Eid Mubarak WanaJF.
Naomba kuuliza kama kuna faida yoyote ya sherehe za harusi kufanyika usiku.
Harusi imefungwa mapema mchana au Jioni lakini shughuli za Ukumbini zinaanza saa 2 usiku mpaka saa 6 usiku pengine na kuendelea mpaka asubuhi.
Chakula na vinywaji vinaliwa kuanzia saa 4 usiku watu wameshachoka na pengine hata kuishiwa na hamu.
Naomba kuuliza kuna umuhimu wowote wa sherehe hizi kufanyika usiku badala ya mchana?
Kwanini zisianze mapema na kutamatika Saa 1 usiku na ikichelewa Sana iwe Saa 2 usiku ili wahusika waweze kuwahi makwao mapema na kupunguziana uchovu?
Nawasilisha