Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,450
- 110,222
Ndio walipalizwa..Mkuu samahani. Hv kumbe yesu pamoja na mama ake walipazwa kwenda mbingun?
Ndio walipalizwa..Mkuu samahani. Hv kumbe yesu pamoja na mama ake walipazwa kwenda mbingun?
Whaaaaat mkuu..Mkuu sasa kama mtt akizaliwa mnambatiza ili kuifuta dhambi ya kurithi ni sawa lkn ni kwann huo utaratibu unaendelea tena baada ya mtt huyo kukua na yeye akiwa na mtt tena hulazimika kumbatiza ili kuifuta dhambi ya kurithi wakati mlishaifuta kwa wazazi wake? Hiyo dhambi inatoka wapi tena?
Tuwekee historia sahihi tujifunze tafadhariJamani naomba MTU andika kitu ambacho in cha kuelimisha NA si kudanganya watu au kuchonganisha. Historian in kitu cha msingi sana uwezi kusimulia historia ya kugesigesi. Maneno uliyopost in hatari sana ambavyo unaweza ukazulisha vita isiyomalizika.TAF. hakikisha unapata taarifa za kweli NA ndipo upost ukweli wako
Hata hao wayahudi ulipoanza ulikura mji wa yerusalem ukimilikiwa na tawala/dini zengine. Waliupora kwa vita kama rashidun caliphate ulivyofanya. Kwahiyo unaposema mji huo ni wao 100% utakuwa muongoUnaposema mji una historia ya uislamu kabla ya mtume muhamad unatuchanganya, maana vitabu vya kislamu vinasema mtume muhamad ndie aliyeleta uislamu, hebu toa mafafanuzi, ila mji wa yerusalem 100 ni haki ya wayahudi, maana kihistoria mji wa yerusalem ulikuwa mali ya wayahudi, ila walipokuwa wametawanyika duniani kutoka israel ndipo wapalestina wakaanza kuvamia na kuingia yerusalem kwa nguvu, thjs why Waisrael kwenye miaka ya 1943 au 1947 wakaamua kuanza kurudi kwao na kurudisha himaya ya israel hususani mji wa yerusalem, na wengi walirudi kutoka Marekani na Ujerumani baada ya kuona wanateseka na kubaguliwa kwenye hizo nchi kwa ajili ya uwezo wao kiuchumi na kiteknolojia maana ndio walikuwa vinara,, hapo ndipo mtifuano ulipoanzia mpaka sasa, vizazi vya palestina havitaki aidha kwa kujua au kutokujua kwamba mji wa yerusalem sio mali ya Palestina 100%
Hapo weka pembeni mambo ya Ukristo, Uyahudi na Uislamu, nimezungumzia uasilia wa miliki halisi ya Mji wa Yerusalem na maeneo mengine yenye mgogoro kati ya Israel na Palestina
Nami sashangaa sana watu kujitoa ufahamu kuwa ukristo ulikuwepo kabla ya pauloMimi nashangaa sana watu kujitoa fahamu kuwa Uislam ulikuwapo kabla ya Muhamad
Kwa hiyo tuseme kubatiza ni sawa na kurudishia vizuri ile sehemu ya mkebe wa mkate iliyobonyea,so inawezekana vipi mikate mingine kutokea ikiwa imebonyea. Badilisha mfano harakaWhaaaaat mkuu..
Nikupe mfano kidogo.
Mkebe wa kuokea mkate ukiwa umebonyea basi mikate yote itakayotengenezwa humo itatoka imebonyea..
Mkebe=Adamu & Eve
Mkati=Sisi tulio zaliwa nao.
Hivyo basi mtoto akibatizwa anafutiwa ile dhambi ya asili na yule mtoto akizaa mtoto wake pia atakua na dhambi yake ya asili, coz ni nafsi mbili tofauti pia kumbuka kila mtu atachukua mzigo wake mwnyewe sio kwa sababu mama ni mcha Mungu na mtoto sio mcha Mungu basi atahesabiwa haki ajili ya matendo ya mama yake..!
-Da'Vinci
Tunarekebisha mkate Ambao ni zAoKwa hiyo tuseme kubatiza ni sawa na kurudishia vizuri ile sehemu ya mkebe wa mkate iliyobonyea,so inawezekana vipi mikate mingine kutokea ikiwa imebonyea. Badilisha mfano haraka
Mmeanza na mada za matusi. Hii mada italeta matusi mpaka itafungwa tu.Haina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu yenye utajiri wa maisha ya Kristo Yesu.
