RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,578
Mbinguni kwa walioishi maisha matakatifu. Kuzimu pa moto kwa walioishi maisha ya dhambi.Hivi wakuu tukiacha hizi nadharia na dhana zingine za kufikirika kuhusu hatima yetu baada ya kifo.
Nataka tuongee kiume sasa.
Hivi ni kweli tukifa kuna mahali tunaenda au ni siasa na kufarijiana tu ilmradi maisha yasonge?