Ilo shetani UCD ukitaja MUNGU linachukia sababu ni moja la mashetani yaliyomkasirikia MUNGU kwa kumponya LISU. Na wao kushindwa kwa UWEZA WA MUNGUKisiasa ameshindwa kweli maana kachakazwa hasa kiasi kwamba hata si Mbunge tena, Ila ki afya yeye ni mshindi. Sasa ww ulikuwa unashindana nae kisiasa au kwa afya yake? Maana wafuasi wake naona wanampongeza kwa kuishinda mauti na wewe unamshambulia kwa kushindwa kisiasa. Tuchukue nafasi hii kumpongeza kwa kupigania uhai wake na kwa uweza wa MUNGU bado yupo imara.