumia ubongo wako.

Kwenye uhalisia hakuna Mungu na mimi siamini kabisa uwepo wake naona ni story tu walizotunga wapigaji ili wakupige vizuri
Na huwezi kuwa critical ukaelewa whatever is written in holy books, wewe jaribu kusoma with critical analysis, soma neno kwa neno na jaribu kufikiria kwa kina, its all contradiction.

Holy books need you to read and abide. Ndio tatizo linapoanzia haswa.
 
Lakini unaamini kuwa vitabu ni mawazo ya watu waliyoamua kuyaweka kwenye maandashi?

Pia unaamini kuna waandishi wenye ushawishi wa hali ya juu?
 
Mungu ni mawazo uliyojazwa wewe usiyeweza kufikiri kwa kutumia ubongo wako.

Kwenye uhalisia hakuna Mungu na mimi siamini kabisa uwepo wake naona ni story tu walizotunga wapigaji ili wakupige vizuri
Ulishawahi kuwaza kitu ambacho hakipo?
 
Lakini unaamini kuwa vitabu ni mawazo ya watu waliyoamua kuyaweka kwenye maandashi?

Pia unaamini kuna waandishi wenye ushawishi wa hali ya juu?
Tunaamini ni mawazo ya watu "waliovuviwa", not just mere people. Walioandika must've been very intelligent, ndio maana wengi wetu tumebebwa hivyo bila kufanya critical thinking.
 
Nyie ndo mnaitwaga bendera fuata upepo. Sasa ume comment nini?

Naamini usingeelewa usinge koment pia.
Hata hivyo, ukikoment siyo lazima kila mtu aelewe, wengine waliugua utapiamlo utotoni hivyo walipata mental retardation. hawawezi kuelewa jambo kwa urahisi
 
Maandiko gani Sakayo, binafsi nakuwa na maswali hadi naacha nisije kusema neno zito.

Mungu alifarakanisha mataifa, ili yapigane watu wafe. Mungu gani afanye hivyo watu wafe?

Kumbuka safari ya waisraeli toka Misiri kwenda Kaanani, watu wengi walikufa kabla ya kufika huko, Kweli Mungu anapenda watu wake wafe?

Herode mfalme, aliuwa watoto wachanga sana, huyo Mungu alikuwa wapi aache vichanga vife?

Why? Why?
Kila jambo hutokea kwa makusudi, sio kwamba haoni anaona sana tuu. Ni ili tujue kwamba yeye ndo mwenye mamlaka na tuweze kuamini na kuokoka!!
 
Kwani kama ana mamlaka, lazima atumie nguvu nyingi kutonyesha kuwa ana mamlaka?

Ni sawa na mwalimu mkuu, wanafunzi tunajua yeye ndio head teacher, lakini anatumia nguvu nyingi ili kutufanya tuamini bila yeye hakuna tena. Kama kweli ni mwalimu mkuu, kuna ulazima gani yeye kutumia nguvu nyingi.

That's what God has been doing, katumia nguvu nyingi ili tu tuamini bila yeye hakuna.

Na kwa nini tuokoke?
Kwani alivyotuumba haikutosha kufanya tumfate?

Kuna sehemu anasema, "walio wangu nawajua"... hivi kumbe kuna watu tunapoteza muda tu, Mungu anawajua watu wake. Kwanini atubague wakati yeye ndio katuumba?
 
Kwa namna hiyo mkuu hizi dini tunapoteza mda tu hakuna logic ukiwaza sababu za watu kuokoka na kwenda mbinguni!

Yaani MUNGU awapeleke wanadamu mbinguni baada ya shetani kuitwaa dunia kwa uwezo wake.
 
Kwani kama ana mamlaka, lazima atumie nguvu nyingi kutonyesha kuwa ana mamlaka?

Ni sawa na mwalimu mkuu, wanafunzi tunajua yeye ndio head teacher, lakini anatumia nguvu nyingi ili kutufanya tuamini bila yeye hakuna tena. Kama kweli ni mwalimu mkuu, kuna ulazima gani yeye kutumia nguvu nyingi.

That's what God has been doing, katumia nguvu nyingi ili tu tuamini bila yeye hakuna.

Na kwa nini tuokoke?
Kwani alivyotuumba haikutosha kufanya tumfate?

Kuna sehemu anasema, "walio wangu nawajua"... hivi kumbe kuna watu tunapoteza muda tu, Mungu anawajua watu wake. Kwanini atubague wakati yeye ndio katuumba?
Sisi sote tu wake, ila tunaamua kukaza shingo kwa kutokuzifuata amri zake! Kwa maana hiyo tunajitenga wenyewe
 
Back
Top Bottom