Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,688
- 3,395
Huyo anayesema mkono mrefu ni upi huo? Mkono mrefu wa Kingai, Mahita, Jumanne, Goodluck kusafiri kutoka kituo chao cha kazi Arusha, kwenda kukamata watu Moshi, Tabora na Mwanza, huku polisi wa maeneo hayo hawahusishwi?Ndio hapo sasa, ushahidi wa kuunga unga ule hautokani mkono mrefu au macho mengi ya serikali, ni wa kupika ofisini.
Cc mwananyaso