Msikiti wa Al Aqsa ndiyo Hekalu la Suleman?

Jackwillpower

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
2,301
3,411
Katika Makala hii utatambua mengine yafuatayo,

1) Kiini cha mgogoro wa Israeli na Palestina

2) Maeneo muhimu wanayogombania

3) Vilivyo juu ya ardhi ya Hekalu la Sulemani lilolobomolewa

Je! Msikiti wa Al aqsa ndio hekalu la Suleman?

La! Ni vitu viwili tofauti. Mmoja unaitwa Msikiti na mwingine unaitwa Hekalu. Watu wasio na elimu ya vitabu na historia ndio wanaothubutu kudai kwamba msikiti wa Al aqsa ndio hekalu la Suleman ili watimize hoja ya kidini au madai ya Imani. Mfano! Katika mchakato unaoendelea sasa kati ya Israeli na Palestina kumezuka hoja mbalimbali za kiimani juu ya mji wa Yerusalemu na msikiti wa Al aqsa. Maustadhi na Mashekhe katika mitandao ya kijamii na katika mimbari za misikitini wanatoa hotuba kuwa msikiti wa Al aqsa ulijengwa na Suleman kwajili ya Waislamu, hivyo wanasema kamwe hatuwezi ruhusu Mayahudi kuutwaa, tutaulinda na kuupigania na kuurejesha na kusali katika Quds. Neno Mayahudi linatumika katika Quran na katika vitabu vya kislamu, nafikiri ni neno la kudhalilisha ama kuonesha Wayahudi kama majitu. Hivyo mgogoro wa Wayahudi na Wapalestina ni zaidi ya mgogoro wa ardhi, ndani yake kuna hoja ya “IMANI”. Ndio maana katika midomo ya Wapalestina hutaacha kusikia sauti “Allahu akbar” katika harakati zao za kujipigania dhidi ya Israeli, na pale Wayahudi wanapo uawa sauti za Waislamu dunia nzima utasikia Allahu akbar, wakifurahi. Je! ni kwasababu gani wanafurahi? Imesemwa hivi na Muhamad kuhusiana na Wayahudi:

“Kiyama hakitakuja mpaka Waislamu wapigane na Wayahudi na kuua kila Myahudi duniani, kiasi kwamba Wayahudi watajificha katika miti na mawe, miti na mawe itasema wapo nyuma yetu njoo muwaue, kasoro mti mmoja tu unaitwa (Gharqad tree), ambao hautasema sababu ni mti wa Wayahudi. Ona, Sahih Muslim, 41:6984, Sahih al-Bukhari, 4:56:791

Hiyo ni amri ya nabii wa Allah kwa kila Muislamu duniani, hivyo usije shangaa kwa muislamu kuwachukia Wayahudi. Hivyo basi kunawili kwa Wayahudi duniani ndio kuchelewa kwa Kiyama kwa mujibu wa Waislamu, na njia ya kukileta ni kuangamiza Wayahudi. Sijui kama Waislamu wapo tayari kwa kiyama. Na chimbuko kuu la mgogoro wa Waislamu na Wayahudi ni kwamba walikuwa mwiba mkubwa kwa nabii wa Allah katika harakati zake za kidini, walimpinga na kumuona kuwa ni nabii wa uongo kwa kipimo cha Torati na manabii. Hawakumkubali Muhamad kabisa na zaidi wakaungana na maadui zake. Na isitoshe ndio walikuwa na nguvu kubwa sana za kiuchumi na tabaka la wenye elimu katika Hijazi. Muhamad alitunza hasira moyoni ya kukataliwa nao kama nabii, na kama mwanaharakati wa kiarabu (pan Arabinism) alikerwa na wao kushika uchumi katika nchi yao na kuendesha biashara ya mikopo kwa riba ambayo ikafanywa Waarabu kutawaliwa kiuchumi na Wayahudi. Hivyo alinuia kuja kuwafukuza Wayahudi wote na Wakristo katika bara Arabu. Ona, Bulugh al Maram uk. 495, 496. Na alipopata nguvu za kijeshi alipigana nao na kuwashinda na kutwaa mali zao na kuwafukuza katika Hijazi. Na katika Wayahudi wa ukoo wa ban Quraidha alihakikisha amewachinja wanaume wote wa kabila hilo kwa mkono wake na kuwafanya wanawake zao kuwa nyara za Mujahidina, na yeye akamtwaa Sayifa mke wa Kinana, rabi mkuu wa Kiyahudi aliyechinjwa, hivyo Muhamad akamfanya Safiya kuwa mkewe. Ona, Sahihi Bukhari, juzuu ya pili, Uk. 591. Na kwa Wayahudi wa Khaibar nao alipigana nao na kuwashinda, akatwaa mali zao zote na kuwafukuza, na wengine wao akawaua ikiwemo familia yote moja wapo ya Kiyahudi ambayo Zainabu pekee ndio aliye nusurika. Zainabu akaripiza kisasi kwa kuangamizwa kwa familia yake kwa kumuweka sumu katika nyama ya Kondoo iliyokuja kumuua mtume wa Allah baadae kwa mateso makuu. Ona, Sahihul-Bukhari, Juzuu ya pili, Uk. 641.

