MSUKUMA02
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 1,478
- 4,097
Hapana nakataa hiyo uwe unanipa Mimi tu😋mrembo kabisa wa JF nimekufolilovu sana😀Na kubwa pia.
Hapana nakataa hiyo uwe unanipa Mimi tu😋mrembo kabisa wa JF nimekufolilovu sana😀Na kubwa pia.
😂😂😂Hapana nakataa hiyo uwe unanipa Mimi tu😋mrembo kabisa wa JF nimekufolilovu sana😀
Umemaliza, huu ndio ukweli.Jibu ni kwamba walifata taratibu zote na wakakubaliwa. Ni kwamba wasio Linda migongo yao wanatambulika na wamepewa ruhusa ya kuendelea kuwepo na kufanya mambo Yao bila bughudha. WANALINDWA
Ni km kundi linalo andamwa na kusakamwa na jamii au umma.Hebu acha utata. Ni kama umewaita mashoga "wahanga" kwenye post yako kwa Waziri. Nami nakuuliza kwanini umewaita "wahanga"? Wahanga wa kitu gani?
Zako pia.Kmmk zenu
Kabisa.Waacheni mashoga wafirwe kwa uhuru wao, na sisi marijali tuendelee kutomba kwa uhuru pia mambo ya kujadil starehe za watu huo ni umama
Aisee huyu mwingine na kitambi chake kama mimba🙄Aisee
Sasa unakubali alafu unakataa,Hao unaosema wana act km wanawake kwenye hiyo sherehe ya juzi, kuna ambao makuzi na malezi toka utotoni kuwa km ke, na wengine walioamua wenyewe tu ku act km ke kwa maamuzi yao binafsi tu pasi na chochote, ninakukatalia kila mda hapa kuwa Shoga sio lazima kuwe na personality ya kike, HAPANA.
Mimi narejea post Yako Ambayo ulitaja Namna mashoga wanavyopatikana, yaani sababu zinazopelekea na ukasema hormonal imbalance,, Malezi,, makuzi,, tamaa nkWewe hoja yako ya kusema ushoga sio choice ya kawaida ndipo unapojifunga na hutaki kutoka, kitu km kwako wee ni kigumu, basi kwa mwenzio ni rahisi, na kilicho rahisi kwako basi kwa mwenzio ni kigumu, iko hivyo, ndio maana najaribu kukujibu kwa ufasaha wewe unapinga kwa kuwq tu unataka tutembee kwenye fikra na maono yako, narudia tena Ushoga ni choices ya mtu husika, hata yule aliye lelewa kwenye msingi wa uanaume, akiamua kuwa shoga anakua tu, ni maamuzi yake tu.
Kila Mtu anaweza kutafsiri kwa majibu wa mapokezi yake,, jee Kuna constitutional definition ya Ushoga?? Niletee hapa!!Na sihitaji kukushawishi kuwa Anayeingilia wenzie nae ni Shoga, kwa kuwa hujui nini maana SHOGA.
utakua umeelewa sasa.
Lost souls!Yaani inasikitisha kwa kweli ,mwanamme mzima anaona sawa kuzibuli "SFINTA" kweli hao wamelaaniwa.
Naomba niishie hapa. Maana kurudia kitu kile kile kuandika, inachosha,Sasa unakubali alafu unakataa,
Unasema Kuna Ambao makuzi tangu utotoni walilelewa kikike jee hili jambo ni kawaida. Je ni kawaida mtoto wa kiume kulelewa kama wakike??
Hapa ndio msingi wa hoja yangu kwamba mwanaume kuwa Shoga Kuna vitu havijakaa Sawa.
Sio choice ya kawaida.
Tuje kwa hao wanaoamua kuact tuu wakike, kwanini wameamua kuact kama wakike?? Jee hakuna sababu yoyote?? Kwanini wanaoact kama wakike ndio majority??
Mimi narejea post Yako Ambayo ulitaja Namna mashoga wanavyopatikana, yaani sababu zinazopelekea na ukasema hormonal imbalance,, Malezi,, makuzi,, tamaa nk
Sasa nakuuliza ulimaanisha Nini kuandika Ile post?? Jee hayo mambo ni ya kawaida Kwenye jamii??
Kila Mtu anaweza kutafsiri kwa majibu wa mapokezi yake,, jee Kuna constitutional definition ya Ushoga?? Niletee hapa!!
Wapi nimesema hivyo??Hivi anayekuambia kila shoga alipata jinai ya utotoni nani?
