Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

Wakristo wanahaki na huo mji kivipi?Huo mji ni mali ya waislam na wayahudi ndo kipindo chote cha mgogoro huo hutaona wakristo wakiingilia.Huo mji wa Yerusalem au Baytul mukadas ni mji wenye msikiti mkubwa sana na una historia kubwa ya uislam enzi kabla ya mtume Mohammadi(saw)
wewe mwongo mbona kwani mtu wa kwanza kuushuhudia kwamba uislam ni dini alikuwa nani
 
Ni kweli mkuu pale kuna kabuli la mariamu mama yake nabii issa LAKINI Pale hakuna kaburi la Mariam mama yake Yesu kristo aliye hai maana alipalizwa mbinguni...
Ndo maana sisi wakatoriki hua tuna sherehe ya Kupalizwa kwa Bikra Maria..

Amen
Uwiiiii
 
Unaposema mji una historia ya uislamu kabla ya mtume muhamad unatuchanganya, maana vitabu vya kislamu vinasema mtume muhamad ndie aliyeleta uislamu, hebu toa mafafanuzi, ila mji wa yerusalem 100 ni haki ya wayahudi, maana kihistoria mji wa yerusalem ulikuwa mali ya wayahudi, ila walipokuwa wametawanyika duniani kutoka israel ndipo wapalestina wakaanza kuvamia na kuingia yerusalem kwa nguvu, thjs why Waisrael kwenye miaka ya 1943 au 1947 wakaamua kuanza kurudi kwao na kurudisha himaya ya israel hususani mji wa yerusalem, na wengi walirudi kutoka Marekani na Ujerumani baada ya kuona wanateseka na kubaguliwa kwenye hizo nchi kwa ajili ya uwezo wao kiuchumi na kiteknolojia maana ndio walikuwa vinara,, hapo ndipo mtifuano ulipoanzia mpaka sasa, vizazi vya palestina havitaki aidha kwa kujua au kutokujua kwamba mji wa yerusalem sio mali ya Palestina 100%
Hapo weka pembeni mambo ya Ukristo, Uyahudi na Uislamu, nimezungumzia uasilia wa miliki halisi ya Mji wa Yerusalem na maeneo mengine yenye mgogoro kati ya Israel na Palestina
Naomba kuuliza, nasikia makabila mengi ya kusini mwa Tanzania yametokea msumbiji na Afrika Kusini, Arusha kuna kabila linaitwa wairaq au wambulu nao asili yao sio Tanzania, huko Bukoba wengi wametoka uganda na makabila mengineyo yaloyojaa unguja pale sio asili yao. Je leo hii wakaamua kurudi kwenye asili yao itawezekana. Na wakikuta hayo maeneo yao waliyoambiwa na babu zao kuwa ndio kulikuwa kwao waanzishe vita kuyarejesha.
Tujadili kwa hekima na busara, tusifikie hatua ya kutukana dini zetu wala mitume wetu. Havachee
 
Kwenye haya makabila uliyo ya taja hapa liko ambalo lina husishwa na maandiko matakatifu? Au liko lililotoa moja ya manabii wanaotajwa katika vitabu vitakatifu?

Naomba kuuliza, nasikia makabila mengi ya kusini mwa Tanzania yametokea msumbiji na Afrika Kusini, Arusha kuna kabila linaitwa wairaq au wambulu nao asili yao sio Tanzania, huko Bukoba wengi wametoka uganda na makabila mengineyo yaloyojaa unguja pale sio asili yao. Je leo hii wakaamua kurudi kwenye asili yao itawezekana. Na wakikuta hayo maeneo yao waliyoambiwa na babu zao kuwa ndio kulikuwa kwao waanzishe vita kuyarejesha.
Tujadili kwa hekima na busara, tusifikie hatua ya kutukana dini zetu wala mitume wetu. Havachee
 
Wacha uongo ww Alkaba ilikua instumiwa na baba yake mtume kuabudu mizimu na miungu hspo..
Nabii Ibrahim ndio aliyejenga msikiti wa Kaaba uliopo Makka miaka 2000 kabla ya Mtume Muhammed
Kwa hiyo yes islam ulikuwepo tangu zama hizo
 
Back
Top Bottom