Zipo sababu nyingi zilizo sababisha chuki kati ya Waislamu na Wayahudi, utayapata hayo katika somo lijalo linalosema “kwanini Waislamu wana wachukia Wayahudi’?. Baada ya kuona sababu kadha wa kadha ambazo zinafanya Waislamu wasiwe upande wa Wayahudi bila hata kujali kwamba manabii karibu wote walikuwa ni Wayahudi.

Tukirudi katika hoja yetu ya Hekalu na msikiti wa Al aqsa. Ni kwamba ugomvi mkuu wa Wayahudi na Waarabu/Waislamu upo katika eneo la ukingo wa magharibi wa mto Yordan mahali ambapo pana miji tisa muhimu na mikongwe ya historia ya mababa wa Imani na manabii. Na miji hiyo ni Yerusalemu, Hebron, Bethlehemu, Yeriko, Rama, Nablus, Jenin, Qalqilya, na Tulkarm. Nitaizungumzia miji sita katika hiyo:

Kwanini Yerusalemu? maana ulikuwa ni makao makuu ya ufalme wa Israeli wakati wa Daudi na Sulemani. Baada ya hapo ukawa mji mkuu wa ufalme wa Yudea, mabaki ya ufalme wa Daudi, ukawa hivyo hadi mnamo 70 B.K. Mji huu ulikuwa mtakatifu sababu Mungu aliuchagua uwe kao la kifalme la Daudi na uzao wake na uwe kao la ibada duniani. Hivyo ulikuwa ni mji ambao ulijulikana katika mataifa yote kama mji wa Mungu. Imeandikwa,

Tangu siku ile nilipowatoa watu wangu katika nchi ya Misri, sikuchagua mji wo wote wa kabila zote za Israeli ili kujenga nyumba, jina langu liwe humo; wala sikumchagua mtu ye yote awe mkuu juu ya watu wangu Israeli; lakini nimeuchagua Yerusalemu, jina langu liwe humo; na Daudi nimemchagua awe juu ya watu wangu Israeli. 2 Mambo ya Nyakati 6:5-7

Bwana MUNGU asema hivi; Huu ndio Yerusalemu; nimeuweka kati ya mataifa, na nchi zauzunguka pande zote. Ez 5:5

Na ni mji ambao Yesu alihudumu mara nyingi katika majira yake yote hapa duniani, na alifia hapo na kufufuka hapo na kupaa kwenda mbinguni kuanzia hapo. Hivyo Wakristo wanautazama mji huo kama historia ya mianzo ya Imani yao. Waislamu nao wanadai ni mji wao mtakatifu sababu Muhamad aliutembela kupitia ndoto na akaufanya kibra ya kwanza ya Waislamu. Jiji hili ndio jiji ambalo linaongoza duniani kwa kugombaniwa, na Wakristo/Wakatoliki na Waislamu ndio vinara wakuu wa kuugombania.

