Nilikuanzia mbali sana, kukuuliza kwanini mashoga wengi kama sio wote lazima wa-adapt tabia za kike.
Je Kuna uhusiano Kati ya Kuingiliwa na kuwa wakike??
Ngoja ninukuu ulichokiandika kule Juu
"
* malezi, makuzi, na mazingira, hawa ni wale ambao wana act au wanajifanyisha kuwa km ke, kutokana makuzi au mazoea kutoka udogoni, kuvaa mavazi ya kike, kucheza michezo ya kike, na hulka zingine za kike, mfano ni James Delicious.
* Tamaa na mikumbo, hawa ndio wale wanao jifunza ukubwani, ambao kwa % kubwa ndio wanabaki kuwa muscular, Gentle, Manhood pia. Na ndio ambao wanafanya gizani na sio rahisi kuwajua km sio mdau au muhusika wa hayo mambo.
NB: hormonal imbalance haifanyi mtu kuwa msenge, ni chaguo na maamuzi binafsi ya muhusika," MWISHO WA KUNUKUU
Haya maelezo yalikuwa Yana maana gani Ikiwa ushoga sio matokeo ya Makosa Katika Malezi na makuzi.
Wewe hueleweki ulisema vyema aina za mashoga au Namna Shoga anavyopatikana alafu Tena unakuja kusema Ushoga ni choice ya kawaida not a result of a fault.
Unazungumzia kuhusu hormonal imbalance, Malezi na makuzi alafu tena unasema ushoga ni choice hata kama mtu atalelewa traditionally kuwa wakiume.
Fafanua vizuri.