Je, Mashoga walilipia kibali cha Sherehe?

Umesema wapo wengine,,, Swali la Kwanza Hao wengine wasio na tabia hizo na mienendo hiyo Wao wanna tabia Gani?? Wao wanakuaje kuaje??

Na Mimi nasikiaga tuu Ila Sijawahi kuona shoga wa kiume asie na tabia za kike, hata hapo Juu nimeona hiyo clip ya hiyo inayodaiwa ni sherehe ya mashoga wote wanaonekana hapo wanafanya matendo ya kike, hata mavazi Yao ni ya kike.

Hata wewe mwenyewe humu Huwa ukiandika unaandika kikikekike una-urge kikikekike, na upande wako wa utetezi ni WA kike, kwanini?

Hii jamii ni kama vile inataka kusema gender ni zaidi ya male na female, Sasa ndio tunauliza watu hawa original and characteristic personality Yao ni ipi?
Mkuu wapo ambao strong kiasi kwamba ukiambiwa huyu msiba hoyeee huwezi kuamini...😁😁
 
Kuna ******* wa aina zaidi ya 1.

* Hormonal imbalances, hawa ni wale ambao wako km wanawake kimuonekano wa asili, mfano ni Frankie Maston.

* malezi, makuzi, na mazingira, hawa ni wale ambao wana act au wanajifanyisha kuwa km ke, kutokana makuzi au mazoea kutoka udogoni, kuvaa mavazi ya kike, kucheza michezo ya kike, na hulka zingine za kike, mfano ni James Delicious.

* Tamaa na mikumbo, hawa ndio wale wanao jifunza ukubwani, ambao kwa % kubwa ndio wanabaki kuwa muscular, Gentle, Manhood pia. Na ndio ambao wanafanya gizani na sio rahisi kuwajua km sio mdau au muhusika wa hayo mambo.

NB: hormonal imbalance haifanyi mtu kuwa msenge, ni chaguo na maamuzi binafsi ya muhusika,

Nafikiri nimejibu kwa ufasaha.
Aisee kumbe akili unazo....sasa acha ushoga..
 
Mkuu wapo ambao strong kiasi kwamba ukiambiwa huyu msiba hoyeee huwezi kuamini...😁😁
Ndio wapo,
kwanza ni Wachache
Pili hata hao mascular Kuna vitu Huwa wanaiga kwa KE, Suala la kuingiliwa waliumbiwa wanawake na wakawekewa saikologia ya kulikubali jambo Hilo na wakawekewa vitu vya kuvutia na Tabia za Kuvutia kwa Ajiri ya jambo Hilo.

Ndio maana huwa inawalazimu kuiga vitu kadhaa Kutoka Jinsia KE ili kuendana na Saikologia ya kuingiliwa.
 
Kwani hawa admin kwanini wasichuje masuala kama haya kuruhusu kupost jukwaani ni kuyapa platform ya promotion let us do what we can do not to promote the LGBT agender
Kuna kitu nakihisi kuhusu Jf na kwanini post kama hizi huwa haziwashughulishi. Jf kimsingi ilianzishwa kama mahala salama pa kusemea madudu ya serikali na jamii kwa ujumla bila ID za watoa taarifa kuwa exposed. Mara nyingi platform zenye kutoa nafasi kwa whistleblowing zinakuwa kivitio kwa mataifa ya wazungu na NGO zao so huwa wanaguswa ku inject funds ili kuwezesha hilo. Unapoongelea mzungu na NGO zake kupigania uhuru wa kutoa maoni na ku express mtazamo wa mambo mbalimbali ya kijamii kwa uhuru unaongelea pia uhuru wa watu kushiriki mapenzi kwa namna wanavyohitaji wao. So kama jf wanapokea funds kutoka kwa wazungu na NGO zao kwa ajili ya kujiemdesha usitegemee hata siku moja wakawa mstari wa mbele kushirikiana na wananchi waadilifu kupambana na hii laana jukwaani.
 
Kuna ******* wa aina zaidi ya 1.

* Hormonal imbalances, hawa ni wale ambao wako km wanawake kimuonekano wa asili, mfano ni Frankie Maston.

* malezi, makuzi, na mazingira, hawa ni wale ambao wana act au wanajifanyisha kuwa km ke, kutokana makuzi au mazoea kutoka udogoni, kuvaa mavazi ya kike, kucheza michezo ya kike, na hulka zingine za kike, mfano ni James Delicious.

