Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

Kama kweli Mungu alimaliza kuumba, kila alichoumba aliona ni chema kabisa. Hakukuwa na uasi juu ya uso wa dunia, Lucifer alikuwa msafi, asiye na dhambi.

~Nani alimuingia Lucifer aliyekuwa anaishi patakatifu ili aasi?

~Kama kweli Mungu ni alpha na omega, maana yake alijua kuwa dhambi itaingia ulimwenguni, kwa nini aliruhusu hiyo dhambi iingie?

~Kwa wakristo, kabla ya Yesu kuja kutufia, walikuwa wakiteteteza sadaka(kondoo) ili kusamehewa dhambi zao, kwa nini kondoo aliye mnyama wa kawaida auwawe kila siku ili tu mimi nisamehewe?

~Mungu mwenye rehema, upendo kwa nini aruhusu mwanadamu aishi maisha ya dhiki kiasi hiki? Maradhi, kifo, vita nk.

Why?
Why?
Why?
Matendo ya Mungu si ya mwanadamu
 
Nimefungua huu uzi mida hii nimesoma comments zote, one at a time.....haki Nimeogopa watu mnavyomkana Mungu!! Muumba wa Ardhi na Mbingu mbele yenu amekua si lolote si chochote?! Hatari sana dunia inaenda kasi ya ajabu!!

***Sorry sina maana ya kuwakwaza ila nimeshangaa sana, hadi usingizi umekata! !!!
Mungu hajawahi kushindwa.. Ila huwa habishani
 
Mungu yupo na ndio maana mleta mada akaandika alichoandika na ndio maana na wewe ukaja kuchangia....
Angekuwa hayupo asingetajwa hapa wala kujadiliwa na yeyote yule.. Kisichopo hakipo
Na weweumeolewa na mume wako Juma.

Mume wako Juma angekuwa hayupo nisingemtaja.
 
Na weweumeolewa na mume wako Juma.

Mume wako Juma angekuwa hayupo nisingemtaja.
Haya ni mawazo yako binafsi yasiyohusiana na uwepo wa Mungu mkuu... Mwenye enzi yote muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo ukiwepo pia
 
Matendo ya Mungu si ya mwanadamu
Hakuna ulichojibu hapo.

Ameleta magumu zaidi ya unavyodhani, he created and saw everything was perfect. Sasa imekuwa vipi tena kila kitu kilichokuwa chema imegeuka tabu tupu kwa hao viumbe wake?
 
Hakuna ulichojibu hapo.

Ameleta magumu zaidi ya unavyodhani, he created and saw everything was perfect. Sasa imekuwa vipi tena kila kitu kilichokuwa chema imegeuka tabu tupu kwa hao viumbe wake?
Hapana sema hujaridhika na jibu langu ila nimejibu
 
Wewe nani? Wewe ndiye Mungu?

Hujathibitisha Mungu yupo.
Mimi ni Mshana Jr... Niliyethibitisha uwepo wa Mungu mkuu mwenye enzi yote... Kama hujadhirika na ithibati yangu hilo ni tatizo lako sio langu
 
Mimi ni Mshana Jr... Niliyethibitisha uwepo wa Mungu mkuu mwenye enzi yote... Kama hujadhirika na ithibati yangu hilo ni tatizo lako sio langu
Namimi nathibitisha Mshana kaolewa mume wake anaitwa Juma.

Unakubali?
 
Back
Top Bottom