Kwanini Bethlehemu? Mji huu ndio Raheli mkewe Yakobo alikufa akiwa anamzaa Benyamini, mwana wa 12 wa Yakobo, na ndipo Raheli alizikwa hapo. Mwanzo 48:7. Ndio mji aliozaliwa Daudi, unajulikana kuwa mji wa Daudi. Luka 2:4. Na ndio mji uliotabiriwa kuwa Masihi atazaliwa hapo. Mika 5:2; Yohana 7:42. Na Yesu alizaliwa hapo, na Malaika Gabriel na kundi kubwa la malaika walitokea hapo na kutangaza kuzaliwa kwake na kuimba. Luka 2:8-15. Mji huu ulikuwa mji mpendwa wa Wayahudi sababu ya Daudi mfalme wao kipenzi pamoja ulikuwa mji wa ahadi wa kimasihi, na ndio maana walimkataa Yesu kuwa si masihi sababu waliona ametokea Nazareti/Galilaya badala ya Bethlehemu. Yohana 7:40-52. Hadi hapo unaona umihimu wa mji huu. Mji huu uliangamizwa na Kaisari Hadrian wakati akipambana na Wayahudi katika mapinduzi ya Bar Kokhaba mnamo 132-135 B.K. Mnamo 327 Hellena mama yake Kaisari Kostantino, akiwa katika misheni ya mwanawe ya kusaka maeneo matakatifu, alifika Bethlehemu na kuujenga tena na kuupanua, na ndani yake alijenga kanisa linalojulikana kama kanisa la Nativity. Hadi leo lipo likiwa sehemu ya hija ya Wakatoliki na Waorthodoksi. Mnamo 627 Waislamu waliitwaa Bethlehemu na kuufanya mji wa kislamu hadi 1099 ulipotwaliwa tena na Wakruseda (Wakatoliki). Baadae ukaangukia katika mikono ya Wamamluki (dola la kislamu huko Misri), baadae ukaangukia katika dola la Othoman, tena ukaangukia katika dola la British. Wajordan waliutwaa mnamo 1948 katika vita vya kwanza kati ya Waarabu na Wayahudi. Wayahudi wakautwaa mnamo 1967 katika vita vya siku sita kati yao na Waaarabu.

Kwanini Hebron? Mji huu aliishi mzee Ibrahimu na Isaka, na baadae Yakobo na uzao wake, na huko Ibrahimu alimjengea Mungu madhabahu. Mwanzo 13:8; 35:27; 37:1,14. Na hapo ndipo Sara mkewe Ibrahimu alifia na kuzikwa. Mwanzo 23:2,19. Na hapo ndipo Ibrahimu, Isaka na Yakobo na wake zao walizikwa. Mwanzo 49:29-33. Hivyo mji wa Hebron ni mji mtakatifu kwa Imani ya Kiyahudi. Mnamo karne kwanza, Herode mkuu alizungushia ukuta katika makaburi ya wazee hao wa Imani, na baadae eneo hilo likafanya kanisa, na Waislamu wakaja na kulifanya msikiti wakidai Ibrahimu, Isaka na Yakobo ni manabii wao na eneo hilo ni takatifu. Lakini msomi mkubwa wa kislamu shekhe Ibn Qayyim al-Jawziyya (1292-1350) alikataa kuitambua Hebroni na makaburi ya wazee wa Imani kuwa sehemu takatifu za Waislamu. Zama zake kuliinuka Wasuni wa msimamo mkali wakiwa na idara maalum ya kuyapamba na kuyatukuza makaburi na mabaki ya wahenga na kujenga misikiti katika mazingira hayo. Yeye alipinga. Leo Waislamu wanajivuna kwamba zile sehemu takatifu na makaburi ya manabii yapo mikononi mwao, hivyo basi manabii hao walikuwa ni Waislamu. Wakristo wengi hili lilifumbo kwao, basi leo tambua hiyo ilikuwa ni misheni maalum ya kuteka na kutawala maeneo yanayosadikiwa kuwa ni matakatifu ili kuupa Uislamu utukufu (credit). Sasa eneo la Hebron lipo chini mamlaka ya Wayahudi toka 1967 ingawa wakazi wake wengi ni Wapalestina.

Yeriko: Ni lango la Waisraeli kuingilia Kanaan wakati wanatoka Misri. Ona Yoshua 5,6. Tokeo hapo Yeriko ikawa ngome ya jeshi la Israeli. Hata baada ya Wayahudi kuondolewa katika nchi yao, walipokuwa wanarudi katika zama zote za kihistoria, Yeriko ilikuwa ni ngome ya harakati yao. Katika Biblia mji wa Yeriko umetajwa mara nyingi, na hapo ndipo Bwana Yesu alikutana na Bartimayo kipofu akamponya. Marko 10:46-52. Na kisa cha Yesu cha msamaria mwema, mazingira yake yalikuwa ni Yeriko. Luka 10:30+.

