Ningekuwa mchungaji ningepiga marufuku harusi za usiku kanisani kwangu. Hutaki hama kanisa kafunge ndoa kwenye makanisa yanayoruhusu harusi zifanyike usiku
we huoni yale majimama na masistaduu wanavyovaa? Unakuta jitu limevaa nguo nyashi yote imebana mistari ya chupi inaonekana wahuni wanawaza watawapatajeDuhh, kama yapi Kwa mfano mkuu?
mkuu za sikuHapo mnaongelea dar-es-salaam tu. Ila huku ngoma mchana. Saa mbili usiku wanakusanya tu viti
Uzinzi, ulevi, uwizi, na mambo mengine machafu ya dizaini hiyoDuhh, kama yapi Kwa mfano mkuu?
Kuzinduana? Wengi wao wanakuwa walishazinduana kitambooo!Hizi harusi za usiku nyingi ni ushenzi na uhuni mtupu. Kwanza ni harusi za kibaguzi na kichoyo, kuna mavazi ya kikahaba wanavaa wanawake, ni full ulevi. Harusi safi hufungwa mchana na sherehe yake ni mchana peupe bwana na bibi harusi wapate muda wa kwenda kuzinduana mapema na bi harusi aamke mapema alfajiri tayari kuwajibika kwa mambo ya nyumbani kwake
ishu ni sherehe kufanyika usiku ukumbini, ndoa hufungwa mapema tu wengine saa nne wengiine saa kumi jioni, sasa nini kinapelekea sherehe kufanyika usiku?Mkuu sherehe ndio hufanyika usiku Ila hamna Ndoa inayofungwa usiku, Serikali hairuhusu Hilo Jambo kabisa. Nafikiri ikivuka saa 11/12 Jioni ni marufuku Ndoa kufungwa.
hili la kuzinduana mapema kabla ya ndoa kufungwa huko ni kukosa maadili ya dini na mila. Ni kweli kumekuwepo na mimba tayari na hawachukuliwi hatua za kinidhamuKuzinduana? Wengi wao wanakuwa walishazinduana kitambooo!
Wengine mpaka mimba zinakuwa kubwa tu
Ni kutoa nafasi kufanya mambo baada ya kazi mbali na kuwa fursa ya kufanya mambo ya kikubwa hata ya hovyoEid Mubarak WanaJF.
Naomba kuuliza kama kuna faida yoyote ya sherehe za harusi kufanyika usiku.
Harusi imefungwa mapema mchana au Jioni lakini shughuli za Ukumbini zinaanza saa 2 usiku mpaka saa 6 usiku pengine na kuendelea mpaka asubuhi.
Chakula na vinywaji vinaliwa kuanzia saa 4 usiku watu wameshachoka na pengine hata kuishiwa na hamu.
Naomba kuuliza kuna umuhimu wowote wa sherehe hizi kufanyika usiku badala ya mchana?
Kwanini zisianze mapema na kutamatika Saa 1 usiku na ikichelewa Sana iwe Saa 2 usiku ili wahusika waweze kuwahi makwao mapema na kupunguziana uchovu?
Nawasilisha
Mara nyingi mchana watu wanakua na heka heka za kutafuta pesa, ndo maana sherehe hizo hufanyika usiku wakiamini watu wameshatoka kazini.Eid Mubarak WanaJF.
Naomba kuuliza kama kuna faida yoyote ya sherehe za harusi kufanyika usiku.
Harusi imefungwa mapema mchana au Jioni lakini shughuli za Ukumbini zinaanza saa 2 usiku mpaka saa 6 usiku pengine na kuendelea mpaka asubuhi.
Chakula na vinywaji vinaliwa kuanzia saa 4 usiku watu wameshachoka na pengine hata kuishiwa na hamu.
Naomba kuuliza kuna umuhimu wowote wa sherehe hizi kufanyika usiku badala ya mchana?
Kwanini zisianze mapema na kutamatika Saa 1 usiku na ikichelewa Sana iwe Saa 2 usiku ili wahusika waweze kuwahi makwao mapema na kupunguziana uchovu?
Nawasilisha
Hali ya hewa, ngono....Eid Mubarak WanaJF.