Je, Mashoga walilipia kibali cha Sherehe?

Je, Mashoga walilipia kibali cha Sherehe?

Hizi ni agenda zinazopushiwa na watu kwa lengo la kuhamisha mijadala ya muhimu kwenye jamii wanajua wabongo mnapenda sana kufatilia mambo ya ushoga
 
Sijui huelewi au unalazimishwa usielewe au unaelewa lakini umeshachagua upande.

Nilianzia mbali sana ili tujue Hilo linaloitwa sijui choice au Haki ya kibinadamu ni jambo ambalo huja baada ya kuwepo fault Furani na wewe ulitaja kule Juu Aidha ni Malezi au makuzi??

Hiyo sio choice ya kawaida Katika jamii ya kawaida, sio sawa na Mimi labda niamue niishi mjini au kijijini au Nichague Dini Furani au nishabikie kitu Furani na sio Kengine.

Hizi ni choice ambazo ni za kawaida na hakuna fault yoyote inayoweza kuelezea hili.

Lakini ni tofauti na Ushoga Na ndio maana mashoga Wengi kama sio wote uki-trace utakutana na Makosa au mapungufu Kwenye Malezi au makuzi Yao. Au Jinai za Kijinsia walifanyiwa Kabla utotoni.

Sio jambo naturally mtoto wa kiume alelewe kiume alafu aje achague kuwa Shoga. Ila mtoto wa kiume ukimlea kikike Huenda akatamani kuwa Mwanamke.

Kuna sababu inayofanya mtu kuwa Shoga sio choice ya kawaida.

Mimi sijachagua kutokuwa Shoga Mimi nachojua ni mwanaume nimeumbwa mwanaume kwa Ajiri ya natural roles za kiume.

Majukumu nayokusudia sio hayo unayotaka kuyakimbilia,
Nakusudia majukumu ya kibaiologia
Mwanaume ameumbwa na physiology na maumbile ya kuzalisha kupitia kushiriki na Mwanamke ili kuendeleza Kizazi.

Na pia amekuwa more mascular kwa Ajiri ya roles za protection and dominance haya yote ngumu kuyapata kwa Shoga.
Kwa maelezo yako hayo nilicho gundua ninaeleweka, ila wewe ndio hutaki kuelewa, kwa kuwa unataka nipite ktk uelewa wako binafsi.

Msenge ana uwezo wa kuzalisha, na kufanya tendo na mwanamke, ikiwa sio khanithi, ndio maana nimekuambia kuwa wewe fikra na mtazamo wako ume base kwenye desturi ya kuona kuwa mwanaume anatakiwa kuwa dominant na sio submissive, ndio maana unapinga ushoga.

Ushoga ni maamuzi ya mtu, anaweza akazaliwa wa kiume, na akalelewa kiume, hadi akawa mkubwa, na kwa maamuzi su matakwa yake akaamua kuwq shoga.

Naona unaandika maelezo mengi wakati kitu kidogo na kinajibika kirahisi tu.
 
Jibu ni kwamba walifata taratibu zote na wakakubaliwa. Ni kwamba wasio Linda migongo yao wanatambulika na wamepewa ruhusa ya kuendelea kuwepo na kufanya mambo Yao bila bughudha. WANALINDWA
Unaweza kuwa na ushahidi wa hili???
 
Dkt. Gwajima D nyuzi kama hizi anapita pembeni
Nazipita kwa sababu nimeshagundua kuwa, huwa mnajua vema wapi mnaweza kuuliza jambo gani ila mnaacha mnakuja kwangu na hayo ni matumizi mabaya ya mimi. Mnajua vema vibali vyote vya shughuli za kijamii ikiwemo harusi, ubatizo, maulid nk huwa mnachukua kwenye mamlaka za serikali za mitaa na halmashauri kwa afisa Utamaduni, leo mnakuja kuniuliza mimi, halafu unatarajia nijibu, hapo lengo linakuwa nini sasa? Tafadhali fika kwenye halmashauri mlikoliona hilo jambo ili uulize kwa ufafanuzi zaidi kama walikuwa nacho au walijiamulia wenyewe maana, wizara niliko huwa hatutoi vibali vya shughuli yoyote ya kijamii tafadhali ndugu mpendwa na Serikali kwa ujumla haitoagi vibali vya shughuli zenye kuchochea mmomonyoko wa maadili. Ahsante sana
 
