Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

Amen is the Name of a False PaganGod - Troy& Genie
Amen is the Name of a False PaganGod - a chapter from On The Sacred Name of YHVH and Yahshua by Troy . ()
yhvh.name>Research>On The Sacred Name of YHVH and Yahshua
Bro seems kichwa yako ipo informed na lot of wrong informations from wrong sources.
 
Haina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu yenye utajiri wa maisha ya Kristo Yesu.

Waislamu pia wote, huamini kuwa Makka ni mahali patakatifu na ni moja ya nguzo tano za muislamu halisi kufika huko walau mara moja kuhiji. Mamilioni hufika huko kila mwaka.

Tujiulize, kwa nini mji wa Jerusalem una mavurugu makubwa kuliko mji wa Makka? Je, waislam ni wastaarabu kuliko wakristo? Je, wakristo wameshindwa kuulinda mji wa Jerusalemu?

Pia ni kwa nini Makka haugombewi na wakristo, ila waislamu hugombea tena kisheria mji wa Yerusalemu ulio na matakatifu ya wakristo?
Nadhani ushaona wap patakatifu na wanaofanya pawe na machafuko ni waarabu nadhani swali lako ni jibu ukilipindua kidg
 
Kwani huyo Mtume alifuata nini Yerusalemu wakati sio kwake?
naona unasahau kuwa jerusalem iko mashariki ya kati.
Pia msingi mkuu wa wapalestina kuidai jerusalem ni kwasababu hapo ni ardhi yao.

Msingi wa wayahudi kudai pale ni kwasababu vitabu vyao vinadai mungu kawapa hiyo ardhi .
 
Hiyo Quaran iliyoandikwa na waliochanganyikiwa ilishushwa lini? Hebu tuweni logical. Hakuna kitabu kilichoshushwa toka mbinguni. Kurani iliandikwa na wapiga ramli tu kama masangoma wa upareni. Injili iliandikwa na Luka, Mathayo, Yohane na Marko, Zaburi part kubwa aliandika Daudi. Sasa hiyo injili iliyoshushwa ikoje? Nitumie PDF niione ili nijue mwandiko wa Mungu!
Ahahkhahah kwaiyo na we unataka ushushiwe kwa njia ya pdf ahahaha umenichekesha mkuu akikushushia mzee convert nishushie ni edit jina langu mana alipo kitabuni mzee
 
Mzee inaonekana dini yako huijui; hivi uislamu ulikuwepo kabla ya (SAW)? Na sio, huo msikiti kabla yake ulitoka wapi
Muwe mnasoma soma na vitabu vyetu vya dini na sio kuwasikiliza hao wachungaji wengine ni wachonganishi.
Wayahudi ni tofauti kabisa na uislam na ukristo ingaw waislam na wakristo kidogo tunafanana tunapishana kwenye mambo machache sana mfano kufa msalabani na kutokufa msalabani.
Uislam ulianzia na Baba wa iman nabii Ibrahim,na ukasogea sogea mpaka leo,na ukìusoma na kuuelewa ni kizazi kile kile ndicho kipo kwenye uislam na wakristo lakini kwa wayahudi ni tofauti.
Wayahudi wameshaiteka dunia kwa kuhakikisha ukweli unafishwa n kupotoshwa na sisi hatujui.Lakini kwenye ilo eneo walikuwepo.
 
Sio uchizi Mariam mama wa Yesu kristo hakufa alipalizwa mbinguni, hakuonja kifo.
Kifo ni lazima kwa kiumbe chochote kilicho hai,, Kama yesu aliahidi kurudi baada ya kupazwa,, na Maria nae atarudi ln? Km nayeye alipazwa!? Maria alikufa km viumbe wengine,, msiaminishwe tofauti
 
Haina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu yenye utajiri wa maisha ya Kristo Yesu.

Waislamu pia wote, huamini kuwa Makka ni mahali patakatifu na ni moja ya nguzo tano za muislamu halisi kufika huko walau mara moja kuhiji. Mamilioni hufika huko kila mwaka.

Tujiulize, kwa nini mji wa Jerusalem una mavurugu makubwa kuliko mji wa Makka? Je, waislam ni wastaarabu kuliko wakristo? Je, wakristo wameshindwa kuulinda mji wa Jerusalemu?

Pia ni kwa nini Makka haugombewi na wakristo, ila waislamu hugombea tena kisheria mji wa Yerusalemu ulio na matakatifu ya wakristo?
hao waisilamu ni wagomvi tu [emoji12]
 
HAHAHAHA WANAKUAMBIA KUWA UISLAMU ULIKUWEPO KABLA YA MTUME MUHAMAD.HISTORIA NA VITABU VYA DINI VIKO WAZI.UISLAMU ULILETWA NA MUHAMAD.KABLA KULIKUWA HAKUNA KITU KINAITWA UISLAMU
Ungejua kwanza maana ya Uislam ni nini, kisha ndio uwasilishe hoja yako.
 
Kifo ni lazima kwa kiumbe chochote kilicho hai,, Kama yesu aliahidi kurudi baada ya kupazwa,, na Maria nae atarudi ln?
Kweli kifo ni lazima kwa kila kiumbe ila kunabaadhi ya watu hawakufa, Maria hawez rudi tena na hatohesabiwa siku ya hukumu kwani yy ni mbarikiwa mkingwa dhambi ya asili
Km nayeye alipazwa!? Maria alikufa km viumbe wengine,, msiaminishwe tofauti
NDIO MARIA ALIPALIZWA.
Wewe mbona unahitimisha kua hakufa na kupalizwa..?
Kanisa katoriki ina record ya watakatifu ambao hawakuonja umauti..
Mm nao wajua ni
-Bikira Maria mama wa Yesu Kristo (sio issa)
-Henocko
-Nabii Eliya (kama sijakosea)

Na watakatifu wengine..
 
Ndivyo mnavyoaminishwa,,, sasa hujiulizi kwann mnabatizwa?
Kwanini waktisto hubatizwa..?
Wakristo hua tunabatizwa kwa sababu tunaamini kus mtu anapo zaliwa hua analisi dhambi ya asili kutika kwa wazazi wetu wa kwanza, so Automaticaly mtoto anakua na dhambi hivyo tunabatizwa ili kufuta ile dhambi ya asili. Hiyo ndo sababu kubwa na sio kwa sabwbu zunawatoa watoto kwenye uislam.
Kama unajuwa siku na saa uislam ulianza?
Kwa hiyo tunabatiza watoto kwasababu tunajua muda uislam ulipo anza..?
 
Ahahkhahah kwaiyo na we unataka ushushiwe kwa njia ya pdf ahahaha umenichekesha mkuu akikushushia mzee convert nishushie ni edit jina langu mana alipo kitabuni mzee
Nasubiri huyo mfia dini anitumie nione huo mwandiko wa Allah, akinitumia maandishi ya kiarabu nitamtimua...
 
Back
Top Bottom