Je, kuna maisha mengine baada ya hapa duniani?

Kabla sijachunguza yaliyomo kwenye vitabu vyake, nataka kujua kwanza huyo Mungu ni nani, yuko wapi,ana uwezo gani au msaada wake katika maisha yetu. Vitabu hivyo unavyovisema,inajulikana waliandika kina nani na kwa sababu zipi. Wewe si mtanzania? Kitabu cha efeso au wafilipi kinakuhusu nini wewe? Sodoma na Gomola ni wapi(nchi gani)? Kilitokea nini? Lini? Kwa nini? Una ushahidi gani?
Hakuna kitabu cha MUNGU ktk ulimwengu huu acha ujinga.

Mungu aliumba viumbe hai na visivyo hai ambavyo tunavishuhudia tangu mwanzo wa ulimwengu huu vikiwepo.

Ni wapi MUNGU aliumba vitabu vyake na kama ni hivyo vya biblia cha wazungu na msahafu cha waarabu unavyoviita ni vitabu vya MUNGU basi wewe ni JUHA kwani umeshindwa hata kujiuliza je,vitabu vya MUNGU kwa WAAFRIKA,WACHINA,WAHINDI,WAKOREA,nk viko wapi?

UJINGA mlionao ni mzigo kweli,kweli!!
 
Mwisho wake ni lini mkuu?? Ungesema kila mtu na mwisho wake. Leo unaambiwa eti tupo mwaka 2023. Hujawahi kujiuliza ndo umri wa dunia hii(japo alieizaa hata hajulikani ili aseme ukweli kuhusu umri). Haya mwingine atakwambia ina miaka zaidi ya milioni na ushee. Uliza kwa karenda ya waislam,leo wao wapo mwaka wa ngapi? Uliza kwa wachina, leo wana mwaka wa ngapi? Si tunakaa dunia moja! Sasa hizo tofauti hazikupi picha kamili!
Utamkuta nani lakini na wapi? Ukimkosa utakuwa umepoteza mda.

-kwa vile we unataka kuamini hivyo, we amini na ufanya uyafanyayo. Hakuna wa kukulazimisha uache.
-kwa wasiomuamini,tuache tule upepo maana tunajua tukienda huko ni kuchezewa akili kwa hiyo hatutaki hizo sanaa na kuaminishwa mambo yasiyo na kichwa wala miguu.
Ebu tupe hata vigezo 3 vya uwepo wake
Kama kungekuwa na mwanzo wa dunia kwa wote kwa siku moja basi ningeamini kuna mwisho wa dunia kwa wote kwa siku moja.

Lakini kama kila mtu alizaliwa hapa duniani kwa siku yake basi hata mwisho wake niwa peke yake hivyo hakuna ujinga huo wa mwisho wa dunia.
 
Hapo napingana nawewe unaposema MUNGU ni mchongo kwani ni wazi bado hujajiulize wewe na hao waliokuleta walitokana na nani?

Mimi naamini kama wewe ulizaliwa na baba na mama yako ambao nao walizaliwa kwa kuzaliana kwa kurudi nyumba na nyuma hadi kufikia mtu wa kwanza ambaye ni MUNGU sasa.

Na pia cha kujiuliza zaidi kama MUNGU ni wa uzao je alikuwa ni mhindi,mchina,mwafrika,mwarabu au alikuwa na mke mhindi,mchina,mwafrika au mwarabu?

Kama hayo hatuwezi kuyathibitisha basi tukunali aliyewezesha hayo yote ndiye MUNGU aidha awe hai au mfu.

Mimi nikiomba MUNGU kupitia BABU na BIBI zangu nafanikiwa ama kunioa nafuu na hata kupona kupitia uwezeshaji wao na IMANI yangu kwao.

Naamini huwezi ukamuomba MUNGU direct pasipo kupitia kwa waliokuleta duniani na ukafanikiwa ,NEVER!!

DINI zote ndiyo za michongo kwani zinawahubiri WAAFRIKA kwa kuwatoza HELA na MALI.

MUNGU hana anachohitaji kwetu tena kama malipo i.e:sadaka,zaka,nk.

Wazungu na Waarabu walitumia dini/tamaduni zao kupitia biblia na msahafu ili kufanikisha unyonyaji
Hapa naona inaelekea. Japo bado. Kama haijulikani ni mke,mme,mchina,kitu gani,na leo watu tunajiona tofauti, unaaminije kama sisi ni uzao wa Mungu? Kwa nini uende kote huko kusikojulikana! Hapo watakuja wengine wakuonyeshe jinsi mtu alivyotokana na sokwe. Haya, katika kutoka kwenye sokwe, na kuzaliwa na watu halisi,nani mkweli?
 
Hakuna kitabu cha MUNGU ktk ulimwengu huu acha ujinga.

Mungu aliumba viumbe hai na visivyo hai ambavyo tunavishuhudia tangu mwanzo wa ulimwengu huu vikiwepo.

Ni wapi MUNGU aliumba vitabu vyake na kama ni hivyo vya biblia cha wazungu na msahafu cha waarabu unavyoviita ni vitabu vya MUNGU basi wewe ni JUHA kwani umeshindwa hata kujiuliza je,vitabu vya MUNGU kwa WAAFRIKA,WACHINA,WAHINDI,WAKOREA,nk viko wapi?

UJINGA mlionao ni mzigo kweli,kweli!!
Nilikuwa namjibu dendaboy aliyesema niangalie kwenye vitabu vya Mungu.
 
Katika bibilia Kuna binadamu wawili walipaa mbinguni inamaa maisha wanayoishi huko Kwa Sasa sio haya maisha yetu ya Duniani

Nabii Yesu na nabii Alisha Kwa Sasa wanaishi maisha ya mbinguni
 
Hivi kweli unaelewa maana ya kuthibitisha?

Kuthibitisha jambo au kauli fulani maana yake ni kuonesha ukweli ama uhalisia wake pasi na shaka.
Sasa muoneshe Mungu huyo..!!