Nazipita kwa sababu nimeshagundua kuwa, huwa mnajua vema wapi mnaweza kuuliza jambo gani ila mnaacha mnakuja kwangu na hayo ni matumizi mabaya ya mimi. Mnajua vema vibali vyote vya shughuli za kijamii ikiwemo harusi, ubatizo, maulid nk huwa mnachukua kwenye mamlaka za serikali za mitaa na halmashauri kwa afisa Utamaduni, leo mnakuja kuniuliza mimi, halafu unatarajia nijibu, hapo lengo linakuwa nini sasa? Tafadhali fika kwenye halmashauri mlikoliona hilo jambo ili uulize kwa ufafanuzi zaidi kama walikuwa nacho au walijiamulia wenyewe maana, wizara niliko huwa hatutoi vibali vya shughuli yoyote ya kijamii tafadhali ndugu mpendwa. Ahsante sana
Mama Vicky, kwanza nikupe kongole kwa ku handle hii issues kisomi na kiweledi, japo umma unakupopoa na kukubananga ila umeamua kubaki na msimamo thabiti wa kufanya kiufasaha zaidi.

Pili, nakuomba jambo 1 ikikupendeza ukiwa km Waziri wa wizara husika, fanya kukutana na hawa Wahanga, kuna mengi wanahitaji kuyatua kwa mamlaka husika, ila hawana njia iliyo nyooka kuwafikia, km umeweza ku handle hili hushindwi kukutana na wahanga na mkajadili ili kupata ufumbuzi wa baadhi ya masuala kadhaa mutambuka.

Nawasilisha!
 
Umesema wapo wengine,,, Swali la Kwanza Hao wengine wasio na tabia hizo na mienendo hiyo Wao wanna tabia Gani?? Wao wanakuaje kuaje??

Na Mimi nasikiaga tuu Ila Sijawahi kuona shoga wa kiume asie na tabia za kike, hata hapo Juu nimeona hiyo clip ya hiyo inayodaiwa ni sherehe ya mashoga wote wanaonekana hapo wanafanya matendo ya kike, hata mavazi Yao ni ya kike.

Hata wewe mwenyewe humu Huwa ukiandika unaandika kikikekike una-urge kikikekike, na upande wako wa utetezi ni WA kike, kwanini?

Hii jamii ni kama vile inataka kusema gender ni zaidi ya male na female, Sasa ndio tunauliza watu hawa original and characteristic personality Yao ni ipi?
Kwenye tafsiri pana, anayeingiliwa (anayejihisi kuwa ni mwanamke) na anayemwingilia (mfirajji), wote ni mashoga. Kwa hiyo atakuwepo shoga anaye-behave kike kike na pia watakuwepo wanaobehave kama wanaume wa kawaida. Na hawa itakuwa vigumu kuwatambua kama ambavyo huwezi kuwatambua wanaofirra wanawake.
 
Nazipita kwa sababu nimeshagundua kuwa, huwa mnajua vema wapi mnaweza kuuliza jambo gani ila mnaacha mnakuja kwangu na hayo ni matumizi mabaya ya mimi. Mnajua vema vibali vyote vya shughuli za kijamii ikiwemo harusi, ubatizo, maulid nk huwa mnachukua kwenye mamlaka za serikali za mitaa na halmashauri kwa afisa Utamaduni, leo mnakuja kuniuliza mimi, halafu unatarajia nijibu, hapo lengo linakuwa nini sasa? Tafadhali fika kwenye halmashauri mlikoliona hilo jambo ili uulize kwa ufafanuzi zaidi kama walikuwa nacho au walijiamulia wenyewe maana, wizara niliko huwa hatutoi vibali vya shughuli yoyote ya kijamii tafadhali ndugu mpendwa na Serikali kwa ujumla haitoagi vibali vya shughuli zenye kuchochea mmomonyoko wa maadili. Ahsante sana
Wizara ina mkakati gani kuhusu hili jambo ndugu Dkt. Gwajima D !?
 
Kwenye tafsiri pana, anayeingiliwa (anayejihisi kuwa ni mwanamke) na anayemwingilia (mfirajji), wote ni mashoga. Kwa hiyo atakuwepo shoga anaye-behave kike kike na pia watakuwepo wanaobehave kama wanaume wa kawaida. Na hawa itakuwa vigumu kuwatambua kama ambavyo huwezi kuwatambua wanaofirra wanawake.
Sikutaka kumfafanulia hayo yote, kwa kuwa hapa kwetu wanajua Shoga ni Msenge tu, Basha sio Shoga.
 