Nablus: Jina Nablus ni la kiarabu, waislamu waliupa mji huo jina hilo mnamo 637 walipoutwaa kutoka mikononi mwa Wakristo. Ulikuwa ni mji wa Kiyahudi ndani ya Samaria. Hapa ndio kuna milima miwili mikuu ambayo imetajwa katika Torati ambayo ni mlima Ebali na mlima Gerizimu. Mungu alimuagiza Musa watakapoingi Kanaan waweke baraka katika mlima Girizimu na laana katika mlima Ebali. Ona, Kumb 11:29. Na pia wakaagizwa wajenge madhabahu ya mawe katika mlima Ebali na katika hayo mawe waandike Torati yote. Yoshua baada ya kuitwaa nchi alifanya hivyo. Ona Kumb 27:4-8; Yoshua 8:30-35. Pia hapo Nablus ndipo kuna kaburi la Yusufu na kisima cha Yakobo ambacho Yesu na yule mama wa Samaria walikutana na kuzungumza, na mama yule akadai wao (Wasamaria) wanasali katika mlima huu, akilenga mlima Ebali. Ona, Yohana 4:1-42. Maeneo hayo Wakristo walijenga makanisa na baadae Waislamu wakajenga misikiti. Mji huu sasa upo mikononi mwa Wayahudi toka 1967 lakini wameuweka chini ya mamlaka ya Palestina (PNA), maana wakazi wake wengi ni Wapalestina

Jenin: Jina lake la asili ni Enganimu, ni jina la Kiyahudi, Waarabu wakauita Jenin baada ya kuutwaa mnamo karne ya saba. Mji huu kibiblia ulikuwa chini ya kabila la Isakari, lakini wakapewa Walawi. Yoshua 21:27-29. Hivyo ulikuwa mji wa Walawi, watumishi wa hekalu la Bwana. Wakazi wa mji huu sasa ni Wapalestina lakini mji upo chini ya Israeli.

Hiyo ndio miji ambayo inaunda ukingo wa magharibi wa mto Yordan ambayo Wayahudi, Wakristo na Waislamu wanaiona kuwa ni miji mitakatifu. Hivyo huwezi ona Waarabu/Waislamu wanapoteza muda sana na miji mingine, wapo bize na eneo hilo hasa Yerusalemu. Na miji hii kama tulivyona hata Wakristo wa Kiorthodoksi na Wakatoliki wana makanisa yao hapo, na hapo zamani walipambania hayo makanisa ambayo baadhi yao yalifanywa msikiti wakati wa utawala wa Waislamu yakiwemo masinagogi waliyoyabomoa. Zaidi ya miaka 1000 Wakatoliki na Waislamu wamegombana sabababu ya eneo hilo, na Wayahudi wakiwa wahanga kati yao. Wayahudi wanaitaka sana miji hiyo na sasa ipo chini ya mamlaka yao toka 1967 walipowashinda Waarabu katika vita vya siku siku sita, wakaitwaa na Yerusalemu mashariki toka katika mikono ya Yordan na si Wapalestina.

Itaendelea......

FB_IMG_1704724802379.jpg
FB_IMG_1704724798864.jpg
FB_IMG_1704724794727.jpg
 
View attachment 2865566View attachment 2865567View attachment 2865568
With respect sir
the population of arabic speaking in arab world is 450 million and the population of muslim around the world is 1.9 billion
masjid al aqsa is not belong to waarabu is belong to muslim all over the world
 
Hapa ndipo anapoferi mswahili, yani wewe Mbonde umiliki msikiti middle east?

Kama siyo bangi ni nini hiki?
 
Kwahiyo Mkuu
Huyu Mbonde Wa Kisiju Ama Panga La Mwingereza Huko Msanga Hawezi Miliki Masjid Middle East
 
Wavaa kobazi watapinga huu ukweli mchungu,
 
Hawa wayahud waliua Mitume nq Manabii wa Mungu,aviemore Yesu,ambapo katika Qur'an,inaonyesha walipotaka kumuua,Mungu alimuokoa kifo cha msalabani,na kupaishwa mbinguni.Wayahud hawamkubali wala kumwamini Yesu.Wala njia aliyozaliwa,pia hawakubaliani nayo.Ambapo katika uislamu,Yesu anakubalika,njia aliyozaliwa bila baba,pia inakubalika Yesu ndio Issa,ndio Jesus nk.
 
Kumbe Mayahudi hizo ni sehemu zao halali kabisa!

Nilidhani kuna Jerusalem ya kale na ya sasa, kumbe ni ileile?
No untill is agreed between parties it will remain in question who owns the lands question of east and west jerusalem.
until then is question mark
 
Back
Top Bottom