Makka ni mji wa kiislam (waarab) na Jerusalem ni mji ulio na waislam, wayahudi, na Wakristu.....tuseme dini zote za Abraham ziko pale na ndiyo maana wanagombana kila kukicha. Pia kumbuka, wayahudi hawawathamini waarab kwa sababu wao (wayahudi) wana amini kuwa mwarab ama waarab ni kizazi kilicho laaniwa kwa sababu baba yao Ishmael alikuwa mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa kwa Mama Hagar ambaye alikuwa beki tatu wa Avram (Abraham). Hivyo basi, myahudi kamwe hakubali kutawaliwa na mwarab na ndiyo chanzo cha wao kugombania Jerusalem mpaka leo hii.