Waislamu pia wote, huamini kuwa Makka ni mahali patakatifu na ni moja ya nguzo tano za muislamu halisi kufika huko walau mara moja kuhiji. Mamilioni hufika huko kila mwaka.
Tujiulize, kwa nini mji wa Jerusalem una mavurugu makubwa kuliko mji wa Makka? Je, waislam ni wastaarabu kuliko wakristo? Je, wakristo wameshindwa kuulinda mji wa Jerusalemu?
Pia ni kwa nini Makka haugombewi na wakristo, ila waislamu hugombea tena kisheria mji wa Yerusalemu ulio na matakatifu ya wakristo?
Unataka kusema mama yake Yesu alikufa kisha akazikwa Yerusalem?kinachogombewa si utukufu wahuo mji bali na wawatu wanagombea maeneo yao halali ya miji yao,pia lazima uelewe jerusalemu sio makumbusho ya wakristo tuu,pale kuna makaburi ya mitume wakubwa wanaoheshimiwa na waislam,kuna kaburi ya Maiam mama wa issa au yesu nk so ni uvivu wa kufikiria kuwa kinachofanyika jerusalem ni mgogoro kati ya waislam na wakristo
duh!abraham alitoka iraq,
wayahudi unaowasema walichukuliwa kupelekwa babylon ambako pia ni iraq.
Abraham alipofika caanan alimtembelea mtawala wa wafilisiti mechizedeki ambae alikuwa ni mtawala wa jerusalem,
melchizedeki huyo pia alikuwa kuhani mkuu wa dini iliyomwabudu Mungu mkuu,The most high,El.
Abraham alikwenda kuombewa kwa huyu melchzedeki,
sasa jiulize sana,huyo melchizedeki aliabudu dini ipi?
Pia abraham alipotoka misri,alikutana na mtawala mwingine wa wafilisti,alieitwa Abimelek,
abraham akamsakizikia huyu mfalme alale na mkewe sara ili Abraham akamate ugoni ili alipwe fidia.
Mungu aliongea na mfalme Abimelek na kumsitua kuwa Sara ni mke wa abrahamu na siyo dadake,
jiulize sasa huyo mungu aliekuwa akiongea na mfalme Abimeleki ni mungu yupi ambae mfalme alikuwa anamtii na kumsikiliza kabla hata uyahudi haujakuwepo?
hujajibu..pengine hujui au haya ni mawazo yako!Wakristo hawajawahi kugombea Jerusalem. Rekebisha kwanza kichwa cha habari.
Yerusalem ni mjiwa Israel miaka yote. Wanaong'ang'ania kuwa ni wao, ni waarabu wasiojitambua. Ukiwauliza leo kwa nini wanaua watu kwa kugombea Isreal, watakuambia ni kw asababu America anawapa silaha!
Kuhusu swali kwa ni ni Meca haigombewi, (sijui na nani), nitajibu kama ifuatavyo.
Wayahudi na aho unaowasema Wakristo ni watu wanaojitambua. Wanajua eneo hilo ni la waarabu na hawana haja ya kufanya ugomvi wa kihayawani kwa sababu ya utashi wa dhurma. Wanamhesimu Mungu.
Sababu ya kutokuwa na ugomvi maka ni kwa sababu wako waarabu peke yake na hawachanganyikani na binadamu. Hata katika mbuga za wanyama kama ngorongoro, mikumi n.k, wanyama wa aina moja hukaa pamoja na huwa kuna utulivu, wakitembea katika makundi na kufanya shughuli kwa pamoja, ingawa waarabu ustaarabu wa kukaa kwa amani hata wao kwa wao, tu wanazidiwa na wanyama pori wa Serengeti.
Jerusalem kuna vurugu kwa sababu kuna wanyama waitwao waarabu ambao kwao amani ni sumu.
kusalimika..ndo maanake
endela mpaka mwisho . usipotoshe kwa vipande vipandehapo ni kweli [emoji106] ibrahim wa quran alipo uona mwezi alisema ni mungu wake [emoji117]![]()
Rome Italy ndio mji waoKwa hiyo wakristo hawana mji wao mtakatifu? Maana hapo muslims watadai yote