Utakufa na stress mkuu kunywa maji. Wewe ulitaka lazima tupate hizo $190B tu. Kwa taarifa yako benefit tulizopata kwa sasa hivi ni zaidi ya hiyo $190B ila kwa kuwa akili yako ni fupi kama ulivyo mfupi ndiyo maana huwezi elewa na huyo msaliti mwenzio Lissu. Si mlisema tutashitakiwa na hizo Miga zenu! Sasa hamna tena hoja zaidi ya propaganda zenu tu. Ngoja tusubiri uchaguzi October 2020 tuifute kabisa hii Saccos na Mwenyekiti wenu wa kudumu ameshajua kuwa saccos ina kwenda kufutika TZ ndiyo maana akakimbia haraka haraka kwenda Mwanza kwenye Sherehe za Uhuru kwenda kuomba maridhiano kwa kuwa anaona mbeleni ruzuku ina kwenda kupotea! HAPA KAZI TU!