Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

labda nami nikufafanulie kidogo.

--uyahudi maana yake ni mtu wa yuda ama mzao wa yuda.

--ukristo maana yake ni ufalme,mteule ama kwa maana halisi ni mpakwa mafuta au king.


--uislamu maana yake ni kumtii mungu ama kujinyenyekeza kwa mungu ama kuwa chini ya mungu,yaani kujisubmit kwa mungu.


Sasa wanapokwambia uislamu upo tangu enzi za kina abraham,ujue wanaongelea watu wameanza kumwambudu mungu kabla ya huo uyahudi ama ukristo
Kwa hiyo na mababu zetu nao ni waislamu kwa sababu walimwabudu Mungu.
 
Haina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu yenye utajiri wa maisha ya Kristo Yesu.

Waislamu pia wote, huamini kuwa Makka ni mahali patakatifu na ni moja ya nguzo tano za muislamu halisi kufika huko walau mara moja kuhiji. Mamilioni hufika huko kila mwaka.

Tujiulize, kwa nini mji wa Jerusalem una mavurugu makubwa kuliko mji wa Makka? Je, waislam ni wastaarabu kuliko wakristo? Je, wakristo wameshindwa kuulinda mji wa Jerusalemu?

Pia ni kwa nini Makka haugombewi na wakristo, ila waislamu hugombea tena kisheria mji wa Yerusalemu ulio na matakatifu ya wakristo?
Labda ufafanue kwanza. Ni watu gani hufanya hizo vurugu hapo Jerusalem.
Then turudi kujadili.
 
Kwaushauri wangu rudi haraka kanisani kasome tena bible neno kwa neno.
mkuu wee ni taalama ya
mganga.jpg
 
Du; kwa muktadha wa mleta UZI kauweka mji wa Jerusalem kwasababu ya YEsu kuishi na kufia Jerusalem, sasa hebu nipe connection ya Roman na Yesu please!? Nijuavyo Yesu aliwahi kuja Africa but Ulaya wala hata kukanyaga hakuwahi.
conection ni kubwa yesu alimpa petro ambae alikua moja ya watumishi wake mamlaka ya kujenga kanisa lake na baada ya yesu kufariki watumishi wake walisakamwa na wengie kuuwawa petro alifanikiwa kukimbilia italy na uko ndipo kanisa la kwanza likajengwa la roman 'st peter' na petro ndio papa wa kwanza.
 
Nabii Ibrahim ndio aliyejenga msikiti wa Kaaba uliopo Makka miaka 2000 kabla ya Mtume Muhammed
Kwa hiyo yes islam ulikuwepo tangu zama hizo
Huyo Ibrahim unayenzungumzia ni huyu Ibrahim wa Biblia au wa Kurani? Maana wapo tofauti as wa Biblia hakuwa nabii na hakuwahi kujenga msikiti
 
Ndugu Jerusalem itaisha ugomvi pindi Waislam watakaposoma historia na kuelewa hakukuwahi kuwa na uislam kabla ya Mohammed.
 
Ndugu Jerusalem itaisha ugomvi pindi Waislam watakaposoma historia na kuelewa hakukuwahi kuwa na uislam kabla ya Mohammed.
Nilivyokuwa na miaka 13, "1945" askari wa kizayuni walikuja kwetu na kututoa kwa nguvu wakati huo naishi na Dada akiwa na mtoto na ujauzito ,tulikataa kilichotokea tulipigwa na nilishuhudia kwa macho yangu Dada akifa na niliwazika tokea hapo nikaiweka dini yangu pembeni na adhma yangu ni kutetea utu wetu ,makazi yetu na haki yetu

-George Habbash "muasisi wa PLFP "
 
Nilivyokuwa na miaka 13, "1945" askari wa kizayuni walikuja kwetu na kututoa kwa nguvu wakati huo naishi na Dada akiwa na mtoto na ujauzito ,tulikataa kilichotokea tulipigwa na nilishuhudia kwa macho yangu Dada akifa na niliwazika tokea hapo nikaiweka dini yangu pembeni na adhma yangu ni kutetea utu wetu ,makazi yetu na haki yetu

-George Habbash "muasisi wa PLFP "
Kumbe 1945, ongelea kipindi Ibrahim anawasili eneo hilo
 
ndo maanake
Mimi katu sio muislam!!! Japo mzazi wng mmoja ana asili ya kiyahudi, mie si muyahudi pia!

Hao mitume na manabii wa Biblia nao si waislamu...labda kama muslisms wana their Adam, Musa, Ibrahim, Isaka n.k tofauti na wa kwenye biblia.

So, msilazimishe kutengeneza definitions zenu kila mmoja akaonekana ni muislam.
 
Back
Top Bottom