Je, Mashoga walilipia kibali cha Sherehe?

Je, Mashoga walilipia kibali cha Sherehe?

Bado hujajibu swali langu,
Ila angalau umesema kitu.

Kwa maelezo haya hakuna anaezaliwa akiwa Shoga,, yaani hakuna mwanaume anaezaliwa akiwa na personality ya kishoga au akiwa na Hamu ya kuingiliwa, Bali ni Malezi na mikumbo na tamaa kama unavyosema mwenyewe.

So Ushoga kwa lugha Rahisi ni kwamba Kuna kitu kimekosekana au kimebadilishwa Kutoka Kwenye asili yake. Ni kweli??
Hakuna anayezaliwa Shoga, ushoga ni choices ya mtu mwenyewe, walau wanaosema hivyo ni wale kwenye hormonal imbalances au makuzi na mazoea toka utotoni, ila sio kweli.

Kumbe unazungumzia inborn ndio ukaweka personality? Hakuna mwanaume anazaliwa akiwa shoga au hamu ya kuingiliwa, ila ni mindset ya mtu husika kuvutiwa na jinsia yake tu, au kujiona km mwanamke, hivyo kuruhusu fikra na mawazo ya kutaka kuingiliwa.

Kitu kukosekana au kubadilishwa kutoka kwenye asili yake nini una maanisha? Ili twende sawa.
 
Msingi wa hoja yangu ni kwamba wanaume wanazaliwa wakiwa na hulka ya kiume na wanawake wanazaliwa wakiwa na hulka ya kike.

Mashoga wa kiume nao wanazaliwa wakiwa wanaume kwa Ajiri ya roles za kiume.

Na hakuna mwanaume anaezaliwa naturally akahisi anatakiwa kuingiliwa au kushiriki na mwanaume Mwenzie.

Ili Hilo litokee lazima kuwe na shida Kwenye Malezi, makuzi, na vitu mfano wa hivyo.

Yaani ni kusema kwamba Ikiwa Malezi yataenda vizuri na mtoto akalindwa dhidi ya Jinai za kijinsia ni anaenda kuwa mwanaume Wala asitamani kuwa Shoga.

Kwaiyo ndio nikasema ili uwe Shoga ina maana Kuna vitu havikukaa sawa, Aidha utotoni au ukubwani.

Kwaiyo ushoga ni matokeo ya Makosa na sio chaguo la hiari.
 
So kama Ikiwa mashoga wengi ni matokeo ya Malezi au makuzi yenye mapungufu, au tamaa na vitu kama hivyo.

Yaani sio natural wish au tusema choice.

Sasa vipi hili jambo liwe promoted kwanini tusifanye harakati kuzuia vijana wa kiume wasiingie Kwenye ushoga kwa sababu hawakuumbwa ili waje kuwa Mashoga wameumbwa ili wawe wanaume, na washiriki mambo ya kiume!!!!
 
Sasa nimekupata, kwanza kuna tofauti kati ya Hulka na Silka, hulka ni artificial, na sila ni natural,

Unachozungumzia wewe ni silka na sio hulka, kwamba akizaliwa ke basi afanye roles za ke, akizaliwa me basi afanye roles za me.

Ni hivi, mtu anapozaliwa kwenye matatizo ya hormonal, lazima atafanya vitu tofauti na jinsi yake, sababu ni msukumo kutoka ndani, mfano wa hao watu, Frankie maston, Clara luvanga, Semenya etc. Sasa hawa ili kuwa guide wawe kulingana na jinsi aliyonayo anatakiwa uangalizi na malezi ya ukaribu zaidi, kwa kumfunza roles za jinsi yake, regardless yeye atakua anaona sio ila ni lazima hii ni kutokana na desturi au tamaduni husika, elewa kwa umakini hapa.

Mtu kuwa shoga vitu havikukaa sawa yess ikiwa na hormonal imbalances ndani yake, ambapo haikuzingatiwa kikamilifu ili kuepukana na janga hilo.

Sijui unaelewaa??
 
So kama Ikiwa mashoga wengi ni matokeo ya Malezi au makuzi yenye mapungufu, au tamaa na vitu kama hivyo.

Yaani sio natural wish au tusema choice.

Sasa vipi hili jambo liwe promoted kwanini tusifanye harakati kuzuia vijana wa kiume wasiingie Kwenye ushoga kwa sababu hawakuumbwa ili waje kuwa Mashoga wameumbwa ili wawe wanaume, na washiriki mambo ya kiume!!!!
Kwanini uwazuie? Ikiwa wao wameamua kuwa mashoga? Twende taratibu sasa usilete mihemko ili tuelewane,

Ushoga ni choices ya mtu husika, km ambavyo wee hujawa shoga, una haki hiyo. Na yeye ana haki hiyo hiyo pia.

Hii ya kusema wanaume wameumbwa kuwa wanaume, kwani mashoga ni wanawake? Au majukumu ya kiume hayatimizwi? Ninaona ni mindset ya hapa kwetu inayotokana na desturi ya mfumo dume kuona mwanaume anatakiwa dominant na sio submissive.
 
Maadhimisho ya Mashoga yaliyofanyika buguruni , yallikuwa na kibali?
Sheri za jiji la Dar linataka sherehe yeyote kwenye ukumbi ulipie kibali katika manispaa husika, wao walilipa?
jiulize , jipe majibu.
kwani kibali unaulizwa hiyo sherehe inahusu nini? wahusika ni akina nani? au unalipa tu ada wanakupa
 
Na mtalia sanaa, mbona hapo bado, wakati ujao jambo linafanyika Aidha Kwa Mkapa au Uhuru, Tena mchana kweupeee.