Ukiweza kuthibitisha Mungu yupo kwa kunionyesha alivyo nitakubali mawazo yako.

Vinginevyo Mungu huyo hayupo.

Sasa wewe umetamka kauli kwamba Mungu hayupo, halafu hapohapo unasema huhitaji kuthibitisha kauli hiyo! Do you even read yourself?

Show a viable solution to your fabricated equation. You can never hide nor run away from this.

On what basis do you have the audacity to say God doesn't exist?

Ufufuo ni tukio la siku za mwisho; bado liko mbeleni. Tatizo liko wapi hapo kwenye uelewa wako?

Swali juu ya swali, logically hukusudiwa kumfikirisha muulizaji na kisha kuzaa jibu sahihi husika.

That's a solid principle in logical reasoning. We do it all the time.

If you have your own different answer in store, why bother asking for one?

So, it's utterly pointless kusema eti ^hawajibu!^ Nasi tusemeje? Kwamba hamkujaliwa fikra za kuelewa?
 
Hao ambapo hawana au hawafuati hayo Maandiko yako hawatafufuka?
Ufufuo ni wa watu wote siku ya Kiama, tangu Adamu hadi mtu wa mwisho kabisa kuzaliwa kabla ya kuja kwa Kristu mara ya pili.

Ama mtu alisoma Biblia au hakusoma, alimwamini Mungu au hakumwamini, wote watafufuliwa -- ili kila mtu apate ijara ya matendo yake.

Kama unaamini kuna hayo maisha baada ya kifo na mazuri kwanini usitangulie kwa hiari na kwanini mtu akijaribu kujitoa roho ashitakiwe wakati anaenda kwenye maisha mengine?
Tofauti na wapagani, Wakristu tunaamini kwamba hapa duniani tuko kwa makusudi maalumu tunayopaswa kutimiza.

Mojawapo kuu ni kuufahamisha ulimwengu kuhusu upendo mkuu wa Mungu na msamaha Wake kwa wadhambi.

Sasa mjumbe wa Mungu hawezi kutamani kuyaondoka maisha haya eti akimbilie umauti. It doesn't make sense. Does it?

Even if you were to die today, you would still have to wait in your grave until resurrection day.

Also, committing suicide is sin.

Mungu yupo kwa sababu mimi nimekuwa nikimuomba kupitia Babu na Bibi zangu ktk matatizo na mahitaji yangu na ninafanikiwa pasipo mdhuru mtu yeyote.

Pia wapo wanaonikosea au kunionea tu pasipo kosa lolote pia nimekuwa nikiwashitakia wanajibu kwa kuwaadhibu.
Hii ni dhana finyu, duni na potofu kuhusu Mungu.

Wapendwa wako waliokufa hawajui lolote huko kaburini.

Kama unafanikiwa kuzungumza nao, kama usemavyo, basi utakuwa unawasiliana na mizimu au mashetani.

Nao pia wana uwezo wa kukupa baadhi ya vitu upendavyo, kwa muda kitambo.

This is how they lie to you only to cast you into a dense pit of delusions.

Hii ni kweli na cha kujiuliza ni vipi Mungu ampendelee mtu na aache viumbe wengine wasifufuke wakati vyote viko na thamani sawa mbele yake i.e:ngome,mbwa,miti,samaki n.k. na vinategemeana na watu?
Ni akili ndogo kumkataa Mungu kisa tu hataokoa miti, bakteria, virusi, ndege, na wanyama wengine pamoja na mwanadamu siku ya mwisho.

Wewe ni aina ya wale watu wanaosema akijua iwapo wapendwa wake fulani na fulani hawapo mbinguni, yeye pia haoni sababu ya kuwa huko.

Unatakiwa kuelewa kwamba kifo ni matokeo ya dhambi. Dhambi ni uchaguzi wa hiari wa mwanadamu.

Mungu hakukusudia katika mpango Wake afe kiumbe hata mmoja. Aliumba ili viishi milele.

Someni hii kitu iko na mwamsho fulani ati!!!!
It's just a worded conglomeration whose content is full of garbage.

Watu wamekufa miaka million iliyopita hawajazaliwa tena af tuje kuzaliwa sie kwa uspesho gan tulonao?
Umejuaje hilo? Hebu fafanua hiyo miaka milioni. Ni milioni moja au milioni ngapi?

Tangu Adamu na Hawa, tuna miaka 6,000 tu ya binadamu duniani.

Geology may be very amusing, but also gravely deceptive at times. Any reasonable individual would be unfazed by it's novelties.

Si ni yule Mungu asiyeweza. Hajui kusoma na kuandika,alisubili waja wake wamuandikie na wamtangazie.
Mungu hawezi kukufanyia kamwe kitu ambacho amekupa uwezo wa kutenda wewe mwenyewe.

Sisi wanadamu ndio mikono tendaji ya Mungu duniani. Anamtumia mwanadamu ili kutimiza makusudi Yake matukufu.

Aliwavuvia wanadamu wakaiandika Biblia. Aliwapa ujumbe kupitia maono, nao wakaandika kwa kutumia lugha yao inayoeleweka kwa wanadamu.

Biblia wangeiandika malaika, bila shaka ingekuwa imejaa lugha waielewayo malaika.

Ila yenyewe ni kwa ajili ya mwanadamu, hivyo ina lugha na maneno yaelewekayo kwa mwanadamu.

Think! Stop being brain dead and prejudiced against matters so reasonably clear.

shida ni kwamba dunia imekuwepo kwa bilion of years,sasa huo ufufuo umekuja kuongelewa baada ya Yesu kuzaliwa
Kwanza tambua ufufuo ulihitajika kwa sababu ya kifo. Kifo kilisababishwa na dhambi.

It means dhambi ilipoingia tu, mwanadamu alifundishwa kuhusu msamaha wa Mungu kupitia Kristu, na ukombozi ambapo Mungu humpatia yeyote amwaminiye.