* Tamaa na mikumbo, hawa ndio wale wanao jifunza ukubwani, ambao kwa % kubwa ndio wanabaki kuwa muscular, Gentle, Manhood pia. Na ndio ambao wanafanya gizani na sio rahisi kuwajua km sio mdau au muhusika wa hayo mambo.

NB: hormonal imbalance haifanyi mtu kuwa msenge, ni chaguo na maamuzi binafsi ya muhusika,

Nafikiri nimejibu kwa ufasaha.
 
Kwanini uwazuie? Ikiwa wao wameamua kuwa mashoga? Twende taratibu sasa usilete mihemko ili tuelewane,

Ushoga ni choices ya mtu husika, km ambavyo wee hujawa shoga, una haki hiyo. Na yeye ana haki hiyo hiyo pia.

Hii ya kusema wanaume wameumbwa kuwa wanaume, kwani mashoga ni wanawake? Au majukumu ya kiume hayatimizwi? Ninaona ni mindset ya hapa kwetu inayotokana na desturi ya mfumo dume kuona mwanaume anatakiwa dominant na sio submissive.
Kwahiyo mwanaume awe submissive kwenye dudu la mwanaume mwenzie??? Astaghafillulah....Elnino ianzie kwenye matamasha yenu
 
Nazipita kwa sababu nimeshagundua kuwa, huwa mnajua vema wapi mnaweza kuuliza jambo gani ila mnaacha mnakuja kwangu na hayo ni matumizi mabaya ya mimi. Mnajua vema vibali vyote vya shughuli za kijamii ikiwemo harusi, ubatizo, maulid nk huwa mnachukua kwenye mamlaka za serikali za mitaa na halmashauri kwa afisa Utamaduni, leo mnakuja kuniuliza mimi, halafu unatarajia nijibu, hapo lengo linakuwa nini sasa? Tafadhali fika kwenye halmashauri mlikoliona hilo jambo ili uulize kwa ufafanuzi zaidi kama walikuwa nacho au walijiamulia wenyewe maana, wizara niliko huwa hatutoi vibali vya shughuli yoyote ya kijamii tafadhali ndugu mpendwa na Serikali kwa ujumla haitoagi vibali vya shughuli zenye kuchochea mmomonyoko wa maadili. Ahsante sana
Mama gwajima tunakupenda sana kwenye wizara yako husika..ila swala hili huwa unapita kama una aga maiti..lakini na video mmeziona za hawa watu mitandaoni, Ukiachilia mbali swala la kutoa vibali je ni kweli huna mandate kwenye hili??
 
Wapi nimesema hivyo??

Hii ndio sababu kuu mnaojifichia hata kuna recent thread imeanzishwa hapa JF kuonesha kuwa tusiwahukumu mashoga kwa sababu nyuma ya Hadithi zao Kuna matukio ya ajabu walifanyiwa.

Lakini ni kweli mnahitaji msaada??

Hakuna uhuru usio na Mipaka, ukitaka Kuishi bila kuingiliwa unatakiwa ukaishi Sayari nyengine, lakini kama unakaa na jamii yetu lazima kuwe na Mipaka ya huo uhuru.

Kwa sababu sisi tuna-interact na tunategemeana. Lazima Mipaka iwepo huwezi kufanya Chochote Kwenye jamii.
Walishasema ni choice yao

Hivyo kujifanya wahanga ni kutafuta huruma kwa jamiii huku wakitaka iwe justification ya kupigwa mpododo
 
Mama gwajima tunakupenda sana kwenye wizara yako husika..ila swala hili huwa unapita kama una aga maiti..lakini na video mmeziona za hawa watu mitandaoni, Ukiachilia mbali swala la kutoa vibali je ni kweli huna mandate kwenye hili??
Mandate ipi sasa ndugu yangu mpendwa zaidi ya kutoa elimu? Kwani iwapo mtu wa Serikali ya mtaa mfano katoa kibali kisichotakiwa anatakiwa kuchukuliwa hatua na mimi au mwajiri wake wa wizara husika rafiki? Haya, iwapo hao walioonekana kwenye video hiyo imethibitika walikuwa hawana kibali na hilo ni kosa anayetakiwa kuwashtaki polisi ni mimi au mamlaka ya Serikali ya Mtaa yenye dhamana ya kudhibiti matukio ya hafla za kijamii? Na je wajua mamlaka ya Serikali ya Mtaa iko wizara gani? Haya, hao waliosambaza mitandaoni kwani wako wizara gani kati ya 27 zilizopo? Hivi rafiki unaniona kwamba mimi ndiyo msemaji wa wizara zoote 12 zilizo kwenye mkakati au majukumu yao huwa yanahamia kwangu ikitokea kuna mmomonyoko wa maadili? Hivi kwanza unajua ni wizara ipi ndiyo ina instrument ya udhibiti wa maadili na inaratibu zingine zote jamani?
Mbona kama tunahangaishana na kuvishana shughuli kinyume na miongozo.

