Je, Mungu anajua utakwenda motoni au mbinguni?

Kama Mungu anajua Future yako
Je Anajua utaenda Mbinguni au Motoni?

Na Future inaweza ikabadilika?
Hili swali lako katika falsafa ya dini linaingia katika mada ya God's foreknowledge and human freewill.

God's foreknowledge and human freewill are incompatible.

Ujuzi wa Mungu kujua yote na uhuru wa binadamu kufanya chochote, Havipatani. Vinaleta contradictions.

Either Mungu awe anajua yote na huwezi kubadilisha future yako. Future yako iende kama ilivyopangwa na huyo Mungu.

Au Mungu hajui yote na future yako haijapangwa, Unaweza kubadilisha future yako wewe mwenyewe.
 
Kwahiyo kuna wale walioandikiwa peponi, hata wafanye maasi gani wao njia ni nyeupe peee.

Na kuna walioandikiwa motoni hata watende mema buku, kosa moja wanakula kiberiti sio??
hapana Mungu ahathiriwi na muda anaona mwisho toka mwanzo ko anajua yupi ataenda na yupi haendi maana ashaona mbele kabla hta ya dunia kuweko.
 
Sasa mkuu kuna haja gani ya kutenda mema ilhali mwisho wa siku si ajabu ukaenda motoni pamoja na wema wako?
 
Yeye ni mwanzo na mwisho, yeye ndiye aliyekuumba, hawezi kushindwa kujua mwisho wako, isipokuwa amekupa uhuru wa kuchagua giza au nuru, uende peponi au jehanamu
Kama huyo Mungu anajua kwamba utaenda jehanamu, Je una uhuru wa kubadilisha destiny yako ukachagua nuru na mwishowe ukaenda peponi?

Kama utaweza kubadilisha destiny yako kwa kuchagua nuru na hatimaye ukaenda peponi, Huoni kwamba huyo Mungu alikuwa hajui kwamba utaenda peponi?

Kama huwezi kubadilisha destiny yako, Huoni kwamba huna uhuru wa kuchagua nuru au giza?

Kama mwanzoni Mungu alijua utaenda jehanamu, Wewe ukabadilika ukachagua nuru, hatimaye unaenda peponi. Huoni kwamba huyo Mungu hajui destiny yako?

Huoni contradiction hapa kati ya God's foreknowledge and human freewill?
 
hapana Mungu ahathiriwi na muda anaona mwisho toka mwanzo ko anajua yupi ataenda na yupi haendi maana ashaona mbele kabla hta ya dunia kuweko.
Kama huyo Mungu anajua kila kitu tangu mwanzo na hata milele, Je HAKUJUA kwamba dunia itakuja kuwa na uovu adhibiti na kuzuia maovu yasiwepo toka mwanzoni?

Kama huyo Mungu alijua na anajua kila kitu tangu mwanzoni, Kwa nini aliacha dunia iwe na maovu?

Je alidhamiria dunia iwe na maovu?

Je alifanya makusudi kuacha dunia iwe na maovu?

Au hakujua kwamba dunia itakuja kuwa na uovu?

Kama hakujua, Basi huyo Mungu hajui yote tangu mwanzo.

Kama alijua, Basi huyo Mungu ana makusudi kwa kuacha dunia iwe na maovu.

Na Mungu huyo hafai kabisa anastahili kufurushwa huko alipo maana hajielewi kabisa.
 
Kama huyo Mungu anajua kwamba utaenda jehanamu, Je una uhuru wa kubadilisha destiny yako ukachagua nuru na mwishowe ukaenda peponi?

Kama utaweza kubadilisha destiny yako kwa kuchagua nuru na hatimaye ukaenda peponi, Huoni kwamba huyo Mungu alikuwa hajui kwamba utaenda peponi?

Kama huwezi kubadilisha destiny yako, Huoni kwamba huna uhuru wa kuchagua nuru au giza?

Kama mwanzoni Mungu alijua utaenda jehanamu, Wewe ukabadilika ukachagua nuru, hatimaye unaenda peponi. Huoni kwamba huyo Mungu hajui destiny yako?

Huoni contradiction hapa kati ya God's foreknowledge and human freewill?
Aliyekuumba na aliyeumba kila kitu unachokiona, atashindwaje kujua jambo dogo namna hii
 
Kama anajua basi wewe huna uhuru wa kwenda tofauti na anavyojua.

Kama Mungu anajua wewe Samson Ernest utakwenda jehanamu, Huna uhuru wa kubadilisha destiny yako, Hata ukichagua nuru bado utaenda jehanamu. Maana tayari Mungu anajua utakwenda jehanamu na ni lazima uende. Huwezi kubadilisha destiny yako.

