Je, kuna maisha mengine baada ya hapa duniani?

Je, kuna maisha mengine baada ya hapa duniani?

Kabisa mkuu.

Ukijiuliza maswali haya utafahamu kwamba Mungu anayedaiwa kwamba ni Mungu muweza wa vyote, mkamilifu na mwema hayupo.

Human beings created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.
Nadhani waliomuumba Mungu,ni watu walokuwa na malengo yao binafsi na kwa kuwa ingekuwa ngumu kutapeli hivi hivi,wakabuni mbinu za kuwachinjia baharini. Enzi hizo hata hela hakuna, ardhi na mali nyingine waliaminishwa,wakagawa. Makosa walifanya mababu,ila na uzao wao,ndo ukawa hivyo. Siku hizi kuna pesa sasa ndo usiseme.
Na wao wamekazana,eti Mungu.
 
Jiulize hili swali kwanza
Kabla hujaja hapa duniani ulikuwa wapi?
Nafikiri utarudi ulikokuwa
 
Dingi kula maisha ukifa umekufa,there is no life after deeth, yaani niache kula bata za duniani nisubiri za mbinguni ntakua kichaa

Kama hukuwai jua ipo siku utazaliwa kwanini utumie nguvu nyingi kuwazia maisha baada ya kifo?

Kama hukuwai waza ipo siku utazaliwa hata kifo ni hivyo hivyo
 
Maisha yapo SEMA tu hutegemea matendo ya roho yako,,.
Ukiwa na roho nzuri viumbe wengine hakika utazaliwa tena katika mwili mpya ama katika uzao wako au uzao mwingine wa wenye roho mbaya ili uwe msaada wa kurekebisha uzao wao.
 
Jiulize hili swali kwanza
Kabla hujaja hapa duniani ulikuwa wapi?
Nafikiri utarudi ulikokuwa
Nilikuwako hapa hapa Duniani,SEMA tu inategemea matendo ya roho hii siku za kabla ya kuzaliwa Kwa mwili huu.
 
Soma taratibu tu mkuu , ukiyatambua maumbile yanavyofanya kazi , na namna ya kuitumia nishati mbalimbali hutayumbishwa na maneno matupu.
labda unambie alieandika hayo ni malaika na sio binadamu kama mimi ndo nitaanza kusoma hvo vitabu, haiwezekani nijaze akilini mwangu fikra za mtu mwingine.
 
God doesn't exist.

Kisicho kuwepo hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake, Kwa vile hakipo kwa namna yoyote.

Wewe unaye sema Mungu yupo, Eleza na thibitisha Mungu huyo yupo kwa namna gani?
Hivi kweli unaelewa maana ya kuthibitisha?

Kuthibitisha jambo au kauli fulani maana yake ni kuonesha ukweli ama uhalisia wake pasi na shaka.

Sasa wewe umetamka kauli kwamba Mungu hayupo, halafu hapohapo unasema huhitaji kuthibitisha kauli hiyo! Do you even read yourself?

Show a viable solution to your fabricated equation. You can never hide nor run away from this.

On what basis do you have the audacity to say God doesn't exist?

Naamini katika uwepo wa the so called supernatural power(God) shida ni kwamba dunia imekuwepo kwa bilion of years,sasa huo ufufuo umekuja kuongelewa baada ya Yesu kuzaliwa,mimi naungana na wahindi wnaoamini katina kuzaliwa upya,bati sio ufufuo
Ufufuo ni tukio la siku za mwisho; bado liko mbeleni. Tatizo liko wapi hapo kwenye uelewa wako?

Jibu utakalopewa hapa,ni wewe tena kuulizwa kwa nini hayupo?! Hawajibu,wanataka kuaminisha watu wanayoyaamini wao.
Swali juu ya swali, logically hukusudiwa kumfikirisha muulizaji na kisha kuzaa jibu sahihi husika.

That's a solid principle in logical reasoning. We do it all the time.

If you have your own different answer in store, why bother asking for one?

So, it's utterly pointless kusema eti ^hawajibu!^ Nasi tusemeje? Kwamba hamkujaliwa fikra za kuelewa?
 
Watu wamekufa miaka million iliyopita hawajazaliwa tena af tuje kuzaliwa sie kwa uspesho gan tulonao?
Uzaliwe tena kwa mbegu zipi wakati mama na baba yako hawatakuwepo?

