Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,292
- 6,783
Kama Mungu anajua Future yako
Je Anajua utaenda Mbinguni au Motoni?
Na Future inaweza ikabadilika?
Je Anajua utaenda Mbinguni au Motoni?
Na Future inaweza ikabadilika?
You can change your fateKama Mungu anajua Future yako
Je Anajua utaenda Mbinguni au Motoni?
Na Future inaweza ikabadilika?
Mungu hayupo mkuu.Kabla ujazaliwa ukiwa tumboni kwa mama ako..
Ukishaandika kabisa kama wewe nu wa motoni au wa peponi mkuu...
Kwahyo anajua kila kitu ni kazi yako ww kujirekebisha sawa shekhe..
Kingine hili swali lako limekaa kikafiri
Ndio mana mimi hata sifatilii haya mambo kivilee shekhe wangu ...Mungu hayupo mkuu.
Angekuwepo watu wangekuwa wanamtafuta kimya kimya kisa ubinafsi.
Kwahiyo kuna wale walioandikiwa peponi, hata wafanye maasi gani wao njia ni nyeupe peee.Kabla ujazaliwa ukiwa tumboni kwa mama ako..
Ulishaandika kabisa kama wewe ni wa motoni au wa peponi mkuu...
Kwahyo Mungu anajua kila kitu ni kazi yako ww kujirekebisha au laah sawa shekhe..
Kingine hili swali lako limekaa kikafiri
Ndio maana we dg kutwa kucha unavunja nazi usiku mbele ya ile ofisi yako ya playstation.Ndio mana mimi hata sifatilii haya mambo kivilee shekhe wangu ...
Aaaah kikubwa tufanye kazi kwa bidii umri unakwenda, kujadili dini sana kutaleta mushkeri..
Dini ni umaskini... Kuweni makini...
Dini ya kweli ni umaskini ila dini janja janja utapata mapesa mengi ila ukitaka uwende na dini A to Z wallah utakufa maskini
Na dini ni biashara ya kinyonyaji kwelikweli. Hebu angalia jinsi watu watu masikini wanavyotoa pesa kwa wavaa suti kanisani na misikitini.Ndio mana mimi hata sifatilii haya mambo kivilee shekhe wangu ...
Aaaah kikubwa tufanye kazi kwa bidii umri unakwenda, kujadili dini sana kutaleta mushkeri..
Dini ni umaskini... Kuweni makini...
Dini ya kweli ni umaskini ila dini janja janja utapata mapesa mengi ila ukitaka uwende na dini A to Z wallah utakufa maskini
Kama Mungu anajua Future yako
Je Anajua utaenda Mbinguni au Motoni?
Na Future inaweza ikabadilika?
Kuhusu kujua kwenda peponi au motoni hata binadamu mwenyewe anaweza akajijua kutokana na nafsi na matendo yake, kwani kigezo cha kuwa mtu wa peponi au motoni katika dini ni kuwafuata wale wajumbe waliyotumwa kuja kutupa muongozo wa mafanikio katika maisha yetu haya ya dunia na baada ya kufa. Kwa wayahudi wayafuate maamrisho ya Musa, kwa wakristo wafuate mafundisho ya Yesu na kwa waislamu wayafuate mafundisho ya mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yao hao wote.Kama Mungu anajua Future yako
Je Anajua utaenda Mbinguni au Motoni?
Na Future inaweza ikabadilika?
🤣🤣Ndio maana we dg kutwa kucha unavunja nazi usiku mbele ya ile ofisi yako ya playstation.
AiseeUfunuo wa Yohana 17:8
[8]Yule mnyama uliyemwona alikuwako, naye hayuko, naye yu tayari kupanda kutoka kuzimu na kwenda kwenye uharibifu. Na hao wakaao juu ya nchi, wasioandikwa majina yao katika kitabu cha uzima tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu, watastaajabu wamwonapo yule mnyama, ya kwamba alikuwako, naye hayuko, naye atakuwako.