Kama Mungu anajua kwamba wewe Samson Ernest utakwenda Peponi, Hata ukichagua giza bado destiny yako itabaki vilevile kwenda peponi. Kama ajuavyo Mungu.

Kwa hiyo ni either Mungu anajua yote na huwezi kubadilisha destiny yako au Mungu hajui yote na unaweza kubadilisha destiny yako.
 
Kwa nini mnasema Peponi?
Na Kama mtu anafanya Dhambi akifa anaenda kuteswa huko kuzimu
Alafu na wale ambao hawajampokea Yesu na ambao hawajamuamini
Pepo ipo na moto upo

Sasa swala kumpokea Yesu na kumwani hilo ni swala la imani
 
Kama huyo Mungu anajua kila kitu tangu mwanzo na hata milele, Je HAKUJUA kwamba dunia itakuja kuwa na uovu adhibiti na kuzuia maovu yasiwepo toka mwanzoni?

Kama huyo Mungu alijua na anajua kila kitu tangu mwanzoni, Kwa nini aliacha dunia iwe na maovu?

Je alidhamiria dunia iwe na maovu?

Je alifanya makusudi kuacha dunia iwe na maovu?

Au hakujua kwamba dunia itakuja kuwa na uovu?

Kama hakujua, Basi huyo Mungu hajui yote tangu mwanzo.

Kama alijua, Basi huyo Mungu ana makusudi kwa kuacha dunia iwe na maovu.

Na Mungu huyo hafai kabisa anastahili kufurushwa huko alipo maana hajielewi kabisa.
ningekujibu vizur tu lkn tatizo ushahitimisha na kuchukua msimamo.
 
kama itaenda motoni n sababu una dhambi ndo zitakazokupeleka uko na s vingnevyo.
Mbona unachanganya sasa mkuu, Mungu si anajua mwisho wako ni motoni au mbinguni? Dhambi inaingiaje hapo na ulishachapwa muhuli wa motoni au mbinguni??
 
Expert wangu ni hivi, Mwenyezi Mungu hajakuhumia ila anajua mwisho wa matendo yako na nyendo zako,anajua mwisho wa siku utaishia wapi

Ni kama vile unavyojua mtu ukimuelekeza aende nyumbani kwako lazima ataingia kwako kupitia mlangoni

Kwahiyo ramani ya kwenda peponi au motoni ni uamuzi wako
 
maisha unayoish sasa ivi na wakat ujao Mungu alishayaona ko ww unaishi hujui ya mbele YEYE anayajua alishayaona na akayarekodi
 
Expert wangu ni hivi, Mwenyezi Mungu hajakuhumia ila anajua mwisho wa matendo yako na nyendo zako,anajua mwisho wa siku utaishia wapi

Ni kama vile unavyojua mtu ukimuelekeza aende nyumbani kwako lazima ataingia kwako kupitia mlangoni

Kwahiyo ramani ya kwenda peponi au motoni ni uamuzi wako
Kama Mungu anajua mwisho wako, Je wewe unaweza kwenda kinyume na vile anavyojua Mungu?

Kama Mungu anajua wewe utakwenda jehanamu, Wewe ukabadilika ukachagua kutenda mema tu, Je bado utakwenda jehanamu?

Kama Mungu anajua destiny ya kila mtu na hataki watu waangamie motoni, Kwa nini anaacha watu wengine waende motoni wakati ana uwezo wa kuwabadilisha?
 
Ndio mana mimi hata sifatilii haya mambo kivilee shekhe wangu ...

Aaaah kikubwa tufanye kazi kwa bidii umri unakwenda, kujadili dini sana kutaleta mushkeri..

Dini ni umaskini... Kuweni makini...
Dini ya kweli ni umaskini ila dini janja janja utapata mapesa mengi ila ukitaka uwende na dini A to Z wallah utakufa maskini
Umasikini ni laana ukiwa na dini unakuaje masikini sasa
 
Expert wangu ni hivi, Mwenyezi Mungu hajakuhumia ila anajua mwisho wa matendo yako na nyendo zako,anajua mwisho wa siku utaishia wapi

Ni kama vile unavyojua mtu ukimuelekeza aende nyumbani kwako lazima ataingia kwako kupitia mlangoni

Kwahiyo ramani ya kwenda peponi au motoni ni uamuzi wako
Anajua mwisho wa matendo yangu??

Kwahiyo ananihukumu vipi sasa kama alijua fika nitaenda motoni? Na ndie alienipangia hilo?
 
Back
Top Bottom