Au watasex na kupigana bao wakiwa wafu na wakati wako kwenye makaburi tofauti?

Watasex vipi wakiwa wafu na wazee wasio na brid au wasiosimamisha?

Waachw ujinga waliomezeshwa kwni binadamu huzaliwa akiwa mdogo tu hizo nyingine ni hadithi za abunwasi.
 
Naamini katika uwepo wa the so called supernatural power(God) shida ni kwamba dunia imekuwepo kwa bilion of years,sasa huo ufufuo umekuja kuongelewa baada ya yesu kuzaliwa,mimi naungana na wahindi wnaoamini katina kuzaliwa upya,bati sio ufufuo
Nao wamepotea uzaliwe upya kwa shahawa zilezile za baba na mama yako walio wafu?
 
Nadhani waliomuumba Mungu,ni watu walokuwa na malengo yao binafsi na kwa kuwa ingekuwa ngumu kutapeli hivi hivi,wakabuni mbinu za kuwachinjia baharini. Enzi hizo hata hela hakuna, ardhi na mali nyingine waliaminishwa,wakagawa. Makosa walifanya mababu,ila na uzao wao,ndo ukawa hivyo. Siku hizi kuna pesa sasa ndo usiseme.
Na wao wamekazana,eti Mungu.
Yawezeka Mungu alikuwepo baadae akatoweka baada ya kuumba watu ktk matabaka mbalimbali then akapotea au kufariki ili kuweka muendelezo kama walivyo WACHAWI na nguvu zao za kujificha asilaumiwe
 
Nao wamepotea uzaliwe upya kwa shahawa zilezile za baba na mama yako walio wafu?
wao wanaamimni hii roho yangu inaweza kuwa hapo awali niliwahi kuishi marekani,ila kutokana nakutenda dhambi nikazaliwa mtu mweusi ili nibadili tabia,huenda nikifa mimi hapa kunasiku nitakuwa Mchina au mwarabu
 
Yawezeka Mungu alikuwepo baadae akatoweka baada ya kuumba watu ktk matabaka mbalimbali then akapotea au kufariki ili kuweka muendelezo kama walivyo WACHAWI na nguvu zao za kujificha asilaumiwe
Good. Kikubwa tu ni kwamba neno Mungu si kitu kilicho hai, ni njama tu ya utapeli wa hali ya juu iliyotengenezwa,sasa kila uzao unaokuja,unakuta hivyo na unaendeleza tu. Hujawaho jiuliza kwa nini mfano wilaya moja,ukihesabu makanisa utayakuta zaidi ya 100. Na kila kukicha,yanazaliwa mengine. Haiingii akilini unaacha kanisa mlangoni kwako,unapanda pikipiki 5000 kwenda na kurudi, eti umeenda kusali. Kanisa ukiingia utakuta waumini 10 tu. Unajiuliza,hawa hawakuwa wanasali walikokuwa?
Je, huku ndo wemegundua kuna Mungu wa kweli?
Sasa basi,utakuta mchungaji anawalipia nauli,ili akatume picha kule kwa wajanja waibiane huku wewe unachorwa tu. Unafika home kwako mwanamke unadundwa,unaulizwa wenzako wametoka mapema,mara sisi ilienda ikarudi.
Mungu ni mchongo tuuu.
Kama kweli yupo,muombe kitu uone kama atakupa. Ugua,uombe uone kama utapona.
 
Fanyeni ibada sana acheni maasi na chochote utakacho fanya kinahifadhiwa na utalipwa

Hii dunia na vyote vilivyomo vina mwisho wake

fanya ibada halafu ukifa na ukamkosa mungu haina shida

Kulikoni kuacha kufanya ibada na ukaenda kumkuta
Sijui utamjibu nini
 
Mwisho wake ni lini mkuu?? Ungesema kila mtu na mwisho wake. Leo unaambiwa eti tupo mwaka 2023. Hujawahi kujiuliza ndo umri wa dunia hii(japo alieizaa hata hajulikani ili aseme ukweli kuhusu umri). Haya mwingine atakwambia ina miaka zaidi ya milioni na ushee. Uliza kwa karenda ya waislam,leo wao wapo mwaka wa ngapi? Uliza kwa wachina, leo wana mwaka wa ngapi? Si tunakaa dunia moja! Sasa hizo tofauti hazikupi picha kamili!
Utamkuta nani lakini na wapi? Ukimkosa utakuwa umepoteza mda.

