Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

Mungu mnayedai kwamba ni muweza wa vyote, mwenye upendo na huruma kwenye Dunia iliyojaa uovu na mabaya, Huoni contradictions hapo?

Ni either Mungu huyo hana upendo, hawezi yote na hayupo ndio maana Dunia ina mabaya.

Kuwepo kwa Mungu ambaye anadaiwa ni muweza wa vyote, mwenye upendo na huruma kwenye Dunia iliyojaa uovu, kuna tengeneza contradictions.

Huoni contradictions tu?
Huo uovu unao usema wewe yeye ndio ameruhusu uwepo.
 
Kama ni emotions hata masikini watumiaji cocaine na heroine huwa wanapata emotions kuwa ni mabilionea na wakuu wa nchi.

Hata Wahindu huwa wanapata emotions kali sana wakiona nyama ya ng'ombe na wanaweza kukukua ukiwa India unapita barabarani na ng'ombe kwenda kumchinja.
Kwamba unaenda kula kula mungu wao😁😁😁😁Nilifanyaga kazi na wahindi miaka flani. Basi siku nikakutana nao bar-club moja hivi wakawa wanakunywa mno na mwisho wa siku wakaagiza kuchomewa mishkaki 70. Sasa, walipoletewa mezani ni kama wakahamaki, wakaniuliza hii ni nyama gani? Nikawaambia ni ya ng' ombe aiseee...waliifunga ile foeli na kunipa mishkaki yote niondoke nayo mara moja. Sijajua waliagiza wakizani ni ya mbuzi au vipi maana kuna mda hata mchoma mishkaki walimuhitaji nimueleweshe aichome vizuri siyo blabla. Maswala ya imani ni mazito sana!
 
Ukishakubali Mungu yupo.
Ukishakubali kwamba Mungu anawapenda viumbe wake.
Ukishakubali kwamba Uwezo wa Mungu upo nje ya uwezo wa binadamu.
Basi "mabaya" yanayotokea duniani ni rahisi kuyaona ameyaruhusu kwa nia njema. Ni mfano kama mama unayempeleka mtoto wako achomwe sindano ya kutibu malaria. Mtoto analia kwa sauti ya maumivu lakini mama anamshikilia kwa nguvu asijitikise ili shughuli imalizike. Mtoto haelewi kwa nini anapata mateso hayo. Mama ana nia njema. Mama anataka kuokoa maisha ya mtoto wake.
Kwa hiyo mtu akichinjwa au kubakwa ni kwa nia njema tu.
 
Hayo maswali yako hayapaswi kuulizwa hata na mtoto mdogo mwenye akili timamu.
Njaa isingekuwepo wewe ungeijulia wapi?
Hiyo ni mitihani tuliyopewa kwa hiyo unapaswa kutumia akili yako uliyozawadiwa kuikwepa.
Yaani swali lako halinq utofauti na kumuuliza mwalimu"Mwalimu kama wewe una nia nzuri na ufaulu wa wanafunzi wako kwa nini unatupatia mtihani,ni kwa nini usiandike kwenye ripoti kwamba darasa lote tumefaulu"
Mtihani hupima uelewa wa wanafunzi ambao mwalimu yeye haujui. Ila Mungu anapima nini ambacho yeye hakijui? Anampaje mtihani mbakaji ambae anajua kabisa huyu atabaka tu. Pale anampima nini? Kwamba mbakaji anaweza kubadiri maamuzi asibake au.. Usifananishe mfano wa mitihani ya waalimu hawa ambao wanapima kitu ambacho hawakijui ila Mungu anapima kitu ambacho matokeo anayajua kabisa sababu yeye anajua kila kitu. Hapo ndo watu wanapouliza kama yeye anajua kila kitu kwann akupe mtihani ambao anajua matokeo yake?
 
Mtihani hupima uelewa wa wanafunzi ambao mwalimu yeye haujui. Ila Mungu anapima nini ambacho yeye hakijui? Anampaje mtihani mbakaji ambae anajua kabisa huyu atabaka tu. Pale anampima nini? Kwamba mbakaji anaweza kubadiri maamuzi asibake au.. Usifananishe mfano wa mitihani ya waalimu hawa ambao wanapima kitu ambacho hawakijui ila Mungu anapima kitu ambacho matokeo anayajua kabisa sababu yeye anajua kila kitu. Hapo ndo watu wanapouliza kama yeye anajua kila kitu kwann akupe mtihani ambao anajua matokeo yake
 
Aliyekuelekeza na kukuandikia kuhusu uwepo wa Mungu ndiye aliyekuandikia kila kitu kuhusu wewe. Huwezi kunielewa kwasababu tayari project yao imefanikiwa.

