Soma sura ya 4 jua hoja gani ufikishe wapi vinginevyo mkakati ungekuwa wa wizara moja. Lengo langu ilikuwa uelewe tu kuwa, ukiona siku ingine napita kama naaga maiti basi ujue yuko wa kusema msubiri. Aidha, huyo mtoto mc ustawi wa jamii Dar walienda hadi kwao na ripoti ninayo, kama umeona video labda za zamani maana jamii ina tabia ya kupakia upya mambo ya kale. Vinginevyo, ujumbe umefika kuwa, uwanjani kuna wachezaji wengi mpira uzunguke tafadhali kwa mjibu wa kanuni na taratibu za mchezo Vinginevyo utasababisha mnaitaga kiswahili faulo sijui. Kwa heri