Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

Unajua kusoma vizuri kweli? Soma vizuri hiyo definition uliyotumia, The power to make CHOICES and take ACTIONS of your own.. Neno kuu hapa ni of your own.

Sasa huelewi nini hapa ili hali toka muda nakuelezea hiki hiki, bado akili yako imegoma kuelewa tofauti ya choice na ability.
The power to make choices and take actions of your own.

Kama unaweza ku-make choice, lakini huwezi tena ku-take action. Hapo unakuwa huna tena freewill.

Kwa sababu definition ya freewill inasema kabisa, The power to make choices and take actions.

Ikiwa huwezi ku-take actions of your choices, Basi HUNA tena hiyo freewill.

Ndio maana nakwambia, Freewill haipo.

Wewe ndio bado huelewi.
 
Naona lugha ya Kiingereza inazidi kukupiga chenga ya mwili! Kwenye hiyo definition, neno and it doesn't mean infinite physical capability, elewa and hapo inamaanisha una uhuru wa kufanya choices zilizopo, na kuchukua actions zilizo ndani ya uwezo wako.

Kama unaweza kuchagua kunywa maji au soda, na ukachukua hatua ya kunywa maji utakuwa umefanya choice na umeshachukua action yako binafsi! Hapo una Free Will kwa 100%. Shule ya msingi inakuliza bado.
 
Umewahi jiuliza kwa Nini Yesu alimtuma Mwanaye duniani kwa ajili yako?
 
Naona lugha ya Kiingereza inazidi kukupiga chenga ya mwili! Kwenye hiyo definition, neno and it doesn't mean infinite physical capability, elewa and hapo inamaanisha una uhuru wa kufanya choices zilizopo, na kuchukua actions zilizo ndani ya uwezo wako.

Kama unaweza kuchagua kunywa maji au soda, na ukachukua hatua ya kunywa maji utakuwa umefanya choice na umeshachukua action yako binafsi! Hapo una Free Will kwa 100%. Shule ya msingi inakuliza bado.
Kama una uhuru wa kuchagua choices zote zilizopo, lakini huwezi kutake actions kwa choices zote zilizopo, Huoni kwamba huna freewill?

Huoni kwamba uko limited kwa actions chache tu?

Kwa sababu uko limited ku-perform baadhi ya actions tu, licha ya kwamba unaweza kuzichagua, lakini kuna actions huwezi kuzi perform.

Huoni kwamba hata hiyo freewill inakuwa haipo?

Maana ili freewill ikamilike, Ni mtu aweze kuchagua na kutake actions.

Sio aweze kuchagua tu, halafu ashindwe ku-take action.

Hiyo inakuwa sio freewill.

Bado nakwambia hivi, Freewill haipo.

Hakuna freewill.
 
Sio kwamba natafuta sifa au nataka kubishana na mtu kuhusu imani. Lakini nikitazama yanayoendelea duniani vita, mauaji, watoto wanaoteseka, njaa, magonjwa na watu wasio na hatia kupoteza maisha naanza kujiuliza kwa dhati kama Mungu yupo na ana uwezo wote, kwa nini anaruhusu mateso haya yaendelee?

Huenda kuna majibu ambayo mimi siyajui. Lakini kwa sasa, swali hili limenifanya nianze kujiuliza kwa kina kuhusu uwepo wa Mungu.

Ningependa kusikia mawazo yenu Je, wewe unaamini Mungu yupo? Na kama ndiyo, unaelezaje uwepo wa mateso makubwa duniani?

NB: Bado nipo kwenye majonzi ya kumpoteza rafiki yangu, aliyeteseka kwa ugonjwa wa sickle cell. Na aliyeishi maisha ya maumivu mpaka kuondoka kwake. Kijana mdogo miaka 23.
Mungo huyu watu wanaomzungumzia makanisani,,sijui huko kwenye mavyombo ya Habari kiufupi mungu anayezungumziwa na binadamu hayupo hizi Habari za mungu ni za kufikirika hata wale waliokuwa wanasema na mungu walikuwa ni watu ambao walipitia matukio ya nature inavyotaka ndo wakaamua kubambikiza kama hayo ni matukio ya kimungu ila sio kama watu wanavyosema kwamba Kuna mungu wao mpenda Sadaka

Hili la kuruhusu matatizo kuwepo ni kawaida ya nature ili kubalance,,,fikiria watu wangekuwa wanazaliwa tu Hawafi?

Umewahi kujiuliza kwann kuna kuzaaa?
 
Kama una uhuru wa kuchagua choices zote zilizopo, lakini huwezi kutake actions kwa choices zote zilizopo, Huoni kwamba huna freewill?

Huoni kwamba uko limited kwa actions chache tu?

Kwa sababu uko limited ku-perform baadhi ya actions tu, licha ya kwamba unaweza kuzichagua, lakini kuna actions huwezi kuzi perform.

Huoni kwamba hata hiyo freewill inakuwa haipo?

Maana ili freewill ikamilike, Ni mtu aweze kuchagua na kutake actions.

