Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 63,621
- 107,636
Pepo ni nini?Kwanini ukitaja jina la Yesu pepo linakimbia ? Kama huyu mtu hayupo lisingeogopa kwanini ukitaka jina la Yunes halitoki?
Pepo ni nini?Kwanini ukitaja jina la Yesu pepo linakimbia ? Kama huyu mtu hayupo lisingeogopa kwanini ukitaka jina la Yunes halitoki?
Issue ni kuwa una personal issues ndo maana... I was in your place too na hata sishangaiYou are delusional
Mimi nataka ukweli wenye logical consistency.Issue ni kuwa uko so programmed mpaka uwezo wako wa kuunganisha hisia na logic una potea..
Mimi siko hapa kukufanya urudi kulinganisha nyuzi na kuamsha usingizini.
Hiyo logic na philosophy ni product ya zao la mind and body ambazo unajua fika ziko limited
Kabisa.Eti bwana kwa mfano Nani anaweza kupinga kwamba Tanzania hakuna Rais?
Kwa sababu effect yake na mamlaka yake yapo wazi, hata Mungu naye tunamtaka aonekane ili tuache kubishana hapa
You have not been in my place crackhead, you don't even know me.Issue ni kuwa una personal issues ndo maana... I was in your place too na hata sishangai
Nimeelezea experience yangu, ila pia nikasema siko hapa kuprove niko hapa kujaribu kuelezea huenda mtu akafanya na akapata the same experience.Simtag mtu ila nimefanya reply
Maana hujui unacho akisema ni Mungu
Unajaribu kuelekea mazingira yako, ukiyahisisha na Uungu kitu ambacho ni wrong.
Mkuu Una uhakika Pepo linakimbia? Ulishawahi kukiona hata siku moja?Kwanini ukitaja jina la Yesu pepo linakimbia ? Kama huyu mtu hayupo lisingeogopa kwanini ukitaka jina la Yunes halitoki?
Ukweli hautakiwi kuwa na contradiction ya aia yoyote.Nimekwambia umeditate, unataka ukweli usio na mchakato? Mbona wewe jamaa Unabisha kila kitu?
Sema tu ukweli kuwa hutaki kujua, hutaki kuamini, hutaki ushauri that's all sio kingine
I don't give a shit about your dumbness it is yours to carry... "Even God says don't trust on man but me your God"You have not been in my place crackhead, you don't even know me.
Which god?I don't give a shit about your dumbness it is yours to carry... "Even God says don't trust on man but me your God"
Are You sure it is God who wrote that?I don't give a shit about your dumbness it is yours to carry... "Even God says don't trust on man but me your God"
Mkuu acha kunifanya mimi nikueleweshe kitu ambacho wewe mwenyewe hukitaki..Ukweli hautakiwi kuwa na contradiction ya aia yoyote.
Nataka ukweli wenye logical consistency.
Una elewa maana ya logical consistency?
Personal experience isiyo na ushahidi?Nimeelezea experience yangu, ila pia nikasema siko hapa kuprove niko hapa kujaribu kuelezea huenda mtu akafanya na akapata the same experience.
Wewe unakuja na mentality ya kuchallenge ambako mimi siko
Huo ndo ulimbukeni sasa... Sija qoute nimeongea mimi..Are You sure it is God who wrote that?
Nilikuuliza wewe mwanzo hukuni jibuWhich god?
Kama ni emotions hata masikini watumiaji cocaine na heroine huwa wanapata emotions kuwa ni mabilionea na wakuu wa nchi.Mkuu acha kunifanya mimi nikueleweshe kitu ambacho wewe mwenyewe hukitaki..
Umeshasema unataka logical consistency na mimi nilikwambia emotions hazipimwi kwa logic na hata AI haiwezi ku replicate ila bado unalazimisha..
Hapo siwezi, na kama unataka majibu sina.
Nimekupa ninacho kielewa ambacho Mungu amwruhusu kwangu thus kama utawiwa kufatilia utafanya
Nimeelezea sana ya kuwa ni one can fully explain a feeling or emotion.. Utaelezea katika muktadha wa akili na programingPersonal experience isiyo na ushahidi?
Kuna mwingine huko mitandaoni anasema yeye ni Mungu, vipi inatupasa tujue ndio yeye?
Kuna wengine kule Kenya walipanda kwenye misitu sijui kilima shakahola na kustarve to death ili waende kwa Mungu, walikuwa sahihi?
Vipi kama upo delusional au upo hai baada ya kutumia madawa ya kulevya hasa bangi?
Hii ndio reference ya maana ulioiona uje nayo?
Unaniuliza mimi kwani nimekuambia kama najua mungu yupo?Nilikuuliza wewe mwanzo hukuni jibu