Je, Mungu anajua utakwenda motoni au mbinguni?

Je, Mungu anajua utakwenda motoni au mbinguni?

Hapo kuna mawili:

1. Mungu anajua kila kitu mwanzo mwisho. Kwahiyo anajua kabisa huyu atakuja kuishia motoni, na huyu atakuja kwenda mbinguni. Kama hivyo ndivyo, manake kuna watu wameumbwa specifically kwaajili ya kuja kuchomwa moto wapende wasipende!

2. Mungu hajui nani ataenda mbinguni wala nani ataenda motoni. Itategemea na matendo ya mtu mwenyewe. Kama hivyo ndivyo, manake huyo hawezi kuwa Mungu maana sifa mojawapo ya mungu ni kujua kila kitu!
Yaani kwa lugha rahisi hii ni Squid game ya kimungu.
 
mungu Allah yeye kashapangia watu kabla hawajaziliwa

...Allah created for Paradise those who are fit for it while they were yet in their father's loins and created for Hell those who are to go to Hell. He created them for Hell while they were yet in their father's loins. Sahih Muslim 2662c
Huyo Allah Alishindwaje kuumba binadamu wote kwa usawa wote waende paradise?

Hivi huyo Allah ana jielewa kweli?
 
Kabla ujazaliwa ukiwa tumboni kwa mama ako..
Ulishaandika kabisa kama wewe ni wa motoni au wa peponi mkuu...

Kwahyo Mungu anajua kila kitu ni kazi yako ww kujirekebisha au laah sawa shekhe..

Kingine hili swali lako limekaa kikafiri
🤣 🤣

Sasa huyu Mungu atakuwa kichaa atakumbuje hili uende motoni at the same time atake ujirekebishe kwa nini asitumie uwezo wake kukurekebisha, na ujirekebisha ni sawa unaenda kinyume na mipango yake
 
Dini ya Wayahudi, wao hawaamini moto wala peponi, wanaamini Mungu wao atakuja Duniani kufufua watu wote na kutawala Dunia kutokea Jerusalem

Mungu kuumba binadamu akampa free will alafu tena amchome kwa kufanya anavyotaka, huo ni uonevu na kukosa hekima, Mungu ni mwingi wa Rehema, upendo na huruma
 
Allah anadai kaumba watu weusi Kwa ajili ya kwenda motoni

Muhammad said: Allah created Adam when He had to create him and He struck his right shoulder and there emitted from it white offspring as if they were white ants. He struck his left shoulder and there emitted from it the black offspring as if they were charcoal. He then said (to those who had been emitted) from the right (shoulder): For Paradise and I do not mind. Then He said to those (who had been emitted) from his left shoulder: They are for Hell and I do not mind. Al-Tirmidhi Hadith - 38
 
Hakuna Mungu mwingi wa Rehema, upendo na huruma.

Mungu hayupo.

Habari zozote zinazohusu Mungu ni uongo.

Habari za Mungu ni imani za kusadikika na kufikirika tu.

Habari za Mungu ni hadithi za vitabuni tu.

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
 
Allah anadai kaumba watu weusi Kwa ajili ya kwenda motoni
Huyo Allah ana ukichaa.

Kama huyo Allah aliumba watu weusi kwa ajili ya kwenda motoni basi yeye ni racist.

Allah huyo ana ubaguzi na upendeleo na hafai kabisa anastahili kufurushwa huko alipo.
Muhammad said: Allah created Adam when He had to create him and He struck his right shoulder and there emitted from it white offspring as if they were white ants. He struck his left shoulder and there emitted from it the black offspring as if they were charcoal. He then said (to those who had been emitted) from the right (shoulder): For Paradise and I do not mind. Then He said to those (who had been emitted) from his left shoulder: They are for Hell and I do not mind. Al-Tirmidhi Hadith - 38
 
Huyo Yesu akiaminiwa anafaidika nini?

Huyo Yesu asipoaminiwa anapungukiwa nini?

Mungu muweza wa vyote, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumwamini siku zote?
Huu ni utaratibu wa Mungu mwenyewe, kama alivyoweka utaratibu wa kuzaliwa na kufa, upende usipende utaacha hii dunia. Kazi yako sasa ni kuandaa mazingira ya maisha yako Mengine baada ya haya.
 
Allah anasema siku ya hukumu muislamu ata akiwa na dhambi nzito kama mlima , dhambi zake atazibeba mkristo na myahudi ,

There would come people amongst the Muslims on the Day of Resurrection with as heavy sins as a mountain, and Allah would forgive them and He would place in their stead the Jews and the Christians...Sahih Muslim 2767d
 
Kwa nini huyo Mungu aliumba binadamu wenye uwezo wa kuto kumtii?

Kwa nini huyo Mungu aliumba binadamu wenye uwezo wa kutomuamini?

Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumwamini siku zote?
Kuna makosa yalifanyika
 
Huyo Mungu kama hapendi hata mtu mmoja apotee, Je Alishindwaje kuumba dunia isiyo na dhambi?

Huyo Mungu alishindwaje kuumba binadamu wema tu, watakao mtii na kumwamini siku zote ili waishi milele?

Kwa nini huyo Mungu aliumba binadamu wenye uwezo kuzikataa rehema zake?

Huyo Mungu alishindwaje kuumba binadamu wema tu, watakao zikubali rehema zake siku zote na wakati wote?

Huyo Mungu anashindwaje kufanya binadamu wote watubu dhambi ili wote twende mbinguni?

Yeye si ni Mungu muweza wa vyote?

Kwa nini huyo Mungu anaacha watu wengine waende mbinguni na wengine motoni?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?

Mungu Alishindwaje kuumba dunia isiyo na dhambi?
Kuna makosa yalifanyika
 
Huyo Mungu alishindwaje kuumba binadamu wema tu, watakao mtii na kumwamini siku zote ili waishi milele?
Mwanzo 3;22
BWANA Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;🤔
Kuna siri hapo
Na tumefichwa na makosa yalifanyika
Yani Adam na Eva walilimitiwa
Wasijue mema na mabaya
kwa nini baada ya kula akawa kama mmoja wa wao?

Alf au bas🤔 nitakuja kuelezea kwenye thread ingn kuna utata mwingi
 
Kwahiyo kuna wale walioandikiwa peponi, hata wafanye maasi gani wao njia ni nyeupe peee.

Na kuna walioandikiwa motoni hata watende mema buku, kosa moja wanakula kiberiti sio??
NI kwamba Mungu ndio ana jua yote pamoja na mwisho wako utakuwaje eiher mbinguni au Motoni. Ila sio kwamba amekupangangia kwenda sehemu yoyote kati ya hizo. Huo ni uchaguzi wako ila ni kwamba ameshajua utachagua nini.
 
Sasa anatuma manabii wa nini kama anajua watu wake ni wepi??

Kama anajua utaenda motoni anatuma nabii wa kazi gani sasa?? Au kwa ajili ya wale aliowapangia pepo na wanakengeuka?
 
Back
Top Bottom