Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

Nani mmiliki halali?
Wapalestina ndo nchi yao enzi na enzi, but kwa mujibu wa Biblia Mungu aliwaahidi wana wa Israel kuwa kuna nchi ya ahadi atawapa ambayo ni kanani sasa Israel. mzozo unakuja hapa, Wayahudi wanadai ni nchi yao ya ahadi Mungu aliwapa, km urithi wao. Wapalestina wanadai ni nchi yao toka dunia inaumbwa hapo ndo patamu sasa
 
Ni kweli mkuu pale kuna kabuli la mariamu mama yake nabii issa LAKINI Pale hakuna kaburi la Mariam mama yake Yesu kristo aliye hai maana alipalizwa mbinguni...
Ndo maana sisi wakatoriki hua tuna sherehe ya Kupalizwa kwa Bikra Maria..

Amen
Mkuu samahani. Hv kumbe yesu pamoja na mama ake walipazwa kwenda mbingun?
 
Haina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu yenye utajiri wa maisha ya Kristo Yesu.

Waislamu pia wote, huamini kuwa Makka ni mahali patakatifu na ni moja ya nguzo tano za muislamu halisi kufika huko walau mara moja kuhiji. Mamilioni hufika huko kila mwaka.

Tujiulize, kwa nini mji wa Jerusalem una mavurugu makubwa kuliko mji wa Makka? Je, waislam ni wastaarabu kuliko wakristo? Je, wakristo wameshindwa kuulinda mji wa Jerusalemu?

Pia ni kwa nini Makka haugombewi na wakristo, ila waislamu hugombea tena kisheria mji wa Yerusalemu ulio na matakatifu ya wakristo?

Wakristo hawajawahi kugombea Jerusalem. Rekebisha kwanza kichwa cha habari.

Yerusalem ni mjiwa Israel miaka yote. Wanaong'ang'ania kuwa ni wao, ni waarabu wasiojitambua. Ukiwauliza leo kwa nini wanaua watu kwa kugombea Isreal, watakuambia ni kw asababu America anawapa silaha!

Kuhusu swali kwa ni ni Meca haigombewi, (sijui na nani), nitajibu kama ifuatavyo.

Wayahudi na aho unaowasema Wakristo ni watu wanaojitambua. Wanajua eneo hilo ni la waarabu na hawana haja ya kufanya ugomvi wa kihayawani kwa sababu ya utashi wa dhurma. Wanamhesimu Mungu.

Sababu ya kutokuwa na ugomvi maka ni kwa sababu wako waarabu peke yake na hawachanganyikani na binadamu. Hata katika mbuga za wanyama kama ngorongoro, mikumi n.k, wanyama wa aina moja hukaa pamoja na huwa kuna utulivu, wakitembea katika makundi na kufanya shughuli kwa pamoja, ingawa waarabu ustaarabu wa kukaa kwa amani hata wao kwa wao, tu wanazidiwa na wanyama pori wa Serengeti.

Jerusalem kuna vurugu kwa sababu kuna wanyama waitwao waarabu ambao kwao amani ni sumu.
 
Du; kwa muktadha wa mleta UZI kauweka mji wa Jerusalem kwasababu ya YEsu kuishi na kufia Jerusalem, sasa hebu nipe connection ya Roman na Yesu please!? Nijuavyo Yesu aliwahi kuja Africa but Ulaya wala hata kukanyaga hakuwahi.
Baba yesu hajafa bado
 
Wakristo wanahaki na huo mji kivipi?Huo mji ni mali ya waislam na wayahudi ndo kipindo chote cha mgogoro huo hutaona wakristo wakiingilia.Huo mji wa Yerusalem au Baytul mukadas ni mji wenye msikiti mkubwa sana na una historia kubwa ya uislam enzi kabla ya mtume Mohammadi(saw)
Wewe hujui hata ulichokiandika.
mji wao mtakatifu ni roma
 
Kwa hiyo wakristo hawana mji wao mtakatifu? Maana hapo muslims watadai yote
Mji wa wakristo mtakatifu sio huu unaogombewa bali ni 'Yerusalemu mpya inayokuja'! Ikumbukwe mambo ya kikristo yapo kiroho zaidi ya wenzetu ambayo yapo kimwili! Ndio maana wakristo hawataandamana ukichana biblia bali watakuombea rehema tu...wenzetu ukichana ile inaitwa nini vile...huuu utakatwa vipandevipande kama sio kuchomwa moto kabisaa...kwa kufupi hawatakuacha salama!