Jiulize hili swali kwanza
Kabla hujaja hapa duniani ulikuwa wapi?
Nafikiri utarudi ulikokuwa
Ulikuwa katika mawazo ya Mungu. Alikujua hata kabla ya wakati. Anamjua kila mtu tangu mwanzo.

Kila kitu kinachofanyika na kutokea duniani, tayari Mungu alishakiona hata kabla.

yaani niache kula bata za duniani nisubiri za mbinguni ntakua kichaa
Sasa wewe kumbe tatizo lako ni kula mabata, ndipo akili yako imeishia?

Wengine wanawaza mambo makuu zaidi ya ulaji tu wa mabata.

As if usipoyala hayo mabata, ukafa, utakuwa umemisi chochote? Akili ama kweli ni mali.

labda unambie alieandika hayo ni malaika na sio binadamu kama mimi ndo nitaanza kusoma hvo vitabu, haiwezekani nijaze akilini mwangu fikra za mtu mwingine.
Kumbe vitabu vya saikolojia, historia, sayansi na hesabu ulivyojaza ubongoni vimeandikwa na malaika?

Will you try to be consistent even for five minutes?

Yawezekana Mungu alikuwepo baadae akatoweka baada ya kuumba watu ktk matabaka mbalimbali then akapotea au kufariki ili kuweka muendelezo kama walivyo WACHAWI na nguvu zao za kujificha asilaumiwe
Hivi kweli uwezo wa fikra zako kuhusu mungu wako ndipo hapo umegota?

neno Mungu si kitu kilicho hai, ni njama tu ya utapeli wa hali ya juu iliyotengenezwa,
Na nani? Lini? Wapi? Nangoja ufafanuzi.

Siyo kwamba wewe ndiye tapeli?

Kama kweli yupo,muombe kitu uone kama atakupa. Ugua,uombe uone kama utapona.
Hapo sasa utakuwa unahitaji msaada au unamjaribu?

Ukimwomba Mungu kwa imani, anatenda. Wala hakuna shaka juu ya hilo.

kwa wasiomuamini,tuache tule upepo maana tunajua tukienda huko ni kuchezewa akili kwa hiyo hatutaki hizo sanaa na kuaminishwa mambo yasiyo na kichwa wala miguu.
Ebu tupe hata vigezo 3 vya uwepo wake
Unataka vigezo 3 vya uwepo wa Mungu, wakati huohuo unataka uachwe ule upepo? Halafu, hivi nani kakushika kwani eti?

Wewe si Mtanzania? Kitabu cha Efeso au Wafilipi kinakuhusu nini wewe?
Kwa hiyo wewe hapo vitabu vyote ulivyo navyo au usomavyo, wameandika Wabongo tu?

Mimi nikiomba MUNGU kupitia BABU na BIBI zangu nafanikiwa
Huu unaitwa umizimu ama ushetani. Usiseme tena hujaambiwa.

Naamini huwezi ukamuomba MUNGU direct pasipo kupitia kwa waliokuleta duniani na ukafanikiwa ,NEVER!!
Asee! It's very saddening that your picture of God is very rudimentary.

How in the world would a holy and loving God put off a sincere prayer from His dear children?

DINI zote ndiyo za michongo kwani zinawahubiri WAAFRIKA kwa kuwatoza HELA na MALI.
Nitajie chama hata kimoja ambacho hupaswi kutoa michango yako ili kukisaidia.

Sadaka katika suala la imani ina makusudi makubwa sana, kwa mhusika na kwa kazi ya injili.

By the way, usisahau unakuja mikono mitupu duniani, ukifa unatoweka mikono mitupu.

Mali na utajiri vinapaswa vitumike kwa kusudi maalumu, plus kuwasaidia wahitaji.

Even successful individuals such as Bill Gates and Cristiano Ronaldo know very well that philanthropic lifestyle is the only pathway to true fulfillment and happiness.

Wazungu na Waarabu walitumia dini/tamaduni zao kupitia Biblia na msahafu ili kufanikisha unyonyaji
Kauli yako ni sawa na kusema hutaki reli kwa sababu aliijenga mkoloni, tena kwa kumtesa babu yako.

Ulishawahi kuelewa maana ya msemo: Usimtupe jongoo na mti wake?

Mungu aliumba viumbe hai na visivyo hai ambavyo tunavishuhudia tangu mwanzo wa ulimwengu huu vikiwepo.

Ni wapi MUNGU aliumba vitabu vyake na kama ni hivyo vya Biblia cha Wazungu na msahafu cha Waarabu
Biblia haina Uzungu wala Uarabu wala Uchina. Naamini na Msahafu uko hivyo pia.

Mungu anakuona wewe kama mwanadamu, na wala siyo kupitia rangi ya ngozi yako.

Halafu, nisaidie kujua Mzungu ni nani? Mwenye ngozi nyeupe au anayeishi Ulaya?

Na Mwafrika ni nani? Mwenye ngozi nyeusi au anayeishi Afrika?

Kuhusu vitabu vya Mungu, tambua kwamba kila kitu unachoona duniani ni kitabu cha Mungu cha mafunzo ili kumwelewa zaidi.
-uumbaji wa asili, akiwemo mwanadamu, kitabu cha Mungu
-hali za wanadamu, matatizo, mateso, mauti, hivi vyote ni vitabu vya Mungu
-Biblia ni kitabu maalumu cha Mungu.

Kama kungekuwa na mwanzo wa dunia kwa wote kwa siku moja basi ningeamini kuna mwisho wa dunia kwa wote kwa siku moja.

Lakini kama kila mtu alizaliwa hapa duniani kwa siku yake basi hata mwisho wake niwa peke yake hivyo hakuna ujinga huo wa mwisho wa dunia.
Again, this is a preposterous logic.
 
Ufufuo wa watu wote siku ya Kiama, tangu Adamu hadi mtu wa mwisho kabisa kuzaliwa kabla ya kuja kwa Kristu mara ya pili.

