Je, Mashoga walilipia kibali cha Sherehe?

Je, Mashoga walilipia kibali cha Sherehe?

Sasa hao muscular gays utawajuaje km hujaoneshwa na wahusika wenzie au yeye mwenyewe kukuonesha?

Ila jua hao wapo na mnapishana nao barabarani kutwa kucha.
Hujajibu swali la Kwanza Narudia mashoga wakiume wasio na tabia za kike Huwa Wana tabia zipi???

Nataka kujua Tabia au personality ya asili ya Shoga ni ipi?? (Bila kuiga au ku-adapt Jinsia nyengine)

Ya mwanaume inajulikana na ya Mwanamke Inajulikana.

Ya Shoga ni ipi??
 
Maadhimisho ya Mashoga yaliyofanyika buguruni , yallikuwa na kibali?
Sheri za jiji la Dar linataka sherehe yeyote kwenye ukumbi ulipie kibali katika manispaa husika, wao walilipa?
jiulize , jipe majibu.
Kila mwanadamu mapungufu yake yeye,
Ni yeye mwenyewe, na Mola ndo anajua.
Kila mwanadamu mabaya yake yeye,
Ni yeye mwenyewe, na Mola ndo anajua.
Kila mwanadamu matatizo yake yeye,
Ni yeye mwenyewe, na Mola ndo anajua.
Kila mwanadamu machungu yake yeye,
Ni yeye mwenyewe, na Mola ndo anajua.
 
Hujajibu swali la Kwanza Narudia mashoga wakiume wasio na tabia za kike Huwa Wana tabia zipi???

Nataka kujua Tabia au personality ya asili ya Shoga ni ipi?? (Bila kuiga au ku-adapt Jinsia nyengine)

Ya mwanaume inajulikana na ya Mwanamke Inajulikana.

Ya Shoga ni ipi??
Kuna ******* wa aina zaidi ya 1.

* Hormonal imbalances, hawa ni wale ambao wako km wanawake kimuonekano wa asili, mfano ni Frankie Maston.

* malezi, makuzi, na mazingira, hawa ni wale ambao wana act au wanajifanyisha kuwa km ke, kutokana makuzi au mazoea kutoka udogoni, kuvaa mavazi ya kike, kucheza michezo ya kike, na hulka zingine za kike, mfano ni James Delicious.

* Tamaa na mikumbo, hawa ndio wale wanao jifunza ukubwani, ambao kwa % kubwa ndio wanabaki kuwa muscular, Gentle, Manhood pia. Na ndio ambao wanafanya gizani na sio rahisi kuwajua km sio mdau au muhusika wa hayo mambo.

NB: hormonal imbalance haifanyi mtu kuwa msenge, ni chaguo na maamuzi binafsi ya muhusika,

Nafikiri nimejibu kwa ufasaha.
 
Kila mwanadamu mapungufu yake yeye,
Ni yeye mwenyewe, na Mola ndo anajua.
Kila mwanadamu mabaya yake yeye,
Ni yeye mwenyewe, na Mola ndo anajua.
Kila mwanadamu matatizo yake yeye,
Ni yeye mwenyewe, na Mola ndo anajua.
Kila mwanadamu machungu yake yeye,
Ni yeye mwenyewe, na Mola ndo anajua.
Swadaktaaa.
 
Ni huyu Rais wenu tangu aingie White House basi haya mambo yameshika kasi, kayabariki ndiomaana hamuoni juhudi zozote,

Hata mawaziri wake hakuna wanalofanya, na ukihoji utaambiwa hiyo angle haigusiki ina watu wazito pia wanaogopa washirika wao wa kuwapa mikopo watakasirika, inashangaza lakini hawaogopi kupoteza maisha ya watu ila ushoga kwao moto
 
Kuna ******* wa aina zaidi ya 1.

* Hormonal imbalances, hawa ni wale ambao wako km wanawake kimuonekano wa asili, mfano ni Frankie Maston.

* malezi, makuzi, na mazingira, hawa ni wale ambao wana act au wanajifanyisha kuwa km ke, kutokana makuzi au mazoea kutoka udogoni, kuvaa mavazi ya kike, kucheza michezo ya kike, na hulka zingine za kike, mfano ni James Delicious.

* Tamaa na mikumbo, hawa ndio wale wanao jifunza ukubwani, ambao kwa % kubwa ndio wanabaki kuwa muscular, Gentle, Manhood pia. Na ndio ambao wanafanya gizani na sio rahisi kuwajua km sio mdau au muhusika wa hayo mambo.

NB: hormonal imbalance haifanyi mtu kuwa msenge, ni chaguo na maamuzi binafsi ya muhusika,

Nafikiri nimejibu kwa ufasaha.
Bado hujajibu swali langu,
Ila angalau umesema kitu.

Kwa maelezo haya hakuna anaezaliwa akiwa Shoga,, yaani hakuna mwanaume anaezaliwa akiwa na personality ya kishoga au akiwa na Hamu ya kuingiliwa, Bali ni Malezi na mikumbo na tamaa kama unavyosema mwenyewe.

So Ushoga kwa lugha Rahisi ni kwamba Kuna kitu kimekosekana au kimebadilishwa Kutoka Kwenye asili yake. Ni kweli??
 
Kuna namna serikali inaweza kuwa inaunda MATUKIO makubwa makubwa hata kama yana "LAANA* nzito nzito ili Mradi tu kuchota AKILI za watu weengi kwa pamoja na kuzielekeza huko kwenye MATUKIO hayo, mbali Kabisa na masuala muhimu ya jamii hiyo yanatokea wakati huo huo sambamba na MATUKIO hayo

Mtu anaweza kupima ujinga kiasi gani kwa kubariki
Kitaalamu kabisa wanachofanya ni social engineering

Na hivi tunavyowajadili ndio tunaingia kwenye mtego wao taratibu jamii itaona Hilo ni jambo la kawaida na wataanza kulikubali
 
Hujajibu swali la Kwanza Narudia mashoga wakiume wasio na tabia za kike Huwa Wana tabia zipi???

Nataka kujua Tabia au personality ya asili ya Shoga ni ipi?? (Bila kuiga au ku-adapt Jinsia nyengine)

Ya mwanaume inajulikana na ya Mwanamke Inajulikana.

Ya Shoga ni ipi??
Ujue ili ugundue nini mkuu mambo yao waachie wenyewe
 
Back
Top Bottom