tikakami wa lopelope
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,377
- 674
hapo ndipo ant christ atatokea na kujinadi yeye ni Mungu na atakuwa ni myahudi
Anti christ mbona wako pale tayari wanasubiria kushindwa kwa aibu kuu ambayo itawafanya wadhihirike na wajulikane ulimwenguni kote.