Huo msikiti wa kabla ya mtume ulikua wa dini gani?Wakristo wanahaki na huo mji kivipi?Huo mji ni mali ya waislam na wayahudi ndo kipindo chote cha mgogoro huo hutaona wakristo wakiingilia.Huo mji wa Yerusalem au Baytul mukadas ni mji wenye msikiti mkubwa sana na una historia kubwa ya uislam enzi kabla ya mtume Mohammadi(saw)
wayahudi (taifa) kuna wakristo na wayahudi wa dini ya kiyahudi.hivi wayahudi ni wakristo jaribu kumwambia myahudi muisrael kuwa wewe ni mkristo uone
Mkuu nimesoma ila cjaona hicho kifungu maiti yake kugombewa na shetani. Inaelezea just namna Musa alivyokufa as kakae Aaron died!
Haina connection bado hiyo, kwanza watu hua mnatafsiri vibaya maandiko, kwa tafsiri ya neon Petro ni jiwe sio mwamba, Yesu ndio mwamba soma hapa Yohana 1: 42, neon/jina Petro kwa kiyunani ni jiwe na sio mwamba (au kwa kingereza is a stone and not rock) hilo ni moja then la pili ni hili; Petro kufia Italy hakumaanishi ukuu wa Yerusalem unaondoka na kwenda nchi ya wamataifa, waliofia Italy wapo wengi, mmoja wapo ndio huyo Petro lakini pia Paulo naye alifia Italy as well. Mji aliofia Yesu ubadirishwe hadhi kwa mtume mmoja wao kufia nje???? It cant be, Issue ya kanisa la Roman Cathoric kusambaa sana duniani sio kwasababu ya Petro, sababu kubwa ni hi, Roman Empire ilikua inatawala sehemu kubwa ya dunia kwa muda mrefu, yule Kaisari aliye waua mitume wengi aliitwa Nero aliyekua madarakani wakati YEsu anauawa alikua Augusto na yupo mwingine hivi aliitwa Constastine August ambaye baadae aliamua kua mkristo na huyu ndiye aliyesababisha mataifa yote yaliokua chini ya koloni lao la dola ya Rumi kuamini katika kanisa la Rumi, remember mwasisi wa kanisa la Rumi wala sio Petro kama wengi mnavyo dhani, mwasisi wa kanisa la Rumi (Roma la leo ) ni mtume Paulo. Zamani makanisa yalijulikana kwa miji yao, ndio maana kuna kanisa la Rumi, Wakorinto, Wagaratia, Waefeso, Wathesalonike, Wakolosai, Feladefia nk; hiyo hiyo ilikua ni majina ya miji. Rumi (roma )lilisambaa kwasababu hiyo. Is like kanisa la Anglican au Lutherani yameenea zaidi maeneo ambayo Waingereza walitawala au Waingereza kadhaa kuweka kituo hapo, mfano Waha wa Kigoma walio wengi ni Wanglican, hi ni kwasababu hata huyu David Livingstone alifia na kuzikwa Kigoma karibu kabisa kwenye fukwe za ziwa Tanganyika.conection ni kubwa yesu alimpa petro ambae alikua moja ya watumishi wake mamlaka ya kujenga kanisa lake na baada ya yesu kufariki watumishi wake walisakamwa na wengie kuuwawa petro alifanikiwa kukimbilia italy na uko ndipo kanisa la kwanza likajengwa la roman 'st peter' na petro ndio papa wa kwanza.
hapo ni kweli [emoji106] ibrahim wa quran alipo uona mwezi alisema ni mungu wake [emoji117]Huyo Ibrahim unayenzungumzia ni huyu Ibrahim wa Biblia au wa Kurani? Maana wapo tofauti as wa Biblia hakuwa nabii na hakuwahi kujenga msikiti
Bado ktk vifungu ulivyoweka sioni ni wapi shetani aligimbea maiti ya Musa wala hilo ulilosema ati Mungu alificha kaburi la Musa, alificha ili iweje?. Kwanza aigombee ya nini? Maiti ina faida gani mtu akishakufa? Acha kupotosha maandiko. Kama muslims mna biblia yenu, hapo sawa!!Ni sawa kabisa mkuu nataka nikupeleke hatua kwa hatua.