Ama mtu alisoma Biblia au hakusoma, alimwamini Mungu au hakumwamini, wote watafufuliwa -- ili kila mtu apate ijara ya matendo yake.

Tofauti na wapagani, Wakristu tunaamini kwamba hapa duniani tuko kwa makusudi maalumu tunalopaswa kutimiza.

Mojawapo kuu ni kuufahamisha ulimwengu mkaidi juu ya upendo mkuu wa Mungu na msamaha Wake kwa wadhambi.

Sasa mjumbe wa Mungu hawezi kutamani kuyaondoka maisha haya eti akakimbilia umauti. It doesn't make sense. Does it?

Even if you die today, you'll have to wait in your grave until resurrection day.

Also, committing suicide is sin.

Hii ni dhana finyu, duni na potofu kuhusu Mungu.

Wapendwa wako waliokufa hawajui lolote huko kaburini.

Kama unafanikiwa kuzungumza nao, kama usemavyo, basi utakuwa unawasiliana na mizimu au mashetani.

Nao pia wana uwezo wa kukupa baadhi ya vitu upendavyo, kwa muda kitambo.

This is how they lie to you only to cast you into a dense pit of delusions.

Ni akili ndogo kumkataa Mungu kisa tu hataokoa miti, bakteria, virusi, ndege, na wanyama wengine pamoja na mwanadamu siku ya mwisho.

Unatakiwa kuelewa kwamba kifo ni matokeo ya dhambi. Mungu hakukusudia katika mpango Wake afe kiumbe hata mmoja.

Aliumba ili viishi milele.

It's just a worded conglomeration full of garbage.

Umejuaje hilo? Hebu fafanua hiyo miaka milioni. Ni milioni moja au milioni ngapi?

Tangu Adamu na Hawa, tuna miaka 6,000 tu ya binadamu duniani.

Geology may be very amusing, but also gravely deceptive at times. Any reasonable individual would be unfazed by it's novelties.

Mungu hawezi kukufanyia kamwe kitu ambacho amekupa uwezo wa kutenda wewe mwenyewe.

Sisi wanadamu ndio mikono tendaji ya Mungu duniani. Anamtumia mwanadamu iki kutimiza makusudi Yake matukufu.

Aliwavuvia wanadamu wakaiandika Biblia. Aliwapa ujumbe kupitia maono, nao wakaandika kwa kutumia lugha yao inayoeleweka kwa wanadamu.

Biblia wangeandikwa malaika, basi ingekuwa na lugha ya malaika.

Ila yenyewe ni kwa ajili ya mwanadamu, so ina lugha na maneno yaelewekayo kwa mwanadamu.

Think! Stop being brain dead and prejudiced against matters so reasonably clear.

Kwanza tambua ufufuo ulihitajika kwa sababu ya kifo. Kifo kilisababishwa na dhambi.

It means dhambi ilipoingia tu, mwanadamu alifundishwa kuhusu msamaha wa Mungu kupitia Kristu, na ukombozi ambapo Mungu humpatia yeyote amwaminiye.

Ulikuwa katika mawazo ya Mungu. Alikujua kabla ya wakati. Anamjua kila mtu tangu mwanzo.

Kila kitu kinachofanyika na kutokea duniani, tayari Mungu alishakiona hata kabla.

Sasa wewe kumbe tatizo lako ni kula mabata, ndipo akili yako imeishia?

Wengine wanawaza mambo makuu zaidi ya ulaji tu wa mabata.

As if usipoyala hayo mabata, ukafa, utakuwa umemisi chochote? Akili ama kweli ni mali.

Kumbe vitabu vya saikolojia, historia, sayansi na hesabu ulivyojaza ubongoni vimeandikwa na malaika?

Will you try to be consistent even for five minutes?

Hivi kweli uwezo wa fikra zako kuhusu mungu wako ndipo hapo umegota?

Na nani? Lini? Wapi? Nangoja ufafanuzi.

Siyo kwamba wewe ndiye tapeli?

Hapo sasa utakuwa unahitaji msaada au unamjaribu?

Ukimwomba Mungu kwa imani, anatenda. Wala hakuna shaka juu ya hilo.

Unataka vigezo 3 vya uwepo wa Mungu, wakati huohuo unataka uachwe ule upepo? Halafu, hivi nani kakushika kwani eti?

Kwa hiyo wewe hapo vitabu vyote ulivyo navyo au usomavyo, wameandika Wabongo tu?

Huu unaitwa umizimu ama ushetani. Usiseme tena hujaambiwa.

Asee! It's very saddening that your picture of God is very rudimentary.

How in the world would a holy and loving God put off a sincere prayer from His dear children?

Nitajie chama hata kimoja ambacho hupaswi kutoa michango yako ili kukisaidia.

Sadaka katika suala la ina makusudi makubwa sana, kwa mahusika na kwa kazi ya injili.

By the way, usisahau unakuja mikono mitupu duniani, ukifa unatoweka mikono mitupu.

Mali na utajiri vinapaswa vitumike kwa kusudi maalumu, plus kuwasaidia wahitaji.

Even successful individuals such as Bill Gates and Cristiano Ronaldo know very well that philanthropic lifestyle is a pathway to true fulfillment and happiness.

Kauli yako ni sawa na kusema hutaki reli kwa sababu alijenga mkoloni tena kwa kumtesa babu yako.

Ulishawahi kuelewa maana ya msemo: Usimtupe jongoo na mti wake?

Biblia haina Uzungu wala Uarabu wala Uchina. Naamini na Msahafu uko hivyo pia.

Mungu anakuona wewe kama mwanadamu, na wala siyo kupitia rangi ya ngozi yako.

Halafu, nisaidie kujua Mzungu ni nani? Mwenye ngozi nyeupe au anayeishi Ulaya?

Na Mwafrika ni nani? Mwenye ngozi nyeusi au anayeishi Afrika?

