Hakuna dhambi dunia kwani Mungu aliumba viumbe wote na kuwabariki pamoja na matendo yao.
Kuua, kuiba, kusema uongo, kutukana, kukashifu ni kosa ama siyo kosa?
Kama sex ni dhambi sasa viumbe wangezalianaje na kuijaza hiyo dunia kama mnavyoambiwa mzaane na je sex ni dhambi kwa watu tu ila kwa wanyama wao ni sawa tu?
Iwapo huwezi kuona tofauti kati ya mnyama hayawani na mwanadamu, basi kazi unayo.
Kwa nini mwanadamu anavaa nguo kuficha uchi wake, wakati ambapo hayawani hawaoni haya?
Wanaitwa haya-wani kwa vile hawana haya. Their life is at the mercy of environmental factors almost 100%.
Mwanadamu ni tofauti na hayawani kwa sababu ameumbwa kipekee, akajaliwa akili yenye maarifa na utambuzi.
Yuko huru kuchagua mema na kukataa mabaya. Ameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Ana utashi ama freewill.
Ndiye mtawala wa dunia juu ya viumbe wengine wote, kwa niaba ya Mungu. Ndiye balozi wa kulinda mazingira ya Sayari Dunia.
Miongoni mwa viumbe wote duniani, mwanadamu tu ndiye awajibikaye kwa matendo yake mbele ya Mungu.
Kama asingekuwa tofauti na viumbe wengine hayawani, uwajibishwaji wake usingekuwa wa haki.
Lakini kwa vile anaweza kufikiri, kubuni mipango na kutekeleza, kuvumbua vitu vipya na kugundua visivyojulikana bado, kuunda na kusanifu, kujisimamia na kuwalinda viumbe wengine, basi uwajibikaji wake mbele ya Mungu, siyo tu kwamba ni haki inayomstahili, bali pia ni sharti la lazima.
Kama mnaamini binadamu wa kwanza ni adam na Eva sasa hamuoni hapo kuwa wote mnafanya mapenzi na ndugu zenu i.e:kaka na dada,n.k.?
Ulitaka mwanadamu afanye mapenzi na punda au nguruwe?
Wakati wa Adamu na Hawa hadi kipindi fulani baadaye, ilikuwa ruhusa kwa wanadamu kuoana ndugu wa karibu.
Lakini baada ya muda, na idadi ya watu kuongezeka, desturi hiyo Mungu akaagiza isitishwe.
Siyo tu kwa kigezo cha kimaadili, lakini pia kibaiolojia, kuzaliana na ndugu wa karibu ni hatari kiafya kwa sababu ya ukaribu ama ufanano mkubwa katika kidimbwi husika cha vinasaba (genetic pool).
It was not a problem during Adam's times because sin had not wrought out so much debilitating effects on earth as we currently witness.
As time goes by, owing to sin, our physical nature degenerates. The power and vigor that Adam enjoyed outweigh by far those of even the healthiest individuals of our day.
This is one reason why Adam and his contemporaries were able to live for almost a millennium, whereas these days it's common to find centenarians celebrated as too special to merit a place in the Guinness Book of World records. Isn't that interesting? Saddening, even?
Nafsi ni inakuwepo tu ukiwa hai ukifa hakuna haja ya kuwa na hiyo nafsi , just energy tu.
How is ^just energy^ considered a living being?