Sasa soma hapa Kumbukumbu la Torati 34:1-8. Msisitizo hapo kwenye mstari wa 5 na 6 (watano na wasita)
Hii mistari wa 5 na wa 6 unganisha na huu Yuda 1:9. Ukiunganisha hii mistari mitatu utaona kuwa Bwana/Mungu ndiye aliye mzika Nabii Musa na akaficha pahala pa kaburi lake Musa.
Lakini kumbe utagundua kuwa baada ya kufa na kabla Nabii Musa kuzikwa kulikuwako na mashindano na kuhojiana kwa malaika mkuu Mikaeli na Ibilisi kwa ajili ya mwili/maiti ya Musa. Malaika mkuu Mikaeli akasema, "Bwana na akukemee." Yaani Mungu amkemee ibilisi/shetani.
So utaona hao wanao gombania hapo Yerusalem, mji wa Daudi na pia ambapo kulikuwako na hekalu la Mungu alilojengewa na mtumishi wake Mfalme Suleman mwanae na mrithi wa Mfalme Daudi, utagundua wako wale wa Bwana Mungu na wale wa ibilisi/shetani.
Kumbuka Mungu asingeweza kuficha pahala pa hekalu lake kama kaburi la Nabii Musa maana watu walikwea kwenda kumuabudu huko hekaluni Yerusalem. Sasa jiulize hao Wafilisti/Wapalestina hekalu la Mfalme Suleman alilo mjengea Mungu wake, yaani Mungu wa Ibrahim, Isihaka na Yakobo linawahusu vipi mpaka waligombee?
Ukristo hauhusiani na jerusalem ila unapatikana vatican-Rc,German-protestant,Britain-anglican,Usa- sabath,wayahudi hawamuamini yesu ila wana dini yao inaitwa yahudi wakiamini nabii mussa tu hivyo kufunganisha jerusalem na ukristo ni kujipendekeza kwenu tu.Haina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu yenye utajiri wa maisha ya Kristo Yesu.
Waislamu pia wote, huamini kuwa Makka ni mahali patakatifu na ni moja ya nguzo tano za muislamu halisi kufika huko walau mara moja kuhiji. Mamilioni hufika huko kila mwaka.
Tujiulize, kwa nini mji wa Jerusalem una mavurugu makubwa kuliko mji wa Makka? Je, waislam ni wastaarabu kuliko wakristo? Je, wakristo wameshindwa kuulinda mji wa Jerusalemu?
Pia ni kwa nini Makka haugombewi na wakristo, ila waislamu hugombea tena kisheria mji wa Yerusalemu ulio na matakatifu ya wakristo?
Haina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu yenye utajiri wa maisha ya Kristo Yesu.
Waislamu pia wote, huamini kuwa Makka ni mahali patakatifu na ni moja ya nguzo tano za muislamu halisi kufika huko walau mara moja kuhiji. Mamilioni hufika huko kila mwaka.
Tujiulize, kwa nini mji wa Jerusalem una mavurugu makubwa kuliko mji wa Makka? Je, waislam ni wastaarabu kuliko wakristo? Je, wakristo wameshindwa kuulinda mji wa Jerusalemu?
Pia ni kwa nini Makka haugombewi na wakristo, ila waislamu hugombea tena kisheria mji wa Yerusalemu ulio na matakatifu ya wakristo?
Bado ktk vifungu ulivyoweka sioni ni wapi shetani aligimbea maiti ya Musa wala hilo ulilosema ati Mungu alificha kaburi la Musa, alificha ili iweje?. Kwanza aigombee ya nini? Maiti ina faida gani mtu akishakufa? Acha kupotosha maandiko. Kama muslims mna biblia yenu, hapo sawa!!
Nadhani hata ww fundisho lako la awali kuwa maiti ya Musa iligombaniwa na shetani ulipotoka na hakuna kitu cha namna hiyo.Aisee ndio maana huja elewa. Mwenye kutaka kuelewa ameshaelewa wewe ni nani hasa hata usipoelewa?
Hujui kuwa wako wanaoenda kuhiji kwenye kaburi?! Poor you.!!!
Nadhani hata ww fundisho lako la awali kuwa maiti ya Musa iligombaniwa na shetani ulipotoka na hakuna kitu cha namna hiyo.
Issue ya kuhiji makaburi/maiti nayo ni upuuzi. Mtu akishakufa mwili hurudia mavumbi and the business is over, kinachobaki na thamani ni roho pekee! So, tusipotoshe