Again, this is a preposterous logic. Ridiculously absurd at its very core!
Mungu hawezi kukufanyia kamwe kitu ambacho amekupa uwezo wa kutenda wewe mwenyewe.

Sasa kama ametupa uwezo wa kutenda wenyewe,tuna haja gani ya kumuomba? Huku unajua unachoomba hakupi? Basi maombi yenu hayahitajiki.

Haya, Mungu habagui,ila watu wake wanabaguana,mpaka kuuwana huku anawangalia anachekelea tu.
Kama kweli yupo basi yupo ICU. Watu wanauliwa kila kukicha,anaona na anakaa kimya! Atakuwa na shida na yeye sasa.

Vitabu wabongo hawana mda wa utapeli huo,wengine na kazi zao,wengine kula tunda kimasihara.

Sawa,kila kitu alishakijua.
Mauaji,matakataka yote yanayowakera watu, alijua huko DRC, Palestina na kwingine watu watajeruhiwa watembee na majeraha,yaoze,wapate maumivu,wafe, ndigu zao walie. Huyo siyo Mungu wa watu, labda Mungu wako tu.

Nadhani huyu ungekaa nae mwenyewe lakini mimi kuniaminisha,utakesha na hutofanikiwa
 
Hao hao walioleta huo ujinga,

Ukifa Afrika unageuka msukule. Na
Ukifa kwao unakuwa mtakatifu.
 
Sasa kama ametupa uwezo wa kutenda wenyewe,tuna haja gani ya kumuomba? Huku unajua unachoomba hakupi? Basi maombi yenu hayahitajiki.
Unaonekana wazi hujui unachozungumzia. Jaribu kujielimisha kidogo kuhusu japo misingi rahisi ya Ukristu, itakusadia kufanya mjadala wenye maana.

Maombi yana manufaa mengi sana kwa mwanadamu. Ndiyo njia ya mawasiliano kati yake na Mungu.

How can you then severe that important channel? Prayer teaches about dependence on God.

It breaks barriers. It brings you closer to Him. It sharpens your vision. It shows you on which priorities to focus first.

A life of a believer without prayer is like uprooting a tree while expecting it to continue receiving constant nourishment. Never gonna happen, because it would soon wither away.

So is a person whose life is devoid of prayer.

Haya, Mungu habagui,ila watu wake wanabaguana,mpaka kuuwana huku anawangalia anachekelea tu.
Sasa hapo alaumiwe Mungu au mwanadamu anayefanya hila na uuaji, akijua fika kwamba ni kosa?

Na hilo pia akili yako inakutuma kumsingizia Mungu? Umepewa akili ya kutambua jema na baya, unataka upewe nini zaidi?

Hayo ndiyo matokeo ya kumkataa Mungu. Mwanadamu akijitia kufuata kile apendacho, badala ya vile aagizavyo Muumbaji wake, matokeo ndiyo kama hayo.

You've yourself to blame. Leave God out of it.

Watu wanauliwa kila kukicha,anaona na anakaa kimya!
By the way, sauti unazosikia watu wakipaza kutetea haki, hiyo ni sauti ya Mungu.

God uses people like you and me in order to accomplish His desired ends.

Halafu, kama unaamini Mungu hayupo, kuna sababu gani ya kutamani pawepo amani?

Kwa sababu bila uwepo wa Mungu, kuna nini kingine cha maana? Maisha hayana kusudi, maadili hayana mantiki, na matendo ya mwanadamu hayana uwajibikaji.

Katika hali kama hiyo, kanuni pekee yenye maana ni ushindi wa mwenye nguvu zaidi (survival of the fittest).

But God is the highest Being to whom humans are accountable. Their actions are weighed against His standard of righteousness.

Huyo siyo Mungu wa watu
Again, stop blaming God for your own mistakes. It doesn't help.

Mwanadamu hajui nini kinaweza kuzuia vita? Hajui kwamba silaha inaua? Na hilo nalo usimamiwe? Sasa akili umepewa ya kazi gani?

mimi kuniaminisha,utakesha na hutofanikiwa
Siyo kazi yangu kukulazimisha uamini. Hata Mungu pia hawezi kukulazimisha. Unaweza wewe mwenyewe kuamua upotee ama uokolewe. Nafsi yako ndiyo ina jibu kamili.

Lengo kuu, hata hivyo, ni kujaribu kutenganisha upotoshaji na kuufanya ukweli ufahamike kwa wote, ili wenye shauku halisi ya wokovu waokolewe.

His Holy Spirit is ready to help anyone who seeks Him sincerely. One can never be saved if they don't want to.
 
Unaonekana wazi hujui unachozungumzia. Jaribu kujielimisha kidogo kuhusu japo misingi rahisi ya Ukristu, itakusadia kufanya mjadala wenye maana.

Maombi yana manufaa mengi sana kwa mwanadamu. Ndiyo njia ya mawasiliano kati yake na Mungu.

How can you then severe that important channel? Prayers teaches about dependence on God.

It breaks barriers. It brings you closer to Him. It sharpens your vision. It shows you on which priorities to focus first.

A life of a believer without prayer is like uprooting a tree while expecting it to continue receiving constant nourishment. Never gonna happen, because it would soon wither away.

So is a person whose life is devoid of prayer.

Sasa hapo alaumiwe Mungu au mwanadamu anayefanya hila na uuaji, akijua fika kwamba ni kosa?

Na hilo pia akili yako inakutuma kumsingizia Mungu? Umepewa akili ya kutambua jema na baya, unataka upewe nini zaidi?

Hayo ndiyo matokeo ya kumkataa Mungu. Mwanadamu akijitia kufuata kile apendacho, badala ya vile aagizavyo Muumbaji wake, matokeo ndiyo kama hayo.

You've yourself to blame. Leave God out of it.

By the way, sauti unazosikia watu wakipaza kutetea haki, hiyo ni sauti ya Mungu.

God uses people like you and me in order to accomplish His desired ends.

