Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,476
- 27,275
Maadhimisho ya Mashoga yaliyofanyika Buguruni , Wilaya ya Ilala , Dar es salaam ,Je yallikuwa na kibali?
Halmashauri itatoa kibali iwapo itajiridhisha na mambo yafuatayo:
(a) .....
(b) eneo linaloombewa kibali cha kufanyia shughuli ya burudani au sherehe linaruhusiwa kwa
shughuli inayoombewa kibali;
(c) kumbi za burudani au sherehe zina usalama wa kutosha ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa vifaa
vya kuzima moto, madirisha makubwa ya kuingiza hewa, milango inayofunguka kwa urahisi wakati wa dharura; na
(d) shughuli ya burudani au sherehe haikiuki maadili ya kitanzania
Sheri za jiji la Dar linataka sherehe yeyote kwenye ukumbi ulipie kibali katika Manispaa husika, wao walilipa?
jiulize , jipe majibu.
#Staki-Nataka
Sheria Ndogo ya Ada na Vibali vya Shughuli za Burudani na Sherehe za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ya mwaka 2024, Government Notice 512 of 2024 S. 7(d )https://tanzlii.org/en/akn/tz/act/gn/2024/512/eng@2024-05-21
Kifungu cha saba ninakinukuu:-Halmashauri itatoa kibali iwapo itajiridhisha na mambo yafuatayo: