Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,302
- 31,074
Sio kwamba umeshindwa totally kwamba haiwezekani.Kwa kutumia hiyo mantiki yako mbovu, kama mimi nikichagua kwenda benki kuu kuiba mabilioni ya pesa, lakini nikashindwa kwa sababu kuna walinzi na mfumo mzima wa kuingia ndani ni mgumu, utasema sikuwa na free will ya kuchagua kwenda kuiba?
Ni kwamba plan, silaha na mfumo wako ulioutumia kwenda kuiba kwenye hiyo benki ni mbovu.
Ndio maana umeshindwa.
Lakini ungeweza kufanikiwa kuiba hiyo benki ikiwa plan, silaha na mfumo wako ni mkubwa zaidi ya hao walinzi wa benki.
Freewill unayo, lakini plan yako na silaha zako za kuiba ndio mbovu!
Mfano wako wa kitoto sana
Freewill ili ikamilike lazima uweze kupanga, kuchagua na kutake ACTION.🤣🤣 Boom! Soma hayo maneno niliyo yabold , Umekiri mwenyewe kwa maandishi yako kuwa freewill ya kuiba ninayo, mjadala umeisha!
Kumbe ulikuwa unabisha nini sasa wakati sasa hivi umekubali kuwa binadamu ana free will ya kupanga na kuchagua matendo yake? Asante kwa kukiri.
Sasa wewe unachanganya unasema freewill ni Kupanga na kuchagua tu.
Kwenye ACTION hapo unaruka. Wakati kuna vitu ambavyo unaweza kuwa huru kuchagua na kupanga lakini haiwezekani kutenda( kutake actions).
Mtu anaweza kupanga na kuchagua kurudi mwaka 1990. Lakini hatoweza. Hatoweza kutake ACTION ya kurudi mwaka 1990.
Na kwa vile definition ya freewill ni kuweza "KUPANGA, KUCHAGUA NA KUTAKE ACTION" . Mtu akishindwa kimojawapo kati ya hivi vitatu, freewill inakuwa haipo tena.
Tatizo lako wewe unakurupuka na mifano yako illogical.