Halafu, kama unaamini Mungu hayupo, kuna sababu gani ya kutamani pawepo amani?

Kwa sababu bila uwepo wa Mungu, kuna nini kingine cha maana? Maisha hayana kusudi, maadili hayana mantiki, na matendo ya mwanadamu hayana uwajibikaji.

Katika hali kama hiyo, kanuni pekee yenye maana ni ushindi wa mwenye uwezo zaidi (survival of the fittest).

But God is the highest Being to whom humans are accountable. Their actions are weighed against His standard of righteousness.

Again, stop blaming God for your own mistakes. It doesn't help.

Mwanadamu hajui nini kinaweza kuzuia vita? Hajui kwamba silaha inaua? Na hilo nalo ufundishwe? Sasa akili umepewa ya kazi gani?

Siyo kazi yangu kukulazimisha uamini. Hata Mungu pia hawezi kukulazimisha. Unaweza wewe mwenyewe kuamua upotee ama uokolewe. Nafasi yako ndiyo ina jibu kamili.

Lengo kuu, hata hivyo, ni kujaribu kutenganisha upotoshaji na kuufanya ukweli ufahamike kwa wote.

His Holy Spirit is ready to help anyone who seeks Him sincerely.

One can never be saved if they don't want to.
Huyo Mungu si umeshaambiwa hayupo? Maombi ya nini tena? Ya nini niwasiliane nae? Bila kuwepo? We nipe kwanza vigezo vya uwepo wake ndo uzanze ushawishi mwingine.

Kwa hiyo kwako amani huletwa na Mungu huyo? Wa ICU labda.

Kama anajua kazi yake ni kuua kwa akili zake,za huyo Mungu zina faida gani sasa kama hawezi kutambua uovu wa unaowaita viumbe wake! Kazi yake alishamaliza,imebaki yenu. Kama hivyo,basi na waliokuwa walengwa walishakufa,biashara imeisha.

Yaani Mungu ameniumba(achana na kuwa nimezaliwa mi sijaumbwa),napotea, ananiangalia tu hana habari? Huyo Mungu wako kaa nae huko huko mtajuana wenyewe
 
  • Thanks
Reactions: A43
Huyo Mungu si umeshaambiwa hayupo? Maombi ya nini tena? Ya nini niwasiliane nae? Bila kuwepo? We nipe kwanza vigezo vya uwepo wake ndo uzanze ushawishi mwingine.

Kwa hiyo kwako amani huletwa na Mungu huyo? Wa ICU labda.

Kama anajua kazi yake ni kuua kwa akili zake,za huyo Mungu zina faida gani sasa kama hawezi kutambua uovu wa unaowaita viumbe wake! Kazi yake alishamaliza,imebaki yenu. Kama hivyo,basi na waliokuwa walengwa walishakufa,biashara imeisha.

Yaani Mungu ameniumba(achana na kuwa nimezaliwa mi sijaumbwa),napotea, ananiangalia tu hana habari? Huyo Mungu wako kaa nae huko huko mtajuana wenyewe
 
Hapa naona inaelekea. Japo bado. Kama haijulikani ni mke,mme,mchina,kitu gani,na leo watu tunajiona tofauti, unaaminije kama sisi ni uzao wa Mungu? Kwa nini uende kote huko kusikojulikana! Hapo watakuja wengine wakuonyeshe jinsi mtu alivyotokana na sokwe. Haya, katika kutoka kwenye sokwe, na kuzaliwa na watu halisi,nani mkweli?
Hata mtoto mdogo ukimwambia watu wametokana na masokwe atakuona kichaa kwani hao masokwe wanasex na ndiyo wanapata watoto kwa kuzaliana hivyohivyo kwa watu.

Naamini kuwa WATU na viumbe vyote ni UUMBAJI na siyo UZAO wa MUNGU na kutokea mchina,mhindi,mwafrika,n.k. ni kwasababu MUNGU aliumba kila kiumbe kulingana na mazingira na hali ya hewa alikomuweka aanzishe maisha yake.

Kuna viumbe waliumbwa kuishi mistuni,jangwani,majini,baridi,nk hivyo kupelekea tamaduni na maumbule kuwa tofauti.

UZAO wa MUNGU unaanzia pale alipoumba dunia na kila kilichomo kwa jinsi 2 na vyote vikaanza kuishi kwa pamoja kwa kutegemea huku vikizaliana kuanzia idadi ya mbili(dune/jike)mojamoja hadi leo makumi elfu.

Kila kiumbe kiliumwa na muwrezezeshaji/mtaalam ambaye ni MUNGU kwa pamoja.
 
Katika bibilia Kuna binadamu wawili walipaa mbinguni inamaa maisha wanayoishi huko Kwa Sasa sio haya maisha yetu ya Duniani

Nabii Yesu na nabii Alisha Kwa Sasa wanaishi maisha ya mbinguni
Hao waliokuletea biblia wakiwa wameandika kupaa kwa hao wahuni ndiyo waliokufundsha ktk shule zao walizozianzisha chini ya biblia hiyohiyo kuwa dunia ni duara imezungukwa na hewa na maji na ukienda juu kwa usawa uleuke utarudi palepale ulipoanzia hivyo hadi hapo ni uongo je,walipaa kwenda wapi kama siyo kurudi palepale walipoanzi kupaa?au wako hewani wanazunguka/wanaelea tu?
 
Ufufuo ni wa watu wote siku ya Kiama, tangu Adamu hadi mtu wa mwisho kabisa kuzaliwa kabla ya kuja kwa Kristu mara ya pili.

Ama mtu alisoma Biblia au hakusoma, alimwamini Mungu au hakumwamini, wote watafufuliwa -- ili kila mtu apate ijara ya matendo yake.

Tofauti na wapagani, Wakristu tunaamini kwamba hapa duniani tuko kwa makusudi maalumu tunayopaswa kutimiza.

Mojawapo kuu ni kuufahamisha ulimwengu kuhusu upendo mkuu wa Mungu na msamaha Wake kwa wadhambi.