What is the New Jerusalem?
 
Kweli kifo ni lazima kwa kila kiumbe ila kunabaadhi ya watu hawakufa, Maria hawez rudi tena na hatohesabiwa siku ya hukumu kwani yy ni mbarikiwa mkingwa dhambi ya asili
NDIO MARIA ALIPALIZWA.
Wewe mbona unahitimisha kua hakufa na kupalizwa..?
Kanisa katoriki ina record ya watakatifu ambao hawakuonja umauti..
Mm nao wajua ni
-Bikira Maria mama wa Yesu Kristo (sio issa)
-Henocko
-Nabii Eliya (kama sijakosea)

Na watakatifu wengine..
Dini zingine bhana cjui zipoje
 
Kwanini waktisto hubatizwa..?
Wakristo hua tunabatizwa kwa sababu tunaamini kus mtu anapo zaliwa hua analisi dhambi ya asili kutika kwa wazazi wetu wa kwanza, so Automaticaly mtoto anakua na dhambi hivyo tunabatizwa ili kufuta ile dhambi ya asili. Hiyo ndo sababu kubwa na sio kwa sabwbu zunawatoa watoto kwenye uislam.
Kwa hiyo tunabatiza watoto kwasababu tunajua muda uislam ulipo anza..?
Mkuu sasa kama mtt akizaliwa mnambatiza ili kuifuta dhambi ya kurithi ni sawa lkn ni kwann huo utaratibu unaendelea tena baada ya mtt huyo kukua na yeye akiwa na mtt tena hulazimika kumbatiza ili kuifuta dhambi ya kurithi wakati mlishaifuta kwa wazazi wake? Hiyo dhambi inatoka wapi tena?
 
hapo ndipo ant christ atatokea na kujinadi yeye ni Mungu na atakuwa ni myahudi
 
Jaribu kujielimisha kidogo utagundua kwamba unachokiandika hakifai. Kwa uchache, Roman Catholic (RC) ni sehemu ya ukristo. Ni sawa na kusema kwamba Wakatoliki wote ni wakristo lakini si wakristo wote ni wakatoliki.
Kwann mmejigawa mafungu?
 
Mji wa wakristo mtakatifu sio huu unaogombewa bali ni 'Yerusalemu mpya inayokuja'! Ikumbukwe mambo ya kikristo yapo kiroho zaidi ya wenzetu ambayo yapo kimwili! Ndio maana wakristo hawataandamana ukichana biblia bali watakuombea rehema tu...wenzetu ukichana ile inaitwa nini vile...huuu utakatwa vipandevipande kama sio kuchomwa moto kabisaa...kwa kufupi hawatakuacha salama!

What is the New Jerusalem?
si kweli,
ni hivi baada ya kichapo cha crusade,waliamua kutumia njia za convert ili kufanya kuikomboa jerusalem,wakabuni njia ya kuwatumia wayahudi ili kutimiza lengo lao,
sasa ambacho hawakukijua in reality wayahudi ndo wanawatumia christian kutimiza malengo yao.
Kama hujui vita vya crusade ilianzishwa miaka ya 900 AD Na papa Urban,
lengo likiwa ni kuukomboa mji wa jerusalem.
Hii vita ndo ilipelekea kuanguka kwa Roman empire,
hii vita ilichukua mda wa miaka 400 in total.

Mgogoro ulioko sasa kuhusu Jerusalemu tunaweza kusema bado upo stage changa mno,na kwa makisio ya haraka itachukua miaka mingine 500 kwa hali kuwa shwari kabisa eneo hilo,
kipindi hicho yuliopo sasa hatutakuwepo,watakuwa wanatusoma katika historia tuu
 
Back
Top Bottom