-kwa vile we unataka kuamini hivyo, we amini na ufanya uyafanyayo. Hakuna wa kukulazimisha uache.
-kwa wasiomuamini,tuache tule upepo maana tunajua tukienda huko ni kuchezewa akili kwa hiyo hatutaki hizo sanaa na kuaminishwa mambo yasiyo na kichwa wala miguu.
Ebu tupe hata vigezo 3 vya uwepo wake
 
Kwa ufupi sana
Jaribu kuchunguza
Yale yaliyomo kwenye vitabu vya mungu

Halafu fatilia duniani uone kama yana ukweli ama vp

Mimi nakupa moja tu la sodoma na gomola

Mengine fatilia mwenyewe
 
Kwa ufupi sana
Jaribu kuchunguza
Yale yaliyomo kwenye vitabu vya mungu

Halafu fatilia duniani uone kama yana ukweli ama vp

Mimi nakupa moja tu la sodoma na gomola

Mengine fatilia mwenyewe
Kabla sijachunguza yaliyomo kwenye vitabu vyake, nataka kujua kwanza huyo Mungu ni nani, yuko wapi,ana uwezo gani au msaada wake katika maisha yetu. Vitabu hivyo unavyovisema,inajulikana waliandika kina nani na kwa sababu zipi. Wewe si mtanzania? Kitabu cha efeso au wafilipi kinakuhusu nini wewe? Sodoma na Gomola ni wapi(nchi gani)? Kilitokea nini? Lini? Kwa nini? Una ushahidi gani?
 
Good. Kikubwa tu ni kwamba neno Mungu si kitu kilicho hai, ni njama tu ya utapeli wa hali ya juu iliyotengenezwa,sasa kila uzao unaokuja,unakuta hivyo na unaendeleza tu. Hujawaho jiuliza kwa nini mfano wilaya moja,ukihesabu makanisa utayakuta zaidi ya 100. Na kila kukicha,yanazaliwa mengine. Haiingii akilini unaacha kanisa mlangoni kwako,unapanda pikipiki 5000 kwenda na kurudi, eti umeenda kusali. Kanisa ukiingia utakuta waumini 10 tu. Unajiuliza,hawa hawakuwa wanasali walikokuwa?
Je, huku ndo wemegundua kuna Mungu wa kweli?
Sasa basi,utakuta mchungaji anawalipia nauli,ili akatume picha kule kwa wajanja waibiane huku wewe unachorwa tu. Unafika home kwako mwanamke unadundwa,unaulizwa wenzako wametoka mapema,mara sisi ilienda ikarudi.
Mungu ni mchongo tuuu.
Kama kweli yupo,muombe kitu uone kama atakupa. Ugua,uombe uone kama utapona.
Hapo napingana nawewe unaposema MUNGU ni mchongo kwani ni wazi bado hujajiulize wewe na hao waliokuleta walitokana na nani?

Mimi naamini kama wewe ulizaliwa na baba na mama yako ambao nao walizaliwa kwa kuzaliana kwa kurudi nyumba na nyuma hadi kufikia mtu wa kwanza ambaye ni MUNGU sasa.

Na pia cha kujiuliza zaidi kama MUNGU ni wa uzao je alikuwa ni mhindi,mchina,mwafrika,mwarabu au alikuwa na mke mhindi,mchina,mwafrika au mwarabu?

Kama hayo hatuwezi kuyathibitisha basi tukunali aliyewezesha hayo yote ndiye MUNGU aidha awe hai au mfu.

Mimi nikiomba MUNGU kupitia BABU na BIBI zangu nafanikiwa ama kunioa nafuu na hata kupona kupitia uwezeshaji wao na IMANI yangu kwao.

Naamini huwezi ukamuomba MUNGU direct pasipo kupitia kwa waliokuleta duniani na ukafanikiwa ,NEVER!!

DINI zote ndiyo za michongo kwani zinawahubiri WAAFRIKA kwa kuwatoza HELA na MALI.

MUNGU hana anachohitaji kwetu tena kama malipo i.e:sadaka,zaka,nk.

Wazungu na Waarabu walitumia dini/tamaduni zao kupitia biblia na msahafu ili kufanikisha unyonyaji
 
Back
Top Bottom