Sasa mjumbe wa Mungu hawezi kutamani kuyaondoka maisha haya eti akimbilie umauti. It doesn't make sense. Does it?

Even if you die today, you would still have to wait in your grave until resurrection day.

Also, committing suicide is sin.

Hii ni dhana finyu, duni na potofu kuhusu Mungu.

Wapendwa wako waliokufa hawajui lolote huko kaburini.

Kama unafanikiwa kuzungumza nao, kama usemavyo, basi utakuwa unawasiliana na mizimu au mashetani.

Nao pia wana uwezo wa kukupa baadhi ya vitu upendavyo, kwa muda kitambo.

This is how they lie to you only to cast you into a dense pit of delusions.

Ni akili ndogo kumkataa Mungu kisa tu hataokoa miti, bakteria, virusi, ndege, na wanyama wengine pamoja na mwanadamu siku ya mwisho.

Wewe ni aina ya wale watu wanaosema akijua iwapo wapendwa wake fulani na fulani hawapo mbinguni, yeye pia haoni sababu ya kuwa huko.

Unatakiwa kuelewa kwamba kifo ni matokeo ya dhambi. Dhambi ni uchaguzi wa hiari wa mwanadamu.

Mungu hakukusudia katika mpango Wake afe kiumbe hata mmoja. Aliumba ili viishi milele.

It's just a worded conglomeration full of garbage.

Umejuaje hilo? Hebu fafanua hiyo miaka milioni. Ni milioni moja au milioni ngapi?

Tangu Adamu na Hawa, tuna miaka 6,000 tu ya binadamu duniani.

Geology may be very amusing, but also gravely deceptive at times. Any reasonable individual would be unfazed by it's novelties.

Mungu hawezi kukufanyia kamwe kitu ambacho amekupa uwezo wa kutenda wewe mwenyewe.

Sisi wanadamu ndio mikono tendaji ya Mungu duniani. Anamtumia mwanadamu ili kutimiza makusudi Yake matukufu.

Aliwavuvia wanadamu wakaiandika Biblia. Aliwapa ujumbe kupitia maono, nao wakaandika kwa kutumia lugha yao inayoeleweka kwa wanadamu.

Biblia wangeiandika malaika, bila shaka ingekuwa imejaa lugha waielewayo malaika.

Ila yenyewe ni kwa ajili ya mwanadamu, hivyo ina lugha na maneno yaelewekayo kwa mwanadamu.

Think! Stop being brain dead and prejudiced against matters so reasonably clear.

Kwanza tambua ufufuo ulihitajika kwa sababu ya kifo. Kifo kilisababishwa na dhambi.

It means dhambi ilipoingia tu, mwanadamu alifundishwa kuhusu msamaha wa Mungu kupitia Kristu, na ukombozi ambapo Mungu humpatia yeyote amwaminiye.

Ulikuwa katika mawazo ya Mungu. Alikujua hata kabla ya wakati. Anamjua kila mtu tangu mwanzo.

Kila kitu kinachofanyika na kutokea duniani, tayari Mungu alishakiona hata kabla.

Sasa wewe kumbe tatizo lako ni kula mabata, ndipo akili yako imeishia?

Wengine wanawaza mambo makuu zaidi ya ulaji tu wa mabata.

As if usipoyala hayo mabata, ukafa, utakuwa umemisi chochote? Akili ama kweli ni mali.

Kumbe vitabu vya saikolojia, historia, sayansi na hesabu ulivyojaza ubongoni vimeandikwa na malaika?

Will you try to be consistent even for five minutes?

Hivi kweli uwezo wa fikra zako kuhusu mungu wako ndipo hapo umegota?

Na nani? Lini? Wapi? Nangoja ufafanuzi.

Siyo kwamba wewe ndiye tapeli?

Hapo sasa utakuwa unahitaji msaada au unamjaribu?

Ukimwomba Mungu kwa imani, anatenda. Wala hakuna shaka juu ya hilo.

Unataka vigezo 3 vya uwepo wa Mungu, wakati huohuo unataka uachwe ule upepo? Halafu, hivi nani kakushika kwani eti?

Kwa hiyo wewe hapo vitabu vyote ulivyo navyo au usomavyo, wameandika Wabongo tu?

Huu unaitwa umizimu ama ushetani. Usiseme tena hujaambiwa.

Asee! It's very saddening that your picture of God is very rudimentary.

How in the world would a holy and loving God put off a sincere prayer from His dear children?

Nitajie chama hata kimoja ambacho hupaswi kutoa michango yako ili kukisaidia.

Sadaka katika suala la imani ina makusudi makubwa sana, kwa mhusika na kwa kazi ya injili.

By the way, usisahau unakuja mikono mitupu duniani, ukifa unatoweka mikono mitupu.

Mali na utajiri vinapaswa vitumike kwa kusudi maalumu, plus kuwasaidia wahitaji.

Even successful individuals such as Bill Gates and Cristiano Ronaldo know very well that philanthropic lifestyle is the only pathway to true fulfillment and happiness.

Kauli yako ni sawa na kusema hutaki reli kwa sababu aliijenga mkoloni, tena kwa kumtesa babu yako.

Ulishawahi kuelewa maana ya msemo: Usimtupe jongoo na mti wake?

Biblia haina Uzungu wala Uarabu wala Uchina. Naamini na Msahafu uko hivyo pia.

Mungu anakuona wewe kama mwanadamu, na wala siyo kupitia rangi ya ngozi yako.

Halafu, nisaidie kujua Mzungu ni nani? Mwenye ngozi nyeupe au anayeishi Ulaya?

Na Mwafrika ni nani? Mwenye ngozi nyeusi au anayeishi Afrika?

Again, this is a preposterous logic.
Wewe siyo mkristo kwani huokani na ukoowa christian walioandika na kuhifadhi historia yao kwenye biblia na kutumia biblia kukutawala kifikira,uchumi,nk.