Maadhimisho ya Mashoga yaliyofanyika buguruni , yallikuwa na kibali?
Sheri za jiji la Dar linataka sherehe yeyote kwenye ukumbi ulipie kibali katika manispaa husika, wao walilipa?
jiulize , jipe majibu.
UKipenda kuchukuachukua misaads ya wazungu matokeo ndo hayo.Hoo mara msitishe viboko shuleni, hoo mara wajawazito waendelee na shule, hoo mashoga walindwe unategemea nini?Sharti mojawapo hilo.
 
Mama Vicky, kwanza nikupe kongole kwa ku handle hii issues kisomi na kiweledi, japo umma unakupopoa na kukubananga ila umeamua kubaki na msimamo thabiti wa kufanya kiufasaha zaidi.

Pili, nakuomba jambo 1 ikikupendeza ukiwa km Waziri wa wizara husika, fanya kukutana na hawa Wahanga, kuna mengi wanahitaji kuyatua kwa mamlaka husika, ila hawana njia iliyo nyooka kuwafikia, km umeweza ku handle hili hushindwi kukutana na wahanga na mkajadili ili kupata ufumbuzi wa baadhi ya masuala kadhaa mutambuka.

Nawasilisha!
Ahsante sana. Maoni yako ya umuhimu wa kukutana na jamii kusikiliza kisa cha hatma zao kwa nini siyo njema na wanasaidikaje ni ya msingi. Na hili ndiyo jukumu la msingi la wizara hii. Kinachoshangaza ni baadhi ya watoa maoni kujifanya hawajui mipaka ya kila wizara na kutaka kuniyumbisha nitoke kwenye mstari niwe msemaji wa kila sekta na hapo ndiyo mimi na wao tunapishana mitazamo naamua kunyamaza waseme wao. Jana nikawapa na link uliko mkakati wa kitaifa wa kukabiliana na mmomonyoko wa maadili na kurasa ya 62-63 yenye mchanganuo wa sekta na wizara zote 12 na majukumu yao ili wasome kwa ajili ya kutoa ushauri na maoni na kuuliza mahali sahihi siyo ili mradi GwajimaD huyu hapa hili mtupie tu, iwapo mtazamo utakuwa ni huu basi huo siyo ushirikiano chanya na hatufaulu lolote.

Ahsante sana, maoni yako ni chanya, nimezingatia.
 
Wizara ina mkakati gani kuhusu hili jambo ndugu Dkt. Gwajima D !?
Mkakati siyo wa wizara ni Serikali yote taifa lote ukiwemo na wewe, jana Ig na Fb nimeelekeza uliko mkakati online, ingia Google andika MKAKATI WA TAIFA
WA KUKABILIANA NA MMOMONYOKO WA MAADILI
2026/27 - 2036/37
Utaona una jalada la bluu, nenda sura ya 4 kasome jedwali la mchanganuo wa wadau wanaohusika kwenye mkakati huo ukiwemo na wewe kama jamii na familia. Ukishawajua wadau, kuanzia leo maswali yote na maoni muwe mnachambua wizara gani ipewe na siyo kila kitu GwajimaD kwani, hiyo inakuwa matumizi mabaya ya GwajimaD, na ukweli usemwe tafadhali. Ahsante
 
Ahsante sana. Maoni yako ya umuhimu wa kukutana na jamii kusikiliza kisa cha hatma zao kwa nini siyo njema na wanasaidikaje ni ya msingi. Na hili ndiyo jukumu la msingi la wizara hii. Kinachoshangaza ni baadhi ya watoa maoni kujifanya hawajui mipaka ya kila wizara na kutaka kuniyumbisha nitoke kwenye mstari niwe msemaji wa kila sekta na hapo ndiyo mimi na wao tunapishana mitazamo naamua kunyamaza waseme wao. Jana nikawapa na link uliko mkakati wa kitaifa wa kukabiliana na mmomonyoko wa maadili na kurasa ya 62-63 yenye mchanganuo wa sekta na wizara zote 12 na majukumu yao ili wasome kwa ajili ya kutoa ushauri na maoni na kuuliza mahali sahihi siyo ili mradi GwajimaD huyu hapa hili mtupie tu, iwapo mtazamo utakuwa ni huu basi huo siyo ushirikiano chanya na hatufaulu lolote.

