Wakristo ni mkondo wa mwana wa urithi-IsakaMuwe mnasoma soma na vitabu vyetu vya dini na sio kuwasikiliza hao wachungaji wengine ni wachonganishi.
Wayahudi ni tofauti kabisa na uislam na ukristo ingaw waislam na wakristo kidogo tunafanana tunapishana kwenye mambo machache sana mfano kufa msalabani na kutokufa msalabani.
Uislam ulianzia na Baba wa iman nabii Ibrahim,na ukasogea sogea mpaka leo,na ukìusoma na kuuelewa ni kizazi kile kile ndicho kipo kwenye uislam na wakristo lakini kwa wayahudi ni tofauti.
Wayahudi wameshaiteka dunia kwa kuhakikisha ukweli unafishwa n kupotoshwa na sisi hatujui.Lakini kwenye ilo eneo walikuwepo.
Wayahudi kabla ya kutawanywa na kurejeshwa 1948 asili yao ni wapi?naona unasahau kuwa jerusalem iko mashariki ya kati.
Pia msingi mkuu wa wapalestina kuidai jerusalem ni kwasababu hapo ni ardhi yao.
Msingi wa wayahudi kudai pale ni kwasababu vitabu vyao vinadai mungu kawapa hiyo ardhi .
Shetani aling'ang'ania maiti ya Musa? Hii elimu mpya, hebu nisimlie kdg. Au ndo kutoka kwenye maandiko aliyoteremsha Allah?Tukijua kwa nini shetani alingangania maiti ya nabii Musa na ikabidi Mungu amzike nabii Musa na afiche mahala kaburi lake lilipo basi tutajua sababu ya hii vurugu ya Jerusalem mji wa Daudi/Yerusalem ya Uyahudi.
Shetani aling'ang'ania maiti ya Musa? Hii elimu mpya, hebu nisimlie kdg. Au ndo kutoka kwenye maandiko aliyoteremsha Allah?
Askali wa kirumiWayahudi ndio waliomtesa Yesu
Hao ni mitume wakiyahudi kwahiyo uislam na uyahud ni sawa? Muasisi wa Uislam ni Mohamad somen hata historia nje ya koranmpka leo hujui hilo pole mnoo
muhhamad hakuja kuleta uislam Bali alikuja kuongeza nguvu ya Kile kilichoachwa nawakubwa wake waliomtangulia...kina sumeimani..yusuph .Mussa..issa.(yesu) ..nuhu .adamu ..yacobo ..lutu..isaya ..e.t.c
Kwenye koran ni wapi Mtume Mohmad kasema mimi ni Mtume. Weka andikobible au bibilia ni kitabu gani? maana mungu aliteremsha tourati zaburi injili quaran hii bible imeandikwa wapi na je kuna kitabu cha mungu kikawa na kitabu ki pya na na cha zamani ndio ya mungu ikaachwa wapi kwenye bible yesu kasema mimi ni kristo sio paulo kasema au yohana kasema nionyeshe yeye mwenyewe kasema
Hao ni mitume wakiyahudi kwahiyo uislam na uyahud ni sawa? Muasisi wa Uislam ni Mohamad somen hata historia nje ya koran
abraham alitoka iraq,Wayahudi kabla ya kutawanywa na kurejeshwa 1948 asili yao ni wapi?
Waislam wana Yesu wao aliyezaliwa chini ya mtende tena akiwa anaongea. So, unapomuongelea Yesu tumtofautishe na IssaKama Issa bin Mariamu ndiye Bwana Yesu Kristo basi ni vigumu kumuaminisha mtu anaye mjua Bwana Yesu hasa kupitia Biblia kuwa Mtume Muhamad SAW na wafuasi wake wanamjua Bwana Yesu na kuendeleza yale aliyo ya leta hapa duniani. Ni uongo na unafiki. Wala sijui kwa nini tunakubali huu ungo na unafik?
Bwana Yesu/Mungu ameweka amri ya jinsi gani ya wafuasi wake wafanye ili kumfuata na kuwa wafuasi wake. Sasa hiyo amri Mtume Muhamad SAW aliifuata? Wafuasi wake/Waislam wanaifuata? Tuache kujichumia hii dhambi ya kusema urongo.
Nipo nayo, nipe vifungu!
Waislam wana Yesu wao aliyezaliwa chini ya mtende tena akiwa anaongea. So, unapomuongelea Yesu tumtofautishe na Issa
sasa unataka unishane na Mungu aliyewapanaona unasahau kuwa jerusalem iko mashariki ya kati.
Pia msingi mkuu wa wapalestina kuidai jerusalem ni kwasababu hapo ni ardhi yao.
Msingi wa wayahudi kudai pale ni kwasababu vitabu vyao vinadai mungu kawapa hiyo ardhi .
Mmiliki halali ni MKAANANI then AKAJA MYAHUDI then Akakimbia baada ya vita na Roma..THEN NDIO WAKAJA HAO WAPALESTINA ....SO wayahudi Wenyewe wakirudi inabidi waondoke wawaachie na hao waya hudi pia WAKAANANI wakirudi itabidi nao waondokeNani mmiliki halali?