mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 762
- 1,400
- Thread starter
- #321
😆😆😆😆Kama ni kwa mjibu wa quran basi maisha mapya yako uarabuni kwa warabu
😆😆😆😆Kama ni kwa mjibu wa quran basi maisha mapya yako uarabuni kwa warabu
HaaahaaaKula bata mazee unataka maisha mengine ili iweje tena ?
Ndiyo.Hivi wakuu tukiacha hizi nadharia na dhana zingine za kufikirika kuhusu hatima yetu baada ya kifo.
Nataka tuongee kiume sasa.
Hivi ni kweli tukifa kuna mahali tunaenda au ni siasa na kufarijiana tu ilmradi maisha yasonge?
Unakumbuka ulivyokua kabla hujazaliwa? Tusaidie mkuu tufunge uziSio kweli.
Ukweli ni kwamba kuna maisha baada ya hapa duniani. Maana kabla hatujakuwapo tulikuwako.
Ulishawaza inawezekanaje au ni mtumwa wa fikira na hisia za watu.Hivi wakuu tukiacha hizi nadharia na dhana zingine za kufikirika kuhusu hatima yetu baada ya kifo.
Nataka tuongee kiume sasa.
Hivi ni kweli tukifa kuna mahali tunaenda au ni siasa na kufarijiana tu ilmradi maisha yasonge?
Wewe una kitu ungetusaidia hapa. Ila shida yenu mnaongea vitu nusunusu, mnafumba fumba, na hapo ndio tunapata mashaka na kuto waamini. Wekeni mambo wazi. Fikiria uwazi wa jambo hili ulilo limega nusu na kutuambia kuhusu koo ungeliweka wazi ungeponya wangapi? Kama kweli kuna thawabu, ugehesabiwa tjawabu kiasi gani kupotia kupona kwao?Hahaha binafsi yangu nina amani kuna maisha baada ya kifo. Hutoishi kama mwanadamu wa nyama bali kama roho isiyo na mwili, hutoweza kula wala kunywa ila nafsi yako ama roho yako itaishi kwenye ulimwengu wa wafu.
Nina ushahidi na hilo ndg zangu. Sema tu wengi wetu huwa wakifa hawatak kurud ila baadh ya koo zetu wamekufa na wanaish na wanarud tunawaona na wanatusimulia nakutuonesha matendo makuu ya ulimwengu wa wafu. Over. Nisitoe siri za kambi.
Naamin nitakufa nitaish hata milele kwenye koo yangu. Honor your ancestors. Choose the right path to live forever after death.
Ukitaka kwenda kwa Yesu haya, ukitaka kwenda kwa majini haya, ukitaka kuwa milik ya shetan haya ukitaka kwenda kwenye koo yoyote after your death, ukitaka kuwa nafs inayotanga tanga haya, Everything is on your Hand. Tafuta maarifa ya siri ujue ulimwengu ipasavyo itakusaidia
Hivi wakuu tukiacha hizi nadharia na dhana zingine za kufikirika kuhusu hatima yetu baada ya kifo.
Nataka tuongee kiume sasa.
Hivi ni kweli tukifa kuna mahali tunaenda au ni siasa na kufarijiana tu ilmradi maisha yasonge?
Hivi wakuu tukiacha hizi nadharia na dhana zingine za kufikirika kuhusu hatima yetu baada ya kifo.
Nataka tuongee kiume sasa.
Hivi ni kweli tukifa kuna mahali tunaenda au ni siasa na kufarijiana tu ilmradi maisha yasonge?
Ni matokeo ya vyakula tunvyokula, ambavyo msingi wake ni viumbe hai, wanyama na mimeaShahawa na manii ni udongo?
Point of agreement. Uzi umeisha.Kama we hutaki kuamini vitabu vya dini Basi usiwahi kusema Kwamba hamna maisha baada kifo kwa sababu unaongea kitu usichokijua,
Ukiulizwa je Kuna maisha baada kifo sema sijui ,Kama vile ulikuwa hujui Kama utawahi kuishi duniani Ila umeishi ndo umejua Kuna maisha duniani.