Sio aweze kuchagua tu, halafu ashindwe ku-take action.

Hiyo inakuwa sio freewill.

Bado nakwambia hivi, Freewill haipo.

Hakuna freewill.
Kwa kutumia hiyo mantiki yako mbovu, kama mimi nikichagua kwenda benki kuu kuiba mabilioni ya pesa, lakini nikashindwa kwa sababu kuna walinzi na mfumo mzima wa kuingia ndani ni mgumu, utasema sikuwa na free will ya kuchagua kwenda kuiba?
 
Sio kwamba umeshindwa totally kwamba haiwezekani.

Ni kwamba plan, silaha na mfumo wako ulioutumia kwenda kuiba kwenye hiyo benki ni mbovu.

Ndio maana umeshindwa.

Lakini ungeweza kufanikiwa kuiba hiyo benki ikiwa plan, silaha na mfumo wako ni mkubwa zaidi ya huo wa walinzi wa benki.

Freewill ya kuiba unayo, lakini plan yako na silaha zako za kuiba ndio mbovu!

Mfano wako wa kitoto sana!
 
Pole sana mkuu

Kuhusu Mungu.. Inabidi uishi kwa faith. Mungu si kitu wala mtu.. Mungu ana encompasate kila unacho kiona, kuhisi na kufikiri..

Ndiye muweza wa yote kama maandiko ya navyo sema.

Amini unacho amini lakini jua yupo na ndiye aliyesababisha wewe uwepo.

Ukifanya haya hautateseka sana..

Tatizo sio yeye, tatizo ni swali kuhusu uwepo wake.
Huhitaji maandiko ili kujua kama kuna Mungu

Hayo maandiko hayajaandikwa na Mungu
Kimsingi wewe ni Mungu
 
Sio kwamba umeshindwa totally kwamba haiwezekani.

Ni kwamba plan, silaha na mfumo wako ulioutumia kwenda kuiba kwenye hiyo benki ni mbovu.

Ndio maana umeshindwa.

Lakini ungeweza kufanikiwa kuiba hiyo benki ikiwa plan, silaha na mfumo wako ni mkubwa zaidi ya huo wa walinzi wa benki.

Freewill ya kuiba unayo, lakini plan yako na silaha zako za kuiba ndio mbovu!

Mfano wako wa kitoto sana!
🤣🤣 Boom! Soma hayo maneno niliyo yabold , Umekiri mwenyewe kwa maandishi yako kuwa freewill ya kuiba ninayo, mjadala umeisha!

Kumbe ulikuwa unabisha nini sasa wakati sasa hivi umekubali kuwa binadamu ana free will ya kupanga na kuchagua matendo yake? Asante kwa kukiri.
 
Manminds search for GOD continues....

Faith is the assured expectation of things hoped for, the evident demonstration of realities though not beheld
 
🤣🤣 Boom! Soma hayo maneno niliyo yabold , Umekiri mwenyewe kwa maandishi yako kuwa freewill ya kuiba ninayo, mjadala umeisha!

Kumbe ulikuwa unabisha nini sasa wakati sasa hivi umeubali kuwa binadamu ana free will ya kupanga na kuchagua matendo yake? Asante kwa kukiri.
Na hapa ukishalitambu hilo ndio utajua kuwa matatizo mengi yanaletwa duniani na chaguzi mbovu za aie wenyewe binadamu
 
Kula kitimoto, kuoa wake wanne, kunywa pombe na kutokutunza Sabato(kufanya kazi Jumamosi) ni dhambi?
Unajua watu wengi hawajui kabisa kwa nini wana Israel walikatazwa kula baadhi ya vyakula

Hata sisi tuliobahatika kujua baadhi ya vitu ukimweleza mtu anakuona kubwa jinga ....most people are set to perish
No one take a moment to think why this
 
Kama huyo Mungu wenu ameruhusu uovu uwepo, basi yeye sio Mungu mwenye upendo na huruma kama mnavyodai na kumpatia sifa hizo.

Huyo Mungu wenu aliyeruhusu uovu, Ni Mungu mkatili, sadist, mpumbavu na mwendawazimu kabisa.

Tena hafai kabisa.
Upendo ni nini na huruma ni nini ?
 
Mtihani hupima uelewa wa wanafunzi ambao mwalimu yeye haujui. Ila Mungu anapima nini ambacho yeye hakijui? Anampaje mtihani mbakaji ambae anajua kabisa huyu atabaka tu. Pale anampima nini? Kwamba mbakaji anaweza kubadiri maamuzi asibake au.. Usifananishe mfano wa mitihani ya waalimu hawa ambao wanapima kitu ambacho hawakijui ila Mungu anapima kitu ambacho matokeo anayajua kabisa sababu yeye anajua kila kitu. Hapo ndo watu wanapouliza kama yeye anajua kila kitu kwann akupe mtihani ambao anajua matokeo yake
Kabla hatujaendelea mbele wewe umeumbwa na nani?
Au hoja yangu ni ya kumkosoa Mungu?
 
Back
Top Bottom