Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,553
- 31,598
Huyo Mungu hayupo.Huu ni utaratibu wa Mungu mwenyewe, kama alivyoweka utaratibu wa kuzaliwa na kufa, upende usipende utaacha hii dunia. Kazi yako sasa ni kuandaa mazingira ya maisha yako Mengine baada ya haya.
Ni wewe tu unahangaika kumuelezea hapa.
Hakuna Mungu aliyeweka utaratibu wowote ule.
Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe ani prove wrong.