Wanasayansi hamuamini msichokiona Wala kukiskia Sasa mbona unaamini kuwa hamna maisha wakati hujafa subiri ufe ndo upate jibu.
Kwa sisi tunaomini dini tunasema yapo kwa sababu tunaamini tusiyo yaskia Wala kuyaona Ila kwa elimu inyotoka kwa muumba ,
Imani inaambatana na elimu ,Soma ujue Kisha amini.
Wakuu mnaotaka ku prove kwa maandiko mbinu hii sio inayohitajika hapa. Ingekua ku prove kwa biblia na quraan (sijui kuoandika) inakubalika kwenye hili, basi hakuna kiumbe kingebisha. Shida ni kwamba hizo prof za kwenye vitabu ni nadharia na sio practical, watu hawataki mistari wanata practical
Nakubaliana na wewe kwa kuwa dini ni biashara, so nguvu hutumika ili pesa ipigwe. Sasa mkuu, kuna wale wahindi wanaoabudu ng'ombe, vipi kule injili itafika lini?Unahoji kitoto sana mkuu. Dhamira ya Mungu haiwezi kushinda dhamira ya Mwanadamu. Hakuna anayeweza kuzuia neno la Mungu lisifike mahali popote. Soma historia uone namna gani injili imepigwa vita mahali pengi lakini bado imepenya. Tafuta kitabu kinaitwa BREAKTHROUGH (kinazungumzia safari ya kusambaza Injili)
Eti, yaani uifuatilia hizi dini tunzotamba nazo ni za wazungu tu, hakuna dini imetokea kwa weusi. Hizi dini ni biashara za wazungu, kwa sasa na weusi wameshtuka wameanza piga pesa tuYan mungu alete Dini, watu Fulani Tu, alafu wengine wabaki kupokea mapokeo Tu,
Huyo mungu ni mchoyo Sana wa elimu, halafu ni mbaguzi
Nakubaliana na wewe kwa kuwa dini ni biashara, so nguvu hutumika ili pesa ipigwe. Sasa mkuu, kuna wale wahindi wanaoabudu ng'ombe, vipi kule injili itafika lini?
Kama ni hivyo mkuu kwamba hakuna ushahidi wa kuthibisha pasi na shaka isipokua kwa kutumia vitabu (theoretically) tu, basi niungane na mjumbe aliyesema jibu la swahili hili kama huamini basi liwe 'sijui' kama ilivyokua sijui kama kuna maisha kabla nizaliwe basi sijui pia kama kuna maisha baada nife. Ila kwenu mnao amoni mnayo majibu mkuuScientifically (Practically) you can’t prove life after death na hii ni kwasababu Sayansi haitoi majibu ya kila kitu. Sayansi ina ukomo wake. Sasa kama mnaanzisha mijadala ambayo mnalimit watu ku-refer to the appropriate references, basi ni heri ufunge mjadala wako.
Life after death is a spritual thing (science doesn’t go into spiritual life). A good way to deal with spiritual matters ni through Holy Books ambazo wewe hutaki kusikia. Huwezi kuuliza swali la Civics halafu utegemee majibu kutoka kwenye kitabu cha Chemistry.
Ooh hallelujahWapo wanaotumia Dini kama Biashara yes hatukatai na wananufaika kimaslahi. Lakini tukirudi kwenye sole purpose ya kuanzishwa kwa Dini, hilo sio lengo lake. Ni kama ambavyo silaha zimeundwa kwaajili ya protection lakini hilo halizuii wenye nia ovu kuzitumia kujipatia mali. Soma zaidi kuhusu falsafa ya Dini.
Hakuna mahali Injili haijafika. Kila mtu ataisikia, ila kuguswa ni Neema. Huko India kuna watumishi wengi tu wa Mungu wanamtumikia Bwana Yesu. Hata China wapo budhist waliobadili maisha yao na kumfuata Kristo.