Wapee salamuuu!! 😂😂😂😂
Na wewe ulikuwepo siku ya mkutano na ulitoa hoja na mchango wako ili chama kiende mbele zaidi .
 
Maadhimisho ya Mashoga yaliyofanyika buguruni , yallikuwa na kibali?
Sheri za jiji la Dar linataka sherehe yeyote kwenye ukumbi ulipie kibali katika manispaa husika, wao walilipa?
jiulize , jipe majibu.
Mwanangu hayo mambo huyawezi usichoamini ni kwamba sasa hivi asilimia kubwa ya Mashoga ni Matajiri sio tena hawa watoto wachafu waachafu kwa hio masponsor wa hio sherehe ni matajiri wakubwa tu na wana mkono wao serikalini usijiulize kwanini imeachwa ipite wewe kaa tu kimya hivyo hivyo serikali baada ya kuwaua October 29 sasa imeamua kuwafira na itawafira sana hao viongozi wanaopiga kelele wanaonekana km makasuku tu waliofungiwa kwenye cage kila wanachosikia na wao wanajibu huku wakiwa hawana impact yoyote ya kutokomeza ushoga zaidi ya kubwabwaja maana walioshikilia ushoga sasa hivi ni watu matajiri sio hawa vijana wachafu wachafu wa hali ya chini mashoga sasa hivi ni wale watu matajiri walioshika mizizi ya serikali, kwa hio hata uiambie nini serikali haikuelewi sababu ndani ya serikali kuna mashoga wanafanya kazi za serikali wameshajiweka humo unapoiambia serikali kuhusu mashoga yenyewe serikali imejaa mashoga inakuelewaje kwa mfano?
 
Kuna muda huwa nawashangaa Watanzania kujisahaulisha mfumo wetu wa maisha. Wengine wanahoji kama intelijensia haikuwa na taarifa?
Sasa nawauliza kama sherehe zingefanyika kwa mafanikio katika intelijensia hii hii katika hali zifuatazo:

1. Hali ingekuwaje kama wapinzani wangekuwa wameandaa kikao bila taarifa?

2. Nini kingetokea kama sherehe ya kumuozesha binti mwanafunzi ingekuwa imeandaliwa kufanyika?

Mkijibu hayo maswali ndipo muanze kujiuliza, je, intelijensia ilikuwa haina taarifa na hiyo sherehe ya mashoga?
Serikali inatambua haki za mashoga na imesaini mikataba ya kimataifa ya kuzitetea.

Ndiyo maana Makonda alipowaandama, Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dr. Mahiga Mr. X. alimkana Makonda akasema hayo yalikuwa maneno yake binafsi Makonda si msimamo wa serikali.

Hielewi wapi?
 
Kwanini uwazuie? Ikiwa wao wameamua kuwa mashoga? Twende taratibu sasa usilete mihemko ili tuelewane,
Sijui huelewi au unalazimishwa usielewe au unaelewa lakini umeshachagua upande.

Nilianzia mbali sana ili tujue Hilo linaloitwa sijui choice au Haki ya kibinadamu ni jambo ambalo huja baada ya kuwepo fault Furani na wewe ulitaja kule Juu Aidha ni Malezi au makuzi??

Hiyo sio choice ya kawaida Katika jamii ya kawaida, sio sawa na Mimi labda niamue niishi mjini au kijijini au Nichague Dini Furani au nishabikie kitu Furani na sio Kengine.

Hizi ni choice ambazo ni za kawaida na hakuna fault yoyote inayoweza kuelezea hili.

Lakini ni tofauti na Ushoga Na ndio maana mashoga Wengi kama sio wote uki-trace utakutana na Makosa au mapungufu Kwenye Malezi au makuzi Yao. Au Jinai za Kijinsia walifanyiwa Kabla utotoni.

Sio jambo naturally mtoto wa kiume alelewe kiume alafu aje achague kuwa Shoga. Ila mtoto wa kiume ukimlea kikike Huenda akatamani kuwa Mwanamke.

Ushoga ni choices ya mtu husika, km ambavyo wee hujawa shoga, una haki hiyo. Na yeye ana haki hiyo hiyo pia.
Kuna sababu inayofanya mtu kuwa Shoga sio choice ya kawaida.

Mimi sijachagua kutokuwa Shoga Mimi nachojua ni mwanaume nimeumbwa mwanaume kwa Ajiri ya natural roles za kiume.
Hii ya kusema wanaume wameumbwa kuwa wanaume, kwani mashoga ni wanawake? Au majukumu ya kiume hayatimizwi? Ninaona ni mindset ya hapa kwetu inayotokana na desturi ya mfumo dume kuona mwanaume anatakiwa dominant na sio submissive.
Majukumu nayokusudia sio hayo unayotaka kuyakimbilia,
Nakusudia majukumu ya kibaiologia
Mwanaume ameumbwa na physiology na maumbile ya kuzalisha kupitia kushiriki na Mwanamke ili kuendeleza Kizazi.

Na pia amekuwa more mascular kwa Ajiri ya roles za protection and dominance haya yote ngumu kuyapata kwa Shoga.
 
Back
Top Bottom