Acha ujinga kabisa na tafuta ASILI yako
 
Sasa kwanini kujiua ni dhambi wakati mtu anawhi kwa Mungu?unataka aendelee kuishi mbinguni achume dhambi wakati kuna sehemu ya kwenda kupumzika na hakuna shida?
 
Huyo Mungu si umeshaambiwa hayupo?
Amesema huyuhuyu mwanadamu ambaye hajawahi hata kutoka nje ya wigo wa dunia?

Mwanadamu asiyejua hata kidogo nje ya ulimwengu kuna kitu gani? Mipaka ya ulimwengu ikoje?

Nadhari baada ya nadhari zinaeleza kwamba ulimwengu unatanuka muda wote. Kuelekea wapi? Hana majibu.

Mwanadamu anasema amepima ukubwa wa ulimwengu unaoonekana. Je, ule usioonekana unaishia wapi? Mipaka yake iko wapi??? Ng'ambo yake kuna nini???

Okay, tuseme kuna mbingu labda. Baada ya hapo kuna nini??? Jibu basi wewe mwanadamu unayesema hakuna Mungu.

Mwanadamu asiyejua kwamba nishati, ambayo ndiyo viasili vya kila kitu, chanzo chake halisi ni nini?

Huyuhuyu mwanadamu ambaye ameshindwa kufuta umaskini kwa watu bilioni 8 ndani ya sayari yenye almost kila kitu?

Maombi ya nini tena? Ya nini niwasiliane nae? Bila kuwepo? We nipe kwanza vigezo vya uwepo wake ndo uzanze ushawishi mwingine.
Unataka vigezo gani tena vya uwepo wa Mungu wakati umesema hayupo?

Kama una uhakika hayupo, wasiwasi wa nini tena? Relax and enjoy yourself, until then.

Sisi tunaoamini yupo ndipo tunajua maana ya maombi na kwa nini tunapaswa kuwasiliana naye muda wote.

Kwa hiyo kwako amani huletwa na Mungu huyo?
Peace is a product of choice. Choice comes from good, informed decisions. Decisions are formed from deliberations.

Deliberation is the fruit of wisdom and knowledge, which are God's gift to mankind. Without brain and freewill, humans are just like mindless drones.

Kama anajua kazi yake ni kuua kwa akili zakeza huyo Mungu zina faida gani sasa kama hawezi kutambua uovu wa unaowaita viumbe wake! Kazi yake alishamaliza,imebaki yenu. Kama hivyo,basi na waliokuwa walengwa walishakufa,biashara imeisha.
Again, kumlaumu Mungu kwa kosa lako mwenyewe ni upunguani. Watu kama ninyi ni ngumu kukubali kuwajibika kwa makosa mliyotenda wenyewe.

Mwanadamu daima anatafuta mtu fulani wa kumsingizia kasoro zake mwenyewe. Ndivyo alivyofanya Adamu na Hawa katika ile Bustani ya Edeni.

Kwa hiyo, unachofanya siyo jambo geni.

Yaani Mungu ameniumba(achana na kuwa nimezaliwa mi sijaumbwa),napotea, ananiangalia tu hana habari? Huyo Mungu wako kaa nae huko huko mtajuana wenyewe
Sasa hutaki kuokolewa, akusaidieje? It means hata ungeruhusiwa kuingia mbinguni, basi ungekuwa kama mzigo tu.

This is why the power of freewill matters a lot. You've been endowed with precious brains in order to sort out yourself.

You must understand that having that thing called reasonable intelligence makes you reflect the attributes of God.

Use it well, and you've the life that measures the life of God; abuse it, and you end up in oblivion, just like Satan and his angels did. The choice is yours. As we always say, and it's true, time will tell!

Hao waliokuletea biblia wakiwa wameandika kupaa kwa hao wahuni ndiyo waliokufundsha ktk shule zao walizozianzisha chini ya biblia hiyohiyo kuwa dunia ni duara imezungukwa na hewa na maji na ukienda juu kwa usawa uleuke utarudi palepale ulipoanzia hivyo hadi hapo ni uongo je,walipaa kwenda wapi kama siyo kurudi palepale walipoanzi kupaa?au wako hewani wanazunguka/wanaelea tu?
Sasa ungeuliza swali lako, badala ya kukana na kuuliza kwa wakati mmoja.

Ukipinga maana yake tayari una uhakika. Sasa kuna sababu gani tena ya kuuliza?

It shows your proud mind is still searching for answers. Keep searching!

Wewe siyo Mkristo kwani hutokani na ukoo wa Christian walioandika na kuhifadhi historia yao kwenye Biblia na kutumia Biblia kukutawala kifikira,uchumi,nk.
Hapo unazidi kuthibitisha kwamba hujui chochote kuhusu Ukristu, na wala hujawahi kuisoma Biblia.

Pole sana. Hopefully, siku moja akili itakufunguka na utaielewa.

Sasa kwanini kujiua ni dhambi wakati mtu anawhi kwa Mungu?unataka aendelee kuishi mbinguni achume dhambi wakati kuna sehemu ya kwenda kupumzika na hakuna shida?
Rudia kusoma tena nilishakujibu kikamilifu.

In addition, only lazy people, cowards, small minds and selfish individuals would do that.

We, God's friends, however, have a mission & a high calling to the world. We never desert our duty.
 
Hao waliokuletea biblia wakiwa wameandika kupaa kwa hao wahuni ndiyo waliokufundsha ktk shule zao walizozianzisha chini ya biblia hiyohiyo kuwa dunia ni duara imezungukwa na hewa na maji na ukienda juu kwa usawa uleuke utarudi palepale ulipoanzia hivyo hadi hapo ni uongo je,walipaa kwenda wapi kama siyo kurudi palepale walipoanzi kupaa?au wako hewani wanazunguka/wanaelea tu?
Wewe unaamini kuwa katika nchi ya Israel kuliwahi kuwa na mtu anaitwa Yesu?
 
Back
Top Bottom