Hakuna uhuru usio na Mipaka, ukitaka Kuishi bila kuingiliwa unatakiwa ukaishi Sayari nyengine, lakini kama unakaa na jamii yetu lazima kuwe na Mipaka ya huo uhuru.Na kila mtu ana uhuru wa kutaka kuishi vile anataka, anayetaka msaada aondoke kwenye ushoga, atapata, na anayetaka kubaki kufurahia maisha ya mahusiano hayo ni yeye mwenyewe tu.
Niliyekua namuambia amenielewa na amesema atafanyia kazi.
Ibaki hivyo.
Nimejaribu kukujengea hoja kuwa ushoga sio choice ya kawaida.Naomba niishie hapa. Maana kurudia kitu kile kile kuandika, inachosha,
Siku njema.
Uhuru usio na mipaka, na mipaka yenyewe ikiwa na kutoingilia faragha au sexual orientation ya mtu, usililie uhuru unao kunufaisha wewe tu, huo ni Ubinafsi na Unafiki.Wapi nimesema hivyo??
Hii ndio sababu kuu mnaojifichia hata kua recent thread imeanzishwa hapa JF kuonesha kuwa tusiwahukumu mashoga kwa sababu nyuma ya Hadithi zao Kuna matukio ya ajabu walifanyiwa.
Lakini ni kweli mnahitaji msaada??
Hakuna uhuru usio na Mipaka, ukitaka Kuishi bila kuingiliwa unatakiwa ukaishi Sayari nyengine, lakini kama unakaa na jamii yetu lazima kuwe na Mipaka ya huo uhuru.
Kwa sababu sisi tuna-interact na tunategemeana. Lazima Mipaka iwepo huwezi kufanya Chochote Kwenye jamii.
Hiyo hoja ya sio choice ya kawaida ni kwako wee binafsi, na nimejaribu kukueleza, naona hutaki kuelewa, na wala sitaki kukulazimisha uelewe, ndio nikaamua nikuache, kila mtu abaki na kile anacho kiamini.Nimejaribu kukujengea hoja kuwa ushoga sio choice ya kawaida.
Kama ilivyo choice ya ukahaba, uteja, Nk
Hata kama mtu alifanyiwa Jinai haihalalishi yeye kuendelea na jambo Hilo,, zipo Namna za kumsaidia Ikiwa atakuwa tayari.
Na hao wanaofanya jinai hizo Sheria zichukue mkondo wake.
Nasisitiza uhuru lazima uwe na Mipaka hata Katika mambo yanayokuhusu mwenyewe.Uhuru usio na mipaka, na mipaka yenyewe ikiwa na kutoingilia faragha au sexual orientation ya mtu, usililie uhuru unao kunufaisha wewe tu, huo ni Ubinafsi na Unafiki.
Unafanya ikiwa haiathiri watu wengine, na ndio maana kuna taratibu, kanuni, miongozo na sherua zake.
Waliofanyiwa madhira wakiwa wadogo wanahitaji msaada kwanini??Kuna waliofanyiwa madhira wakiwa wadogo wakahitaji msaada, na kuna wengine waliamua wenyewe binafsi kuwa mashoga wala hawahitaji msaada wowote.
Kwanini iwe choice ya kawaida,, ilihali inatokana na mambo yasiyo ya kawaida??Hiyo hoja ya sio choice ya kawaida ni kwako wee binafsi, na nimejaribu kukueleza, naona hutaki kuelewa, na wala sitaki kukulazimisha uelewe, ndio nikaamua nikuache, kila mtu abaki na kile anacho kiamini.
Hao wa jinai ikiwa watataka msaada, watapata, kadri ya matakwa yao.
Kila la kheri.Nasisitiza uhuru lazima uwe na Mipaka hata Katika mambo yanayokuhusu mwenyewe.
Na ndio maana hata kujiua ni Kosa kisheria,
Kwa sababu wewe utafanya mwenyewe lakini wakati huo huo unachangamana na jamii , wewe utawaathiri Wao kwa Namna Moja au nyengine.
Mwanamke kahaba akifanya ukahaba wake mtaani Kuna Mabinti wadogo wataona au watasikia na watashawishika kuwa makahaba. Hii ndio maana Kuna mambo yanakemewa ijapokuwa yanawahusu watu binafsi.
Ndio maana nikakwambia ukitaka kufanya mambo Yako bila Mipaka nenda kaishi Sayari nyengine usiishi ndani ya jamii yetu.
Waliofanyiwa madhira wakiwa wadogo wanahitaji msaada kwanini??
Kila la kheri.Kwanini iwe choice ya kawaida,, ilihali inatokana na mambo yasiyo ya kawaida??
•Hormonal imbalance
•Malezi Mabaya
•Makuzi Mabaya
•Tamaa na peer pressure.
•Unyanyasaji wa kijinsia
Nk