Ili uwe huru sio kazi rahisi
Uhuru wako unaoujivunia ni upi? Uhuru wa kuamini kuwa wewe ni zao la ajali ya kibaolojia, asili yako ni nyani, maisha yako hayana thamani yoyote ya kiroho, na ukifa unaoza na kuisha kama dudu la mwituni?
 
Bro, rudi shule ukasome maana ya neno Free Will kwenye falsafa! Free Will maana yake ni uhuru wa akili yako kuchagua kati ya machaguo yaliyopo mbele yako.
Unaweza kuchagua usife?

Kifo si kipo mbele yako?

Unajaribu kukwepa kwepa, lakini ukweli utabaki palepale, Hakuna freewill na wala huna freewill.

Unacho jaribu kufanya ni ku-change definition ya freewill iendane na unacho fikiri.
 
Huo uovu unao usema wewe yeye ndio ameruhusu uwepo.
Kama huyo Mungu wenu ameruhusu uovu uwepo, basi yeye sio Mungu mwenye upendo na huruma kama mnavyodai na kumpatia sifa hizo.

Huyo Mungu wenu aliyeruhusu uovu, Ni Mungu mkatili, sadist, mpumbavu na mwendawazimu kabisa.

Tena hafai kabisa.
 
Unaweza kuchagua usife?

Kifo si kipo mbele yako?

Unajaribu kukwepa kwepa, lakini ukweli utabaki palepale, Hakuna freewill na wala huna freewill.

Unacho jaribu kufanya ni ku-change definition ya freewill iendane na unacho fikiri.
Bado unateseka na kosa lile lile! Kifo ni biological limitation. Free Will haijawahi kuwa na uwezo wa kuzuia sheria za physics au biology zisikupate! Free Will ipo kwenye Uwezo wako wa akili kuchagua jinsi unavyoishi kabla hujafa.

Huelewi nini?
 
Wewe unaanza kubadilisha definition ya freewill na kutengeneza definition yako inayoendana na utakacho.
Screenshot_20260811_203122_Google.jpg

Definition ipo very clearly kwamba, Freewill is the power to make choices and take actions of your own.

Kulingana na definition, Mtu akiamua kuchagua kurudi mwaka 1990. Hatoweza kutake ACTION kurudi mwaka huo.

Hapa sasa utaona kwamba freewill haipo.

Wewe ndio huelewi.
 
Misingi ya hoja imebainisha kabisa kwamba uwezo wa Mungu sio sawa na binadamu.

Udhaifu wa hoja yenyewe ambao umegusia ni kwa nini huyo Mungu mwenye uwezo huo asizuie malaria au cancer ili matibabu yenye kuumiza au vifo visitokee?
Moja ya majibu ya hoja hii ni kwamba mabaya na mazuri ni mtazamo wa kibinadamu. Kwa Mungu matukio yote ni saahihi yana lengo analolifahamu yeye.
Mogonjwa, majeruhi, njaa na vita kumtesa binadamu ni vitu halisi kabisa, wala sio mtazamo tu. Maumivu ya mwili na hisia ni kitu halisi kabisa.
 
Wewe unaanza kubadilisha definition ya freewill na kutengeneza definition yako inayoendana na utakacho.View attachment 3648572
Definition ipo very clearly kwamba, Freewill is the power to make choices and take actions of your own.

Kulingana na definition, Mtu akiamua kuchagua kurudi mwaka 1990. Hatoweza kutake ACTION kurudi mwaka huo.

Hapa sasa utaona kwamba freewill haipo.

Wewe ndio huelewi.
Unajua kusoma vizuri kweli? Soma vizuri hiyo definition uliyotumia, The power to make CHOICES and take ACTIONS of your own.. Neno kuu hapa ni of your own.

Sasa huelewi nini hapa ili hali toka muda nakuelezea hiki hiki, bado akili yako imegoma kuelewa tofauti ya choice na ability.
 
Umepewa akili na utashi wa kuamua mambo.
Maovu mfsnye nyie lawama mumpe mungu?
 
Back
Top Bottom