Ahsante sana, maoni yako ni chanya, nimezingatia.
Naomba nikuambie kitu Mama Vicky, niliona ule mkakati na niliupitia uko sahihi, na hata kule FB, Tulijadili mie nawe kwenye Comments section.

Linapofika suala la Ushoga, Umma wa Tz wanajitoa ufahamu na uelewa, hiyo yote ni kutaka kusikia au kufanyiwa utatuzi kupitia wanachokitaka wao, pasipo kuzingatia misingi ya utaratibu au kanuni takwa.

Sio kwamba hawajui kibali au ruhusa ya shughuri inatoka wapi, wanafahamu vizuri tu, ila wanakufata wewe ukiwa km waziri ili utoe Go Ahead ya wanachotaka wao, nafikiri uliona FB namna gani wanataka utoe tamko kuhusu hili jambo. Ila ukabaki kusimama kwenye utaratibu sahihi.

Nakuomba, Nakuomba, Nakuomba, nimeomba mara 3, fanya ukutane na wahanga wa hili jambo uweze kusikia na kuona wewe mwenyewe, usitume team yako au ya wizara, hapana, kutana nao wewe mwenyewe binafsi ili ujionee uhalisia wake na utajua ni namna gani ya kupata ufumbuzi wa kudumu wa hili suala.
 
Ahsante kwa maoni chanya, nitafanyia kazi. Hawa wanaotaka nitoe tamko kwenye hili sitatoa, kwa mujibu wa mkakati wetu iko mamlaka ambayo kwenye hili inawajibika ikikamilisha utaratibu itatoa. Ahsante sana.
 
Aisee, Kwani suala la vibali anatoa Nani?, sio Kwamba ni serikali za mitaa ndio zinatoa vibali halafu pia kibali Sidhani kama huwa wanaandika ni kibali cha Mashoga, ufuatiliaji wa utekelezaji wa kibali hicho naona ni mgumu Sana hasa Maeneo kama ya Dar.

Yaani utaratibu wowote ule ukishughulikiwa na serikali za mitaa basi Jua Tu kutakuwa na ugumu mkubwa kwenye ufuatiliaji coz maafisa wao hawana huo muda wa kufuatilia mambo kama hayo, Kwanza akifuatilia atapozwa hata laki tano na akiangalia Halmashauri kulivyo na njaa vile basi anatulia tu, Polisi nao pia ni vile vile.

Huko chini kabisa maafisa wa serikali hawana uhakika na maisha Yao, maslahi Yao ni madogo sana so hakuna atakayepoteza muda wake kufuatilia, Hilo suala Nafikiri linaishia ndani ya majengo ya bunge tu na kule bungeni pia wapo wanasapoti chinichinj kwasababu mule bungeni ikiongelewa hiyo ishu utaona jinsi atmosphere inavyokuwa ziiiiiii.
 
Aisee, Kwani suala la vibali anatoa Nani?, sio Kwamba ni serikali za mitaa ndio zinatoa vibali halafu pia kibali Sidhani kama huwa wanaandika ni kibali cha Mashoga, ufuatiliaji wa utekelezaji wa kibali hicho naona ni mgumu Sana hasa Maeneo kama ya Dar.

Yaani utaratibu wowote ule ukishughulikiwa na serikali za mitaa basi Jua Tu kutakuwa na ugumu mkubwa kwenye ufuatiliaji coz maafisa wao hawana huo muda wa kufuatilia mambo kama hayo, Kwanza akifuatilia atapozwa hata laki tano na akiangalia Halmashauri kulivyo na njaa vile basi anatulia tu, Polisi nao pia ni vile vile.

Huko chini kabisa maafisa wa serikali hawana uhakika na maisha Yao, maslahi Yao ni madogo sana so hakuna atakayepoteza muda wake kufuatilia, Hilo suala Nafikiri linaishia ndani ya majengo ya bunge tu na kule bungeni pia wapo wanasapoti chinichini kwasababu mule bungeni ikiongelewa hiyo ishu utaona jinsi atmosphere inavyokuwa ziiiiiii
 
Back
Top Bottom