Anyway, ni uelewa nami nitawapa elimu muive vema sana ndugu zangu wapendwa.

Ushauri; vema kuusoma mkakati ujue ili kuboresha maoni yako yawe boraaaa zaidi tafadhali na hilo, litaleta ushirikiano mzuri zaidi. Ahsante sana ndugu yangu. Mkakati uko online tafadhali usome.

Jamani, elimu ikitolewa mtu hasikii basi, mamlaka husika za usimamizi eneo hilo huwa zinaanza hatua tu na nilivyosikia, wameanza, subiri taarifa yao watasema wenyewe.
 
Mikakati yenyewe unayotupa kusoma mmeitunga juzi juzi tu hapa ni useless bila vitendo maana Kuna tukio la mtoto mmoja anaejiita MC kidogodogo kitu kama hicho uliomba mpaka location ya alipo huyo mtoto raia wakakutumia Hadi mzazi wake akajitokeza lakini wizara yako haijafanya maamuzi yoyote yale zaidi tu yule mtoto mtandaoni ni anajionyesha wazi wazi na kutuchamba juu.

Alafu unaposema ndani ya wizara Kuna wizara nyingine 20 kwani hizo wizara lengo kuu si linadeal maadili sasa iweje suala linapoletwa kwako likiwa gumu unahamisha goal ili wananchi tupige mipira nje kama Doumbia ya Simba. Alafu bi mkubwa wewe unasema eti maadili yaanze kufunzwa vyema nyumbani lakini Leo hii mwanangu nikimfunza adabu kwa kumuadhibu kwa fimbo majirani wakikutumia clip nitajikuta Instagram kwako umetag wizara zote kunitaka niwekwe selo😀ila clip ya hao mashoga sijaona ukiipost na kuulizia tukio limefanyika wapi ila hizo idara zako ZIWATEMBELEE kama msemo wako unaosemaga.

Itoshe tu kusema bi mkubwa suala la USHOGA kupambana nalo mmeshindwa kutokana na misaada mnayopokea kupitia LGBTQ hizo maneno mingine mnayoleta ni porojo useless kabisa maana kibali ni kimetoka kwenu serikalini na mmepokea fungu la kuwalinda washiriki wote wa Hilo tukio na mashoga wengi wapo karibu sana na baadhi ya viongozi serikalini tukianza na yule NOEL ambaye hagusiki na mnamuogopa.

Yote kwa yote bi mkubwa kama hii kazi imekuwa ngumu kwenu hebu tupeni fungu la bajeti kama Bilioni 3 hivi tuingie mizigoni tuanze kuwapoteza mashoga mmoja baada ya mwingine tena sisi tutakubalika kuliko wale watekaji wanaopoteza watetezi wa raia maskini ni hayo tu🙏

Cc cocastic
Cc BICHWA KOMWE -
 
Soma sura ya 4 jua hoja gani ufikishe wapi vinginevyo mkakati ungekuwa wa wizara moja. Lengo langu ilikuwa uelewe tu kuwa, ukiona siku ingine napita kama naaga maiti basi ujue yuko wa kusema msubiri. Aidha, huyo mtoto mc ustawi wa jamii Dar walienda hadi kwao na ripoti ninayo, kama umeona video labda za zamani maana jamii ina tabia ya kupakia upya mambo ya kale. Vinginevyo, ujumbe umefika kuwa, uwanjani kuna wachezaji wengi mpira uzunguke tafadhali kwa mjibu wa kanuni na taratibu za mchezo Vinginevyo utasababisha mnaitaga kiswahili faulo sijui. Kwa heri
 
Back
Top Bottom